Kwanza kitendo cha kutokushindwa vita kipindi wanapigana na Mataifa yote ya kiarabu miaka ya 1948, 1967, 1973Mkuu nitajie kitu kimoja special na cha ziada ambacho Israel wanakipata moja kwa moja kutoka mbinguni kiasi cha kusema wamebarikwa???
Quran haijawataja wayahudi wala wapalestina, ila imewataja wana wa Israel. Nioneshe ni wapi Quran imetaja Taifa la Palestine au Wapalestina.Unaandika kitu ambacho hukijuii kabisa na hiyo Quran yenyewe huijui iyo nguvu ya kuandika uongo umeitolea wapi kwenye Quran imewaandika wayahudi na sio iyo nchi unaizungumzia na kwa sababu Quran ni kitabu ambacho hakina Shaka ndani yake kimekusanya ukwel mtupu na hao wayahudi unajua wamezungumziwa vipi.
NB:Cristian Vs Jewish hawa ni watu au dini mbili tofauti kabisa elewa Kwanza apa
Baadhi ya waislam ni wanafiki sana yana hata quran kitabu chao kinaeleza israel ni taifa teuleWewe mwenyewe afya ya Akili timamu tuelezee sasa Israel imeandikwa kwa mlengo hupi kwenye Quran, maana umeandika porojo tu, ujaandika facts.
Sasa ngoja nikupe facts za kwenye Quran kuhusu nchi na taifa la Israel.
Jina la Israel linapatikana katika Quran, kitabu kitakatifu cha Uislam. Hata hivyo, katika muktadha wa Quran, "Israel" mara nyingi linahusiana na nabii wa Mwenyezi Mungu, yaani, Nabii Ya'qub (Jacob), ambaye alipewa jina la Israel. Kwa hiyo, mara nyingine, neno "Israel" linaweza kutumika kumaanisha uzao au wafuasi wa Nabii Ya'qub.
Quran ina ainisha ahadi za MUNGU kwa watu wa Israel katika vifungu vifuatavyo;
Quran 2:40: "Enyi wana wa Israeli! Kumbukeni neema yangu niliyowaneemesha, na nitimizeni ahadi yangu nami nitatimiza ahadi yenu, na niweni waogofya Mwenyezi Mungu."
Quran 2:47: "Enyi wana wa Israeli! Kumbukeni neema yangu niliyowaneemesha, na ya kwamba nimewateuweni kuliko walimwengu wote."
Quran 17:2: "Tumpeni kisogo Bani Adamu wote walioasi. Je, mmesikia kisa cha wana wa Israeli walipopewa Ishara zetu wanapojionyesha kwao Nabii mmoja baada ya mwingine? Wakapuuza na hawakuwaambia wala hawakuonywa!"
Quran 20:80: "Enyi wana wa Israeli! Tulikukomesheni na adui yako, kisha tukakuteremshieni manna na salwa."
Quran 26:197: "Enyi wana wa Israeli! Kumbukeni neema yangu niliyowaneemesha, na ninyi niliowateuweni kuliko walimwengu wote."
Wao hawataki kufuata maandiko ya Quran, wanataka kufata Tamaduni za kiarabu... Palestina haijatajwa kwenye Quran hata kidogo, lakini leo hii kila muislamu anashupalia WapalestinaBaadhi ya waislam ni wanafiki sana yana hata quran kitabu chao kinaeleza israel ni taifa teule
Marko 12.Wewe unasoma Biblia gani mkuu... MUNGU mwenyewe alisema. Soma hivi vifungu vinavyoonesha Israel ni nchi na taifa.
Vifungu vingi katika Biblia vinaelezea jinsi Mungu alivyochagua na kuweka kando watu wa Israeli kama taifa lake. Baadhi ya vifungu vinavyodhihirisha hili ni pamoja na:
1. Mwanzo 17:4-8: Hapa kwenye hiki kifungu, Mungu anatoa agano lake na Ibrahimu, akiahidi kuwa atakuwa Mungu wa uzao wake na uzao wao utakuwa taifa lenye ardhi.
2. Kutoka 19:5-6: Mungu anawaambia Waisraeli kuwa watakuwa taifa teule na utawala wa kikuhani.
3. Kumbukumbu la Torati 7:6: Mungu anawaambia Waisraeli kuwa wao ni watu teule mbele zake.
4. Yeremia 31:35-37: Hapa, Mungu anathibitisha ahadi zake za kudumu kwa Israeli.
5. Zaburi 105:8-11: Zaburi hii inaelezea kuhusu agano la Mungu na Ibrahimu na jinsi alivyolilinda taifa la Israeli.
Hizi ni baadhi tu ya mifano, na kuna mengi zaidi katika vitabu vya Agano la Kale vinavyoelezea uhusiano wa Mungu na watu wa Israeli kama taifa.
Kosa kubwa ulilofanya ni kulinganisha utajo wa Wana wa Israel waliotajwa kuwa ndio Taifa batili la Israel lililonzishwa miaka ya karibuni.Wewe mwenyewe afya ya Akili timamu tuelezee sasa Israel imeandikwa kwa mlengo hupi kwenye Quran, maana umeandika porojo tu, ujaandika facts.
Sasa ngoja nikupe facts za kwenye Quran kuhusu nchi na taifa la Israel.
Jina la Israel linapatikana katika Quran, kitabu kitakatifu cha Uislam. Hata hivyo, katika muktadha wa Quran, "Israel" mara nyingi linahusiana na nabii wa Mwenyezi Mungu, yaani, Nabii Ya'qub (Jacob), ambaye alipewa jina la Israel. Kwa hiyo, mara nyingine, neno "Israel" linaweza kutumika kumaanisha uzao au wafuasi wa Nabii Ya'qub.
Quran ina ainisha ahadi za MUNGU kwa watu wa Israel katika vifungu vifuatavyo;
Quran 2:40: "Enyi wana wa Israeli! Kumbukeni neema yangu niliyowaneemesha, na nitimizeni ahadi yangu nami nitatimiza ahadi yenu, na niweni waogofya Mwenyezi Mungu."
Quran 2:47: "Enyi wana wa Israeli! Kumbukeni neema yangu niliyowaneemesha, na ya kwamba nimewateuweni kuliko walimwengu wote."
Quran 17:2: "Tumpeni kisogo Bani Adamu wote walioasi. Je, mmesikia kisa cha wana wa Israeli walipopewa Ishara zetu wanapojionyesha kwao Nabii mmoja baada ya mwingine? Wakapuuza na hawakuwaambia wala hawakuonywa!"
Quran 20:80: "Enyi wana wa Israeli! Tulikukomesheni na adui yako, kisha tukakuteremshieni manna na salwa."
Quran 26:197: "Enyi wana wa Israeli! Kumbukeni neema yangu niliyowaneemesha, na ninyi niliowateuweni kuliko walimwengu wote."
Akikujibu ni tag please 🙏Mkuu nitajie kitu kimoja special na cha ziada ambacho Israel wanakipata moja kwa moja kutoka mbinguni kiasi cha kusema wamebarikwa???
Iweje nchi iliyobarikiwa iwe ndio inayoongoza kwa mifarakano, migogoro na vita? Nchi kama Swissland, Sweden, Finland, Canada, emirates, Botswana, Bhutan, Singapore, Malaysia, Namibia na Eswatini hazijabarikiwa?
Kwanza fahamu qur,an inapo taja jina Israel inakusudia nini?tatizo lenu nyiyi wakirito mnawatukuza wayahudi kuliko hata Mungu alie waumba,quran inapotaja Israel inakusudia mtoto wa iburahimu sio wayahudi ibapotaja bani Israel inakusgudia kizazi cha yakobo au yakuubuKitabu cha Quran kinataka jina la Israel mara 43 katika maandiko yake, lakini kitabu icho icho hakina andiko lolote linatolotaja neno Palestina (Palestine), kwa lugha nyingi yani jina Palestina halipo kwenye Quran. Na Uislam hautambui taifa la Palestina, lakini unatambua Taifa la Israel.
Inashangaza sana kuona waislamu wanaenda kinyume na dini na kitabu chao cha Quran, kisa tu kutetea waarabu. Taifa la Palestina ni mazao ya uhamaji wa waturuki na waarabu wengine ambao pia tumewaona wakinyakua makazi kaskazini mwa bara la Afrika ambalo mwanzo maeneo hayo yalikaliwa na Watu weusi. Katika Quran hakuna taifa la Palestina, hivyo kwa mujibu wa Quran hakukuwa na Taifa ilo isipokuwa Israel ambayo imetajwa mara 43.
Waislamu kinachowaendesha si dini bali itikadi na tamaduni za waarabu. Kulazimisha manabii na mitume wote kuwa ni Wapalestina, wakati Mfalme Daudi (Dawood in Islam), anafahamika kuwa ndiye mfalme hodari wa taifa la Israel.
Nyie waislamu tuonesheni hilo neno Palestina kwenye kitabu chenu
ajabu supa dupa USA imeajwa mara 0...utajua hujielewi mtoa madaKitabu cha Quran kinataka jina la Israel mara 43 katika maandiko yake, lakini kitabu icho icho hakina andiko lolote linatolotaja neno Palestina (Palestine), kwa lugha nyingi yani jina Palestina halipo kwenye Quran. Na Uislam hautambui taifa la Palestina, lakini unatambua Taifa la Israel.