Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Kitabu cha Quran kinataka jina la Israel mara 43 katika maandiko yake, lakini kitabu icho icho hakina andiko lolote linatolotaja neno Palestina (Palestine), kwa lugha nyingi yani jina Palestina halipo kwenye Quran. Na Uislam hautambui taifa la Palestina, lakini unatambua Taifa la Israel.
Inashangaza sana kuona waislamu wanaenda kinyume na dini na kitabu chao cha Quran, kisa tu kutetea waarabu. Taifa la Palestina ni mazao ya uhamaji wa waturuki na waarabu wengine ambao pia tumewaona wakinyakua makazi kaskazini mwa bara la Afrika ambalo mwanzo maeneo hayo yalikaliwa na Watu weusi. Katika Quran hakuna taifa la Palestina, hivyo kwa mujibu wa Quran hakukuwa na Taifa ilo isipokuwa Israel ambayo imetajwa mara 43.
Waislamu kinachowaendesha si dini bali itikadi na tamaduni za waarabu. Kulazimisha manabii na mitume wote kuwa ni Wapalestina, wakati Mfalme Daudi (Dawood in Islam), anafahamika kuwa ndiye mfalme hodari wa taifa la Israel.
Nyie waislamu tuonesheni hilo neno Palestina kwenye kitabu chenu