Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Lady doctor amekushangaa tu na sio kuwa amekuita. Unajigonga gonga tu hapa na ashuo huna!
^^
Nakuaminiaaa best with U najua harusi haitakawia
Chezea Doctor weye
^^
^^
Nakuaminiaaa best with U najua harusi haitakawia
Chezea Doctor weye
^^
umeshareport kwa kiongozi Baba V ? au wajikoga kwa utenzi usio na visa, ilhali vimbwenga, majanga na vimitimbi vinachomoza kwenye mwanga hafifu wa mbalamwezi, usikojua hata kukaangaa dagaa kwa futali la uarabuni? yako haya
eti furaha pendoni mmhm! mie haya sisemi hapa ingieni kwenye nuru mtaona giza muda si mrefu
Kulea mke anaweza! wala hataki makuu maana tayari ana ukuu wa asili!Kulea mke unaweza au unataka makuu wakati huna ukuu?
mambo ya pendo pendoni haya...
najua hawezi chomoa bana,
lazima niwe mwenyekiti wa kamati siku ikiwadia best yangu
Nimekuja mpenzi, kuanzia leo nakufungulia moyo wangu uishi ndani yake, natokwa na machozi ya furaha kwa pendo lako!! nashndwa kuelezea mengi ila nakuomba usije sikiliza maneno ya watu kamwe. Nakupenda sana mpenzi Mungu atuongeze katika safari hii tuliyoianzisha!
aaarriiririririrriiiiiiiii...... Na wenye wivu wajinyonge meeeeen!!!!!!!!
chukua baraka zote mkuu! Ila kuna majanga yamenitokea mwenzio muda si mrefu!
nakuunga mkono!
kwakweli best, mefurahije!
na mashairi! Juu! Lazima umpate!!
Nimekuja mpenzi, kuanzia leo nakufungulia moyo wangu uishi ndani yake, natokwa na machozi ya furaha kwa pendo lako!! nashndwa kuelezea mengi ila nakuomba usije sikiliza maneno ya watu kamwe. Nakupenda sana mpenzi Mungu atuongeze katika safari hii tuliyoianzisha!
nilipenda saana wewe na Heaven on earth muwe wasimamizi wao siku watakapo amua kufunga ndoa, ila siwasomi kabisa ujue....
Cc: Himidini
^^
Yaani leo nina furaha acha tu,,angenichenjia ningehamaje jukwaaaaa!
^^