successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,083
- 6,139
Dah!! Story imeanza kukolea ndio akapoteaKuna mtu kamloga mkuu LEGE, mbona majukumu yanamzidi mpaka anatusahau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!! Story imeanza kukolea ndio akapoteaKuna mtu kamloga mkuu LEGE, mbona majukumu yanamzidi mpaka anatusahau?
Aisee!! kweli una hasira, LEGE hebu njoo huku, hali sio nzuriNi makusudi na maringo tu
APA ukute anatuchora na acc nyingine na kujifanya mmoja wa wanataka story,
Ana
Unaah Huyu
Kila akiweka story matatizo , wakati ukitizama mahudhurio yake huko nyuma sii hivi
Acha unaa
Luge
sijakausha mkuu but mambo nayo kama yamepeana taarifa vile maana yamepandana na kupandana.usawa wa anko magu huu sio wakulemba na kulegea legea wakuu.JF story nitatupia mpaka nukta ya mwisho kama ilivyokuwa kwenye peniela wakuu.natamani kweli nifanye mtakavyo lkn ndio siwezi uzuri kuna member humu nimeshinda nao siku mbili hizi na wao ndio wamenifanya niwe adimu hapa kuweka mwendelezooJamaa amekausha jumla, hasemi chochote. Mwanzo alikua anakuja japo kutujulisha kwamba ana tatizo hivyo tuvute subira, tofauti na sasa ambapo amepotea kabisa. LEGE popote ulipo, kama umepata matatizo tunakuombea sana, lakini kama uko salama tunaomba ujitahidi uje huku utushushie muendelezo.