QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

MKUU LEGE, nimekuwa kimya kwa muda wote wa kusoma simulizi hii kwa kweli ni nzuri nakiri hilo nakisema wewe ni kifaa cha burudani mkuu BIG UP sana
 
nasubiri ifike mbali kidogo, maumivu ya kusubiri yanatesa sana
 
acha niendelee kusubiri maana hakuna namna, nimeshakuwa teja wa hii kitu
 
Naweka makazi ya kudumu kwenye huu uziπŸ™‚πŸ™‚
 
Angalau kuna uzi wa stori unaotembea fasta.
 
LEGE tunakusubiri ushushe mzigo wa kutosha tukeshe nao, kesho weekend tunalala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…