Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

Angejiuzulu ingesaidia nini? Kujiuzulu na kufanya yale anayoamini ni ya kizalendo kwa nafasi aliyokuwa nayo wakati huo bora nini?
Kujiuzulu kwa waziri mwandamizi na maarufu kama Magufuli kwa kipindi kile na kusema kwamba hakubaliani na serikali inavyoingia mikataba ya hovvyo ingeleta mtikisiko mkubwa na udadisi mkubwa kuhusu content za hiyo mikataba na shinikizo kubwa kwa serikali kutoingia hiyo mikataba
 
Spika wa Bunge kajiuzulu na wote tunajua ni kwa sababu ya mtazamo wake tofauti kuhusu nchi kukopa, lakini serikali bado inaendelea kukopa.
 
Document.jpg

Tafuta hicho kitabu usome mkuu.
 
Back
Top Bottom