Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Jesus!!!
 
Wasafi pale kumbe janja janja kibao
 
Mo ni bilionea wa US $...ni wabongo wachache sana wanaoweza kufikia kiwango cha ubilionea wa $.
Endelea kujidanganya tu

Dola Bilion 1 ni sawa tsh trillion 2.3

Nasema tena endelea kujidanganya kudhani Hakuna wabongo wenye hiyo hela mpaka uwaone kwenye mitandao.
 
Jamani naenda kazini, nasubiri mnijadili maisha yangu kwa kuchukua maamuzi yangu yanayonihusu mimi.
 
Wewe ungekua hupendi kufuatilia ya watu humu umekuja kufuata nini mnafiki mkubwa wewe Mxiee tena usinifanye nikuchambe had usahau jinsia yako mbwa wewe
Basi msameheee[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Billionea Tanzania ni Muhammed dewji tuu tena ndio billionea pekee Africa mashariki na Kati. Bakhresa ni millionaire. Tafuta takwimu Kwanza . Hata kwenye wa Tanzania Mondi hayumo kwenye list. Mondi sio billionea.
Usibishane nae mkuu, hapo ukimuomba source ya taarifa yake atakwambia insta au hizo milioni mia na ushee ye anazitaja tu anadhani jero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…