Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Muziki bongo hauna hela wasanii ukiona Wana show off Ila Wana Hali mbaya ya kiuchumi wengi walikuwa mapunda Tu mjini. So queen naye njaa Kali hafu show off nyingi Mara harusi baby shower arobaini tu ya mwanawe alikopa, hafu why ukaishi kwenye nyumba expensive huku kipato majanga. Hela tu ya pampasi Hana ananunua za mia tano
Jesus!!!
 
Si muajiriwa wa wasafi huyo!!? Hapo ndo msemo wa waja unapotimia wanasema pale njaa sana ila ujanja wako tu unaweza kukusaidia. Vanny boy nae alipanga ghorofa kodi awamu moja tu ikamshinda

Iyobo mpaka kala mtoso kwa aunt,pesa tatizo

Lukamba choka mbaya mke anamsaidia napo zipu mbovu
Wasafi pale kumbe janja janja kibao
 
Mo ni bilionea wa US $...ni wabongo wachache sana wanaoweza kufikia kiwango cha ubilionea wa $.
Endelea kujidanganya tu

Dola Bilion 1 ni sawa tsh trillion 2.3

Nasema tena endelea kujidanganya kudhani Hakuna wabongo wenye hiyo hela mpaka uwaone kwenye mitandao.
 
Jamani naenda kazini, nasubiri mnijadili maisha yangu kwa kuchukua maamuzi yangu yanayonihusu mimi.
 
Wewe ungekua hupendi kufuatilia ya watu humu umekuja kufuata nini mnafiki mkubwa wewe Mxiee tena usinifanye nikuchambe had usahau jinsia yako mbwa wewe
Basi msameheee[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Billionea Tanzania ni Muhammed dewji tuu tena ndio billionea pekee Africa mashariki na Kati. Bakhresa ni millionaire. Tafuta takwimu Kwanza . Hata kwenye wa Tanzania Mondi hayumo kwenye list. Mondi sio billionea.
Usibishane nae mkuu, hapo ukimuomba source ya taarifa yake atakwambia insta au hizo milioni mia na ushee ye anazitaja tu anadhani jero
 
Back
Top Bottom