Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Status
Not open for further replies.
mmedanganywa sana na mwamedi aisee!
Injili ni kitabu?
 
Vijana wa mwamposa, kizazi Cha miujiza na mafuta ya upako, uwezo wa kufikiria kwenye hii mijadala Huwa ni mdogo sana
Wateja wakubwa wa Mwamposa ni kina mama wa kiislam maalim na wanatoa ushuhuda kabisa waziwazi,Usisahau kuwa Mazinge na Kishki nao wanauza mafuta ya upako siku hizi mkuu
 
Wateja wakubwa wa Mwamposa ni kina mama wa kiislam maalim na wanatoa ushuhuda kabisa waziwazi,Usisahau kuwa Mazinge na Kishki nao wanauza mafuta ya upako siku hizi mkuu
Hata wanawake wa kikristo wanakuja sana Kwa mashehe kusomewa dua
 
Waandishi wa hiki kitabu walichukua maneno ya vitabu vya kiyahudi ambavyo ndivyo vya Mungu wa kweli ili kuwadanganya watu wakachukua habari Fulani na kuibadilisha badilisha . Mfano dhahiri ni story ya Abraham kutaka kumchinja mwanaye wa ahadi isaka yeye huyo bwana aliyeandika ambaye alikuwa ni Mmoja wa malaika akamletea kibesi Mungu na kufukizwa mbinguni na kwa Sasa anatafuta wafuasi wa kwenda kuteseka na moto wa milele akabadili habari hiyo ya wazi iliyokuwa imeandikwa na kumwingiza mtoto ambaye hakuwa wa ahadi ISHMAEL akasema ndiye alitaka kutolewa sadaka na Ibrahim.Zipo habari nyingi bwana huyu ambaye wanamtumia kwenye matibabu na kudhuru watu amepindisha. Hakuishia hapo baada ya kuandika kwa sababu yeye anaufahamu mkubwa maana anaweza kumwingia mtoto mdogo aliyezaliwa Leo na kuanza kuongeza Aya za kitabu hicho umewahi kusikia kitu kinaitwa " wahay" tulia wewe bado ni mdogo kazi yako kukariri. Bwana huyo aliacha anwani yake katika kitabu hicho ambacho kimeandikwa anticlockwise ambayo ni sura nzima iitwayo " SURA TUL JIN" huyu ndiye mwandishi mkuu wa hiki kitu. Bwana yule alikuwa anapandisha tuu na kuongeza kwa kutokuwa na ufahamu wale maswahiba wake wakawa wanaandika na baadaye wanamsomea. Kama anamwingia mtoto mdogo na kuziweka Aya zote kichwani au Kwa mtu mzima ambaye baadaye huitwa " sharif" angeshindwa kumwingiza mfanyabiashara huyo wa zamani?
 
Injili ni kitabu ni maneno yangu si ya mtume Muhammad.

Na kama Kuna sehemu mtume amesema Injili ni kitabu leta then tuendelee na mjadala

injili ya Issa tunaipataje Mkuu?
 
injili ya Issa tunaipataje Mkuu?
Maneno ya Yesu ndo injili ambayo Kwenye biblia yapo chini ya asilimia 20 Kwenye biblia nzima tena hayo Maneno yameandikwa nawatu baada ya yeye kufa hapo baadae sana, yalibaki Kwa asilimia 80 ni masimulizi ya watu wengine
 
Maneno ya Yesu ndo injili ambayo Kwenye biblia yapo chini ya asilimia 20 Kwenye biblia nzima tena hayo Maneno yameandikwa nawatu baada ya yeye kufa hapo baadae sana, yalibaki Kwa asilimia 80 ni masimulizi ya watu wengine
naipataje injili ya Issa bin Maryam mkuu?
unaelewa maana ya Injili kweli maalim?
 
Mkuu,

Vizuri, ikiwa haujui hauwajibiki kujibu maswali zaidi.

Tufundishe, kwa nini quran ililetwa kwa kiarabu?
Sababu ni kama zifuatazo
1. Ilikuwa ni lugha ya mtume ambaye alikuwa mwarabu na jamii ya kwanza kuwafikishia ujumbe wa Quran walikuwa ni wao waarabu

2. Kiarabu kina utajiri mkubwa sana wa misamiati.
Hii inasaidia kuondoa confusion na kuzuia kupeleka ujumbe usiolengwa.

Mfano mbuzi= mnyama
mbuzi= kifaa Cha kukunia nazi
Hakuna ujinga huo kwenye kiarabu.

Vipi nyie upande wenu torati, Injili na zaburi zilikuja Kwa kiswahili?
 
Nadhani packages zake Huwa zinajieleza kuwa zimetengenezwa Kwa mitishamba Fulani.

Ukweli usopingika ni kuwa dawa zote hata hizo za kizungu zimetengenezwa Kwa miti.

Haya tuletee package za mafuta ya upako
mafuta ya mzeituni maalim
 
Allah anaongea kiarabu?
 
Nataka ile orijino isiyokuwa na uhuni ya Issa bin Maryam Mkuu.
Nisaidie na mimi nisipelekwe pelekwe kama zombie maalim
Hahahah hiyo original sidhani kama utaipaita Kwasababu Kuna mwenzako alisema

Wachambuzi walikaa wakachakata torati, Injili na zaburi wakaifanya ikawa bible.

Tunaposema kuchakata Kwa muktadha huu tunamaanisha kuchukua yanayotupendeza na kuachana na yasiyotupendeza

Mind you torati, Injili na zaburi ni maandiko kutoka Kwa mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…