Upinge kitu wakubwa wameamua wewe kama nani ? Muulize yule aliyesalimu amri ! Utaishia kusema nimekosa mimi nimekosa sana! Na haitasaidia kitu ! Ndio maana Katiba mpya ni muhimu !!Magufuli alikuwa serikalini kipindi mikataba hiyo inapitishwa na hakupinga chochote, kwa nini sasa?
Na akikopa hapa watakuja na Uzi kumkandia bor Maisha yaendelee.Kinoma
Mfano wako haupo relevant mkuu kuicompare Qatar na nchi za kiafrica Tena Tanzania.
Sisi ngozi nyeusi hatuwezi kuzisimamia Mali zetu, tumejaa ufisadi. Angola ilitabiriwa uchumi ungepaa na maisha ya wananchi yangekuwa mazuri Kama ulaya baada ya kuanza kuuza mafuta lakini mambo yakaenda tofauti na matarajio ya wengi, nchi bado Ni masikini Hadi leo. Msumbiji wameanza kuuza gesi yao, wacha tusubiri Kama uchumi wao utabadilika.
JF ni mkutano wa hadhara wa online
Tukiachana na siasa na maneno ya majukwaani, Maamuzi ya mwenyekiti na raisi wa awamu iliyopita ya kuachana na gesi yalipata baraka za chama na watanzania walikubali mbadala uliopendekezwa.
Mafanikio ya hii nchi yanatokana na chama cha mapinduzi, makosa yalikipa chama changamoto mpya na malalamiko yalifanyiwa kazi na chama.
Pamoja na yote, CCM ni chama pekee chenye uwezo wa kupewa ridhaa ya kuendelea kuiongoza nchi hii.
hao wengine walio fanya hivyo ulishawahi kuwa laumu hata siku moja ?Kwa hivo hana kosa na hatakiwi kulaumiwa sababu wengine walifanya hivyo?
Thinking yenu huwa siielewi kabisa, mmekaa kimihemko na ushabiki sana, hamjui kufikiria vizuri kabisa, kwenu ni bora siku ipite kwa kumtaja Magufuli, ili mkila ugali upite vizuri kwenye koo.
Wewe unaamini tatizo la umasikini/poor decision nchi hii lililetwa na Magufuli, wala huoni kama ni la kimfumo, sasa mbona lilishakuwepo hata kabla ya ujio wa Magufuli?
Mbona hujiulizi, licha ya madini tuliyonayo, ikiwemo Tanzanite, yanayopatikana Tanzania pekee bado tuko nyuma kimaendeleo, kwanini uamini hiyo gesi inayopatikana maeneo mengi duniani ingetutoa kwenye umasikini? kwa usimamizi gani? wa CCM hii hii?!
Umasikini wa akili ndiyo umasikini mbaya zaidi kupata kutokea duniani. Namuunga mkono Mwal. J. K. Nyerere.
Halafu la pili, tujitahidi kuelimishana kizazi hiki na kijacho kwamba CCM si Tanzania. Tujaribu kuitenganisha Nchi yetu Tanzania na CCM. Pia Tanzania si CCM. Kuna watu wanajaribu kuonesha kwamba hakuna tofauti kati ya Tanzania na CCM. Wanajifanya kwamba wana machungu na CCM ambayo ni sawa sawa kuwa na mapenzi na Tanzania. Kitu ambacho ni uongo, uchunguzi unaonesha kwamba watu wengi wananufaika na keki ya taifa na rasilimali za Tanzania kwa kupitia CCM. Huwezi kuneemeka na mema ya nchi hii kiujanja ujanja, bila ya kupitia CCM. Hivyo CCM inatumika kama kichaka cha kupora mema ya nchi yetu. Naweza kusema kwamba, hujuma za nchi hii zinaanzia huko.
Samahani mkuu unajua maana ya Ministerial responsibility?Kwani Magufuli si alisema yeye ni kiboko ya mabeberu? Kwa nini alikubali gesi yetu ikauzwa bure alipokuwa serikalini kisha aje kulaumu?
Na kwa nini asiingie mikataba mizuri alipokuwa Rais?
Si ndio uzalendo huo? Magufuli hakuwa mzalendo?Upinge kitu wakubwa wameamua wewe kama nani ? Muulize yule aliyesalimu amri ! Utaishia kusema nimekosa mimi nimekosa sana! Na haitasaidia kitu ! Ndio maana Katiba mpya ni muhimu !!
Thd iishie hapa.Si huwa mnasema waarabu wajinga kwenye zile nyuzi zenu za dini.
Mamaye tutafilimbwa mpaka tujambe cheche. Hatuna tunachoweza hapa duniani.
Abgejiuzulu, kama alikuwa mzalendo na akaona nchi inapigwa vibaya na wewe unajua na hupingi wala kujitenga nao, wewe pia ni fisadi papaSamahani mkuu unajua maana ya Ministerial responsibility?
Abgejiuzulu, kama alikuwa mzalendo na akaona nchi inapigwa vibaya na wewe unajua na hupingi wala kujitenga nao, wewe pia ni fisadi papaSamahani mkuu unajua maana ya Ministerial responsibility?
Katiba mpya ni muhimu !!Abgejiuzulu, kama alikuwa mzalendo na akaona nchi inapigwa vibaya na wewe unajua na hupingi wala kujitenga nao, wewe pia ni fisadi papa
Ktk mfumo wa nchii hii ulojengwa,ndi ngumu sana kutenganisha hili genge na nchi
Yaani unakubali kwamba Waafrika hatuna tunachoweza hapa duniani?Thd iishie hapa.