Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo kumbe bible ni kitabu Cha wachambuzi wa mambo mbalimbali enzi hizo.
 
Kwahiyo kumbe bible ni kitabu Cha wachambuzi wa mambo mbalimbali enzi hizo.
Hayo ni mawazo yako ila kwenye quran mmeambiwa muwasikilize watu wa kitabu,wakristo(injili) ili mpate kujifunza

Hiyo quran yako inaitambua bible sasa wewe ni mufti wa wapi mpaka unaleta hoja dhaifu
 
Hayo ni mawazo yako ila kwenye quran mmeambiwa muwasikilize watu wa kitabu,wakristo(injili) ili mpate kujifunza

Hiyo quran yako inaitambua bible sasa wewe ni mufti wa wapi mpaka unaleta hoja dhaifu
Uislamu unamtambua nabii Issa na Injili yake lakini sio bible. Bible ni Injili kidogo alafu uhuni mwingi ndio maana Kila dhehebu na bible yake
 
Hayo ni mawazo yako ila kwenye quran mmeambiwa muwasikilize watu wa kitabu,wakristo(injili) ili mpate kujifunza

Hiyo quran yako inaitambua bible sasa wewe ni mufti wa wapi mpaka unaleta hoja dhaifu
Dah mpaka sasa timu kobaaz mabusha wanarukaruka tu wameshindwa kabisa kuja na hoja maana kwenye ukweli uwongo hujitenga shetani alimshushia mudi kitabu chake cha kishetani kwa kuwa mudi hakujua kusoma wala kuandika na hivyo shetani akajua wazi maamuma mudi kalume kenge huyu hatoweza hoji chochote.
 
Hiyo kauli yako ya kitabu cha karatasi inaashiria ni kweli quran iliandikwa 1924 kwasababu enzi za mtume kulikuwa hakuna teknolojia ya karatasi na hata msamiati wa karatasi ulikuwa bado haupo ulimwenguni

Naomba niishie hapo

Yaa ni kweli. Walikuwa wakiandika kwenye scroll
 
Yesu alikuwa na elimu Gani bwana kobazmabusha?
 
Kipind Cha mtume kulikua hakuna karatas
Mkiwa wabishi muwe na kumbukumbu jana niliwauliza kwann neno karatasi limetumika kwenye quran(kitabu cha karatasi) nawakati enzi za mtume hakukuwa na karatasi?
Leo umekubali kwamba enzi hizo hakukua na karatasi,
Jibu lako hilo linathibitisha kwamba quran imeandikwa 1924 tena hapo egypt
 
hoja ya kusoma na kuandika inapoteza uhalali pale tu kitabu kinapohusishwa.Muhammadi wa watu hadi anakufa hakujua kama kuna kitabu kinaitwa quran.Kama hakukuwa na visible book hoja ya kusoma na kuandika inakufa kabisaa.
ieleweke wazi kuwa watu wasiojua kusoma na kuandika wana uwezo mkubwa sana wa kukariri kwa hiyo hapo hakuna muujiza
 
Ali Imran
Kama Yesu ni Issa bin Maryam na kama kuna Injili yake, naomba kifungu kinachotaja "wanafunzi wake mkuu". Na pia Yesu alifundisha wanafunzi wake namna ya kuimba maarufu kama "sala ya Bwana". Naomba kifungu kutoka katika Injili aliyotelemshiwa Issa bin Maryam akifundisha "sala ya Bwana"

Ukinipa leo naretard.
 
Hiyo injili inapatikana kwenye sura gani kwenye quran
Surat Al-Hadid - 57:27
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

ثُمَّ قَفَّيْنَا عَلَىٰٓ ءَاثَـٰرِهِم بِرُسُلِنَا وَقَفَّيْنَا بِعِيسَى ٱبْنِ مَرْيَمَ وَءَاتَيْنَـٰهُ ٱلْإِنجِيلَ ۖ وَجَعَلْنَا فِى قُلُوبِ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوهُ رَأْفَةًۭ وَرَحْمَةًۭ ۖ وَرَهْبَانِيَّةً ٱبْتَدَعُوهَا مَا كَتَبْنَـٰهَا عَلَيْهِمْ إِلَّا ٱبْتِغَآءَ رِضْوَٰنِ ٱللَّهِ ۖ فَمَا رَعَوْهَا حَقَّ رِعَايَتِهَا ۖ فَـَٔاتَيْنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ مِنْهُمْ أَجْرَهُمْ ۖ وَكَثِيرٌۭ مِّنْهُمْ فَـٰسِقُونَ

Tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Kisha tukawafuatishia (Manabii) wengine juu ya nyayo zao, na tukamfuatisha Isa bin Maryamu, na tukampa Injili. Na tukajaalia mioyoni mwa waliomfuata huruma na rehema. Na monamo walizusha utawa, hatukuwaandikia wao, isipokuwa kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuizingatia ipasavyo. Basi tukawapa walioamini miongoni mwao ujira wao, na wengi wao ni waasi.”
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…