Queen Kan,,nipe password ya moyo wako Baba V tupokee mezani kwako.

sina relationship na mtu yeyote katika hii jumba la CC na wala sitaki kuwa na ushirika/ umazoea na urafiki na mtu yeyote na hasa wewe, kwani haitanisaidia kitu kwahivyo sitaki uendelee kunifyolea hapa, ulimwalangani ugwe?
^^
Ukitaka ukichwamaji mi ni mwenyewe!! Tatizo mna consider CC relationships into serious relations,,endelea mbele ushitaki mpaka kwa mods ndio kazi yao! What a shit!! Nenda mbele binti,,ila usisahau Kauli njema yashinda mali.
^^
 
sina relationship na mtu yeyote katika hii jumba la cc na wala sitaki kuwa na ushirika/ umazoea na urafiki na mtu yeyote na hasa wewe, kwani haitanisaidia kitu kwahivyo sitaki uendelee kunifyolea hapa, ulimwalangani ugwe?

keta umbengie unndume gwangu ulo!! Simalike nungwe!
 
sina relationship na mtu yeyote katika hii jumba la CC na wala sitaki kuwa na ushirika/ umazoea na urafiki na mtu yeyote na hasa wewe, kwani haitanisaidia kitu kwahivyo sitaki uendelee kunifyolea hapa, ulimwalangani ugwe?

^^
asante sana binti.
Mungu awe nawe
^^
 
samahani sana ila mwambie mumeo sitaki kufuatiliwa kama njuga au kunguru hapa na mambo ya kunifyolea ovyo wengine tunaheshima zetu haapa kwenye huu mjengo hivyo staha, heshima na utu ni kitu cha muhimu sana , sintopenda itokee hivyo namheshimu naye aniheshimu
keta umbengie unndume gwangu ulo!! Simalike nungwe!
 

mmh! Haya nadhani umeeleweka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…