Waafrika bado tunapitia hatua ambazo wenzetu walishazipitia.Yaani unakubali kwamba Waafrika hatuna tunachoweza hapa duniani?
Kujiuzulu kwa waziri mwandamizi na maarufu kama Magufuli kwa kipindi kile na kusema kwamba hakubaliani na serikali inavyoingia mikataba ya hovvyo ingeleta mtikisiko mkubwa na udadisi mkubwa kuhusu content za hiyo mikataba na shinikizo kubwa kwa serikali kutoingia hiyo mikatabaAngejiuzulu ingesaidia nini? Kujiuzulu na kufanya yale anayoamini ni ya kizalendo kwa nafasi aliyokuwa nayo wakati huo bora nini?
Kwa nini? Kwani Waafrika tulichelewa kuumbwa?Waafrika bado tunapitia hatua ambazo wenzetu walishazipitia.
Spika wa Bunge kajiuzulu na wote tunajua ni kwa sababu ya mtazamo wake tofauti kuhusu nchi kukopa, lakini serikali bado inaendelea kukopa.Kujiuzulu kwa waziri mwandamizi na maarufu kama Magufuli kwa kipindi kile na kusema kwamba hakubaliani na serikali inavyoingia mikataba ya hovvyo ingeleta mtikisiko mkubwa na udadisi mkubwa kuhusu content za hiyo mikataba na shinikizo kubwa kwa serikali kutoingia hiyo mikataba
Ni suala la kihistoria sio kuumbwa, tumechelewa kustaharabika.Kwa nini? Kwani Waafrika tulichelewa kuumbwa?
Kwa niniNi suala la kihistoria sio kuumbwa, tumechelewa kustaharabika.
Nipe summary kidogoView attachment 2467897
Tafuta hicho kitabu usome mkuu.