Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

Magufuli alikuwa serikalini kipindi mikataba hiyo inapitishwa na hakupinga chochote, kwa nini sasa?
 
Kwani Magufuli si alisema yeye ni kiboko ya mabeberu? Kwa nini alikubali gesi yetu ikauzwa bure alipokuwa serikalini kisha aje kulaumu?
Na kwa nini asiingie mikataba mizuri alipokuwa Rais?
 
Itisha MKUTANO WA hadhara uyaseme haya MBELE za watanzania
 
Sasa si angeiuza kwa nchi jirani kama Kenya, kama Samia alivyofanya?
 
Kwani Magufuli si alisema yeye ni kiboko ya mabeberu? Kwa nini alikubali gesi yetu ikauzwa bure alipokuwa serikalini kisha aje kulaumu?
Na kwa nini asiingie mikataba mizuri alipokuwa Rais?
Ulitaka Magufuli akiwa waziri wa Ujenzi awe na last say mpaka kwenye mikataba ya madini kama President?

Wake up man!.

Mikataba ipi ya madini umewahi kuiona iliyoingia serikali ya CCM na wawekezaji kabla ya Magufuli? hebu nitajie miwili tu...
 
Sasa si tumepoteza muda, Qatar wangeiacha hadi leo hata kama isinge expire wangekuwa walipo?
Sasa tufanyaje? Muda si umeshapotea? Ndo maana nikasema sababu ipo na haijaoza tutaitumia tu. By tha way ni lini tumewahi? JPM kaongoza only 5 yrs. Kabla ya hapo rasilimali zote zilizopo tulizitumia kwa usahihi? Au JPM alikwamisha? Pamoja na udhaifu wa JPM hatuwezi mtupia kila jiwe yeye.
 
Mjinga tu. Wewe una chuki tu na magufuli. Sasa hapo maguguli anahusika vipi na gesi kuuzwa ulaya? Kinachojulikana priority ilikua gesi izalishe umeme, hatua inayofuata ya kuuza nje ndio itafuata.
Magufuli alisitisha miradi ya gesi alipokuwa Rais
 
Sasa si angeiuza kwa nchi jirani kama Kenya, kama Samia alivyofanya?
Tanzania inauza Gas, Kenya? Inasafirishwa kwa njia gani.

Hivi unajua huko ulaya Gas ya Qatar ambayo Germany imeagiza na sidhani kama ata ni robo ya demand yao, ili wananchi wa afford serikali imetenga Euro billion 200 kama subsidies ya Gas. Ni gharama kuliko michango ya nchi zote so far kwenye hela walizowapa Ukraine.

Hiyo ni Germany tu, ila kila mtu EU analia ndani kwake hiyo vita inaziumiza nchi za EU. Jamaa wana dent kubwa sana ya mapato kila nchi kwenye ku subsidise gas bills, ku stabilise inflation na kusaidia watu wa kipato cha chini kumudu rising cost of living kwa sababu ya hiyo vita.

Vita ikiisha tu wote wanarudi kwenye nishati ya Russia it’s cheaper to them and good for their economies kwa sababu jirani inaondoa several additional costs za kuagiza nje ya bara lao.

Sasa gas uitoe Tanzania hadi ulaya ni logistic nightmare kwao given their demand volume.

Ignorance is bliss
 
Nimeandika mamaako akiwa anakatikia mpini wangu ndio sababu nimeandika vibaya
Tafta mume wako binti. Mimi ni mume wa mtu na mke wangu ana wivu sana atakuua akijua unanilazimisha nikushikishe ukuta. Huu umalaya umeurithi kwa mama yako?
 
Sasa miaka 5 unaona sio muda mwingi? Qatar ndani ya miaka 20 uchumi wao umekuwa zaidi ya mara 11,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…