Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Ishmael amekuta kabila za waarabu zipo na walikuwa waliongea kiarabu!
Anakuja vipi kuwa baba wa waarabu?

Exactly Uko sahihi.

Anayedai kuwa Ishamel ni baba wa waarabu ni Quran ya mtume.

Na ni danganya toto tu ili ajizolew maujiko ya ubarikio aliopewa Ishamel kama mtoto wa Ibrahim.

Ni janja janja nyingne ya Mohamed.
 
Samahani, ukitaka tushindane niulize chochote kuhusu Physics & Maths ila hayo mambo ya simulizi za hapo zamani za kale naomba nisichangie....
Japo kusema waarabu wa Egypt hawakuwa civilized nafikiri unahitaji kurudia vitabu vyako vya hapo zamani za kale kwa kuwa, yapo mengi tu ya hesabu hadi tunayosoma leo duniani asili yake ni Egypt
 

Huyo anayesema, akasema .....,,, ni Nani ??
 
Empty sio ya Mwarabu hebu rudi class tena bob,waarabu wameivamia Egypt kipindi cha Ottoman Empire na kuwasukumia wenyeji mbele!
 
Wewe kidogo una uelewe Sasa ngoja tumtafute mrithi wa Ibrahim

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

Mungu anamwambia Ibrahim mtoto atakaye mrithi atatoka katika viuno vyake

Kwa ushahidi wa maandiko Ishmael ndio mtoto aliyetokana na viuno vya Ibrahim
 
kama amenakili kwenye biblia iweje Quran ipinge juu ya imani za utatu mtakatifu, uungu wa yesu, kusulubiwa kwa yesu, dhambi ya asili, kuamini uokovu kupitia damu ya Yesu, yesu kuwa mwana wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…