KWewe takataka unapenda kujichanganya sana
Huko juu milisema qurani ilitumika kwasababu ni lugha yenye misamiati ya kutosha na kila kitu kilichoandikwa hakina maana mbili
Saiv unasema hyo qirtas ni kiandikio na kimebeba vitu vingi kama ngozi, majani, mawe
Kwanini tulazimishwe kitumike kiarabu wakati na chenyewe bado misamiati yake ina maana mbilimbili?
We mavi quraani siolugha ni maneno ya muumba alipewa nabii wa Mungu kupitia kwa malaika lugha ni kiarabu hakuna lugha inaitwa quraani sawa we kunguni mlizoea kutembea namasweta ni kwenye boxerWewe takataka unapenda kujichanganya sana
Huko juu milisema qurani ilitumika kwasababu ni lugha yenye misamiati ya kutosha na kila kitu kilichoandikwa hakina maana mbili
Saiv unasema hyo qirtas ni kiandikio na kimebeba vitu vingi kama ngozi, majani, mawe
Kwanini tulazimishwe kitumike kiarabu wakati na chenyewe bado misamiati yake ina maana mbilimbili?
vipi inafaa kuelewa lugha ya kiarabu ili uelewe Quran au sio lazima??K
We mavi quraani siolugha ni maneno ya muumba alipewa nabii wa Mungu kupitia kwa malaika lugha ni kiarabu hakuna lugha inaitwa quraani sawa we kunguni mlizoea kutembea namasweta ni kwenye boxer
Punguza kuwaza kwa kutumia mkund*uK
We mavi quraani siolugha ni maneno ya muumba alipewa nabii wa Mungu kupitia kwa malaika lugha ni kiarabu hakuna lugha inaitwa quraani sawa we kunguni mlizoea kutembea namasweta ni kwenye boxer
Ushahidi?Dah mpaka sasa timu kobaaz mabusha wanarukaruka tu wameshindwa kabisa kuja na hoja maana kwenye ukweli uwongo hujitenga shetani alimshushia mudi kitabu chake cha kishetani kwa kuwa mudi hakujua kusoma wala kuandika na hivyo shetani akajua wazi maamuma mudi kalume kenge huyu hatoweza hoji chochote.
Hoja yako ilikuwa wapi ndani ya Quran Muhammad anajua kusomaushahidi wa mtume kuambiwa maneno na kufundishwa kusoma tunaupata wapi?
Vipi kama alijitungia hayo maneno?
Hakuna uwezekano kuwa alikuwa anajitungia kwa kusaidiwa na Waraqah na Bahira?
kwa nini baada ya Waraqah kufa Wahyi ulikoma kushuka kwa muda mrefu kwa nini wale wote waliokuwa wanamzunguka mwamedi mwanzoni mwa utume wake walikuwa wakristo?
Malaika Jibril kumtokea mtume Muhammad pangoni ilikuwa ni mara ya kwanza na kumlazimisha asomekuna Ayah yoyote Muhammad alitambulishwa kwamba"mimi hapa mbele yako ni malaika jibrili,nimetumwa na Allah Mungu apaswaye pekee kuabudiwa"kabla aanze kumpa madesa ya kumeza kwa kumkaba??
je alijitambulisha kwanza au alifanya kumvamia tu!!!Malaika Jibril kumtokea mtume Muhammad pangoni ilikuwa ni mara ya kwanza na kumlazimisha asome
Mara ya pili alimtokea chumbani kwake akiwa amela huku akitafakali Yale yaliyo mtokea pangoni
Quran 74:1
Ewe uliye jigubika!
74:2 - Simama uonye!
74:3 - Na Mola wako Mlezi mtukuze!
Na Baada ya hapo Malaika Jibril aliendelea kuja Kwa mtume Kwa muda wa miaka 23
Inawezekana kabisa mtume Muhammad ndio nabii aliyeonana na malaika Jibril mara nyingi kuliko nani mwingine yeyote
Kwa jambo la malaika Jibril kuonana na mtume Muhammad sio ishu
ACHA KUJADILIANA NA WAPUMBAVU,Hoja yako ilikuwa wapi ndani ya Quran Muhammad anajua kusoma
Nimekupa Aya hiyo hapo
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
Hayo mengine ni mambo ya kiimani unaweza ukaamini au usiamini hiyo ni juu yako
Ila Quran inasema Muhammad alifundishwa kusoma na Malaika Jibril
Kitaalam ndio ipo hivyo
Sasa kiimani ni juu yako uamini au usiamini na hakuna mtu atakayekulazimisha uamini
Sasa usichanganye kiimani na kitaalamu
Nimekufuatilia hatua kwa hatua majibu yako. Kuna kitu utakuwa unachanganya au hatuelewi hapa.Utaelewa tu maana sijawahi kufundisha kafiri yoyote kuhusu uislam na mtume Muhammad asielewe
Kwanza Tambua Mwalimu wa mtume Muhammad ni malaika Jibril
First time Malaika Jibril anakuja Kwa mtume Muhammad ujumbe aliyomtea ni kuhusu kusoma na kuandika
Na hapo mtume analazimishwa asome Quran aliyokuja nayo malaika Jibril Aya 5 za Kwa kwanza kushuka na mtume aliweza kuzisoma hizo aya
Quran 96:1
Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
Quran 96:2
Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
Quran 96:3
Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!
Quran 96:4
Ambaye amefundisha kwa kalamu.
Quran 96:5
Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
Hapa mtume anaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atafundishwa na hato sahau
Quran 87:6
Tutakusomesha wala hutasahau,
Quran 87:7
Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana.
Quran 87:8
Na tutakusahilishia yawe mepesi.
Na hapa mtume ndio anafundishwa kusoma
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
wa kwamba mudi alikuwa mjinga maamuma asiyejua kusoma wala kuandika?Ushahidi?
Sisi tunataka ushahidi kama hayo ni maneno ya Mungu Maalim,Hoja yako ilikuwa wapi ndani ya Quran Muhammad anajua kusoma
Nimekupa Aya hiyo hapo
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
Hayo mengine ni mambo ya kiimani unaweza ukaamini au usiamini hiyo ni juu yako
Ila Quran inasema Muhammad alifundishwa kusoma na Malaika Jibril
Kitaalam ndio ipo hivyo
Sasa kiimani ni juu yako uamini au usiamini na hakuna mtu atakayekulazimisha uamini
Sasa usichanganye kiimani na kitaalamu
Kashushiwa! Ndio maana huwa tunasema hilo sio neno la Mungu. Ni kitu kimeshushwa tu from somewhere. Lakini Biblia ni Neno la Mungu kwasababu linatoa maelezo ya namna Mungu alivyotembea na watumishi wake. Yale anayoyachukia na maelekezo yake kwa Wanadamu. Lakini pia tahadhar na unabii wa mambo yajayo.Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.
JE, NI QURANI YA AINA GANI ILITEREMSWA KWA SABABU KITABU CHA KARATASI HAKIKUTOKA KWA ALLAH??
Hapa allah anathibitisha kuwa Muhammad hawezi kusoma na kuandika.
👇
قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُمْ جَمِيعًا الَّذِي لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ يُحْيِي وَيُمِيتُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ النَّبِيِّ الْأُمِّيِّ الَّذِي يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَكَلِمَاتِهِ وَاتَّبِعُوهُ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ
AL - A'RAAF - 158
"Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Hapana mungu ila Yeye anaye huisha na anaye fisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka"
Karibuni kwa mjadala japo najua uzi hautadumu huu ila ile ya Covax inapeta tu.
Kazi kwenu mods😁😁😁
View attachment 3420905
Akikujibu nistueNimekufuatilia hatua kwa hatua majibu yako. Kuna kitu utakuwa unachanganya au hatuelewi hapa.
1. Muhammad alipoambiwa na Gibril Soma.
- Hapa alikuwa anaambiwa asome maandishi yaliyoandikwa au akariri Aya anazosomewa na Gibril?
Jibu Hilo halafu nikupe Hadithi itakayokufunga.
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha..naomba jibu hapa maneno haya alikuwa anayasema Jibril au Allah au wote kwa pamoja??Hoja yako ilikuwa wapi ndani ya Quran Muhammad anajua kusoma
Nimekupa Aya hiyo hapo
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
Hayo mengine ni mambo ya kiimani unaweza ukaamini au usiamini hiyo ni juu yako
Ila Quran inasema Muhammad alifundishwa kusoma na Malaika Jibril
Kitaalam ndio ipo hivyo
Sasa kiimani ni juu yako uamini au usiamini na hakuna mtu atakayekulazimisha uamini
Sasa usichanganye kiimani na kitaalamu
Acha niwape tu kwani natumia wamama yako mbwa wewePunguza kuwaza kwa kutumia mkund*u
Ukitaka huna kosa ndio maana ipomisahafu haibadili maana yakitu lengwa lakini kuna lugha mbalimbali mpaka kiswahili ipo ndio maana nasema kuna quraan na kiarabu .kiarabu nilugha ,quraani nimaneno matakatifu wapo waarabu wanaongea kitabu niwakiristo naongezea nahiyovipi inafaa kuelewa lugha ya kiarabu ili uelewe Quran au sio lazima??
Mkuu,Tafuta red letter bibles acha kusumbua watu, Lakn pia yameandikwa na machawa wake kwahyo hatuna uhakika asilimia mia kuwa ni yake pia
Acha kuparamia mada, biblia asilimia 20 tu ndo maneno ya yesu tena yameandikwa na machawa wake baada ya miaka mingi nakatika hao machawa wengine hawajawah muona hata huyo yesu mwenyw.Mkuu,
Unajichanganya sana kwenye maelezo yako. Kwa hiyo, hizo asilimia umezipataje ikiwa huna hakika na usahihi wa hayo maandiko, si useme tu Biblia yote haiaminiki, kwa upande wako?
Ukumbuke, Biblia imeandikwa miaka mingi kabla Yesu hajazaliwa (Yesu Kristo mwenyewe ameisoma Biblia - Agano la Kale) na pia Biblia- agano jipya ndilo limeandikwa baada ya Yesu kupaa.
Hapa tunajadili kuhusu kuandikwa kwa Quran, kwamba imeandikwa baada ya Muhamadi kufa, na kwamba kuna hadithi nyingi zinazoonesha aya nyingi za qurani zilisahaulika (zingine zililiwa na mbuzi). Hoja kwamba Biblia iliandikwa na wafuasi wa Yesu,hivyo haiaminiki,vipi kuhusu Qurani, iliandikwa na Muhamadi ( kumbuka alikuwa hajui kusoma Wala kuandika) ama na maswahaba wake? Ikiwa ni maswahaba,imekuwaje umewaamini kwamba wameandika ukweli?
Unapata taabu kidogo kasome vizuri nabii sio ajui kusoma na kuandika siohivyo muwemnaelewa inasomeka alikuwa hajui kusoma na kuandika .jifunze kujua neno alikuwa hajui .nazani umeelewa sasa tuendelee baada ya kuwepo kule pangoni alitokewa nakijumbe wa muumba akamwambia soma kwa jina lamola wako awali alishindwa ndipo kiumbe akambana ndipo akasoma ndivyo alivyojua kusoma baada ya hapo ndiopo kuraani iliteremshwa kifuani kwake sasa wewe unataka Mungu alete ubao? kwa sisi tunaamini Mungu anapotaka kuumba aswala lolote hachukui nyundo wala ubao anatumia neno tu liwe kwa kuagiza au vyovyote vile sasa sijui nini kinamsumbua kwako kama ulizani utamuona mtume kavaa pensi nakibeg utasubiri yaani Mungu afundishe kama ulivyofundishwa wewe basi umechelewa ndimaana tunaambiwa quraani ni muujiza mmoja wapo ninamna ilivyomfikia nabii huyu.Mkuu,