Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Kwa hiyo tupigie mstari kuwa braza alikua hajui kusoma wala kuandika
na lau kama angelewa uwezo wa kuandika na kusoma basi waliokufuru wangekuja na hoja kuwa aliandika Quran baada ya kusoma vitabu vilivyopita.
 
Kwa hiyo tupigie mstari kuwa braza alikua hajui kusoma wala kuandika
kutokujua kusoma wala kuandika ni ishara ya utume wa Mtume Muhammad "pbuh".

Quran 29:48

"Na wewe hukuwa kabla yake unasoma kitabu chochote, wala hukukiandika kwa mkono wako wa kulia. Ingeli kuwa hivyo wangeli fanya shaka wavunjifu."
 
kuna mitume ilikuwa inafata kitabu kimoja mfano mitume yote ya wana wa israel walikuwa walifata kitabu cha taurati kama msingi na muongozo wa sheria.

Nabii Daudi a.s alipewa kitabu cha Zaburi ila hakikuwa na sheria mpya..hivyo aliendelea kuifata torati ya musa

Nabii Yesu alipewa kitabu cha Injili ,hakikuja kuitengua torati.

Mtume Muhammad (s.a.w) alipewa Quran ambayo ilikuja na sheria mpya tofauti na zile za wana wa israel.

Pia mitume kabla ya Musa ilikuwa ikipewa Suhufi (miongozo).

Quran 3:84

"Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake."
Shukrani
 
Ismail aliteremshiwa nn?.
Kumbukumbu la Torati 33:2 Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawaondokea kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani,

Neno zima ni hili.

Kumbukumbu la Torati 33:2
"[2]Akasema,
BWANA alitoka Sinai,
Akawaondokea kutoka Seiri;
Aliangaza katika kilima cha Parani,
Akaja Meribath-kadeshi.
Upande wa mkono wake wa kuume
Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao. "

Kama mistar hii inazungumzia mitume.
Naomba nitajie mtume aliyefuata baada ya Mohamed ambae ametokea Meribath-kadeshi.

Jagina Mkono Mmoja gallow bird

Cc
Dumas the terrible camerlengo
 
Quran 29:48

"Na wewe hukuwa kabla yake unasoma kitabu chochote, wala hukukiandika kwa mkono wako wa kulia. Ingeli kuwa hivyo wangeli fanya shaka wavunjifu."

Nani anayasema haya wakat Quran ime
na lau kama angelewa uwezo wa kuandika na kusoma basi waliokufuru wangekuja na hoja kuwa aliandika Quran baada ya kusoma vitabu vilivyopita.

Je Ukisomewa na kukariri alaf ukaenda kwa watu kuwambia waandike uliyokariri.?.
Ni kitu kinachowezekana.
Na ndio maana visa nying amedesa desa hajapatia kama vilivyo sahihi kwenue Biblia.

Wahyi ni utapeli😎😎😎😎
 
Mousa alikuwa akiongea kiarabu??? Msaada please! Vipi kuhusu David, Solomon etc?
Musa alizaliwa Misri na wazazi wake walikuwa wanaishi misri ambapo lugha ilikuwa inatumika ni Kiarabu.
Hata hivyo Waisraeli halisi wale wa mwanzo (sio hawa wa kuunga unga) kwa kiasi kikuwa walikuwa wanajua lugha ya kiarabu vizuri
 
Ismail aliteremshiwa nn?.

Neno zima ni hili.

Kumbukumbu la Torati 33:2
"[2]Akasema,
BWANA alitoka Sinai,
Akawaondokea kutoka Seiri;
Aliangaza katika kilima cha Parani,
Akaja Meribath-kadeshi.
Upande wa mkono wake wa kuume
Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao. "

Kama mistar hii inazungumzia mitume.
Naomba nitajie mtume aliyefuata baada ya Mohamed ambae ametokea Meribath-kadeshi.

Jagina Mkono Mmoja gallow bird

Cc
Dumas the terrible camerlengo
Nataka unioneshe ni wapi Mungu aliwapa Utume Musa na Issa kwenye mlima wa Parani!
 
Mussa alikuwa Muebrania.
Alizaliwa utumwan Misri.
Na baadae kuwatoa wana wa Israel Misri kwenda Kaanani (palestina) ila hakufika.

Sina uhakika Ni lugha gan alikuwa anazungumza ila sio Kiarabu.
Aliwatoa wana wa ISRAEL kuwapeleka PALESTINE

Manina wewe
 
Musa alizaliwa Misri na wazazi wake walikuwa wanaishi misri ambapo lugha ilikuwa inatumika ni Kiarabu.
Hata hivyo Waisraeli halisi wale wa mwanzo (sio hawa wa kuunga unga) kwa kiasi kikuwa walikuwa wanajua lugha ya kiarabu vizuri
Wamisri wa miaka 5000 iliyopita hawakuwa wanatumia kiarabu bali lugha ya kale ya kimisri na maandishi ya hieroglyphic
 
Wewe mwenye akili nyingi unajizungushazungusha kwa kupindisha ukweli kuwa Ishmael na Babu zake walikuwa waebrania regardless waliishi wapi.
Msambaa atakuwa msambaa tu hata kama amezaliwa mbozi tuwekane sawa hapo. Hata ukiweka ramani za aina gani Bado biblia inazitambua kabila za Wana wa Ishmael kwa mujibu wa Mwanzo 25:18 hawakuwa waarabu.
Hizi janja janja za.kujipachika kwenye lineage ya Ibrahim tunazikataa kabisa!
Wale wanaoishi Misri ni waarabu japo hawaishi kwenye Arabian Peninsula na si Waafrika na hata wao wanajinasibisha na uarabu!
Wewe mgalatia Leo umeleta mpya kwahiyo wakazi wa Saudi Arabia wanaitwa WAIBRANIA?
 
Attachments

  • Screenshot_20251230-094734.jpg
    Screenshot_20251230-094734.jpg
    112.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20251230-175157 (1).jpg
    Screenshot_20251230-175157 (1).jpg
    114 KB · Views: 14
  • Screenshot_20251230-175711.jpg
    Screenshot_20251230-175711.jpg
    103.3 KB · Views: 12
Wewe mgalatia Leo umeleta mpya kwahiyo wakazi wa Saudi Arabia wanaitwa WAIBRANIA?
Mimi nimeongelea uzao wa Ibrahim naomba usinitoe kwenye reli.
Waarabu wamekuwepo na wanatajwa ndani ya Biblia na lugha yao ni kiarabu!
Descendants wa Ibrahim lugha yao ni kihebrania!
 
Mimi nimeongelea uzao wa Ibrahim naomba usinitoe kwenye reli.
Waarabu wamekuwepo na wanatajwa ndani ya Biblia na lugha yao ni kiarabu!
Descendants wa Ibrahim lugha yao ni kihebrania!
Sasa uzao wa Ibrahim si pamoja na Ishmael ambaye yeye na uzao wake wameishi Saudi Arabia au Ishmael sio uzao wa Ibrahim?
 
Musa alizaliwa Misri na wazazi wake walikuwa wanaishi misri ambapo lugha ilikuwa inatumika ni Kiarabu.
Hata hivyo Waisraeli halisi wale wa mwanzo (sio hawa wa kuunga unga) kwa kiasi kikuwa walikuwa wanajua lugha ya kiarabu vizuri
Yaani wewe ndio Hopeless kabisa Ancient Kemet waliongea kiarabu???
Kweli Muslims na elimu ni mbingu na ardhi 😅
Wewe hao waarabu hapo Misri wamevamia karne za 15 AD tu hapo,
Misri/Kemet ilikaliwa na Blacks tupu na waliongea Lugha ya Kemetic na Koptic lugha za kale za himaya ya Misri
Unachekesha unavyosema Musa aliongea kiarabu,waarabu ni jamii za mwisho kabisa kua civilised walikua barbarian wa jangwani washukuru Muhammad Abdula Mutalib mjanja aliyetembea alikuja kuwazindua miaka ya 600AD hapo!
 
Wanadanganywa bila ya kuwa na historical evidence!
Wanafikiri Babeli ilikuwa chini ya waarabu.
Namna pekee ya kumpachika Mwamedi kwenye prophetic. Lineage ni kuwageuza manabii kuwa waarabu wakati historia inagoma!
 
Sasa uzao wa Ibrahim si pamoja na Ishmael ambaye yeye na uzao wake wameishi Saudi Arabia au Ishmael sio uzao wa Ibrahim?

Kwa habar ya Ismael kuwa muarabu Nakubaliana na Wewe.

Neno Mwebrania (Hebrew / ‘Ivri) linahusishwa na Eberi (Eber).

Mwanzo 10:21
“Na Shemu naye akazaliwa wana; naye ndiye baba wa wana wote wa Eberi…”

- ukoo ni: Nuhu → Shemu → Arpaksadi → Shela → Eberi → … → Ibrahimu → Isaka → Yakobo (Israeli)

jina Waebrania linahusishwa na uzao unaopita kwa Eberi, na baadaye kwa Yakobo (Israeli).

- Mungu alichagua Isaka kwa ajili ya AGANO
Mwanzo 17:19
“Nitalithibitisha agano langu kwake (Isaka) na uzao wake baada yake, liwe agano la milele.”

Mwanzo 21:12
“Kwa maana katika Isaka ndipo uzao wako utakapoitwa.”
- Ina maana Sio kila mwana wa Ibrahimu anakuwa uzao wa agano.
Isaka ndiye aliyeteuliwa kubeba agano la Mungu.

Yakobo (Israeli) ndipo taifa lilipoanza
Isaka alimzaa Yakobo, ambaye Mungu alimpa jina jipya Israeli.

Mwanzo 32:28
“Jina lako halitaitwa tena Yakobo, bali Israeli…”
  • wana wa Yakobo = makabila 12
  • Hapo ndipo taifa la Waisraeli (Waebrania) lilipoanza rasmi

Kwa ufupi Waebrania = uzao wa Isaka → Yakobo (Israeli)
  • Jina linahusishwa na Eberi.
  • Agano la Mungu lilipitia Isaka.
  • Taifa lilijengwa kupitia Yakobo (Israeli).

Ishamel inawezena ndio alianzisha Uarabu.

Mwanzo 21:21
“Naye akakaa katika jangwa la Parani, mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.”

Mwanzo 25:13–18
“Hao ndio wana wa Ishmail… wakaishi kutoka Havila hata Shuri…”

Kufupisha Ishmail:
  • Alikaa jangwani (Parani / Hijazi)
  • Alioa Mmisri.
  • Watoto wake waliishi Arabia.
 
Wanadanganywa bila ya kuwa na historical evidence!
Wanafikiri Babeli ilikuwa chini ya waarabu.
Namna pekee ya kumpachika Mwamedi kwenye prophetic. Lineage ni kuwageuza manabii kuwa waarabu wakati historia inagoma!
Hawa jamaa elimu hawana ni mbumbumbu sana kwanza hawajui hata Islamic state kama Ottoman waturuki na Moors waafrika ndio waliueneza Uislamu kwa upanga baada ya Muhammad na hao waarabu walikua mbwa tu walipata nguvu baada ya uungwaji mkono na hizo jamii tajwa na ndio Ujanja wa Uislam bila hivyo Uislam ungekufa mapema sana maana walitumia kama chombo cha agenda kusimika utawala wao,
Leo anatokea mtu anasema Waarabu walikua na power 5000BC sure?
😂😂
 
Kwa habar ya Ismael kuwa muarabu Nakubaliana na Wewe.

Neno Mwebrania (Hebrew / ‘Ivri) linahusishwa na Eberi (Eber).

Mwanzo 10:21
“Na Shemu naye akazaliwa wana; naye ndiye baba wa wana wote wa Eberi…”

- ukoo ni: Nuhu → Shemu → Arpaksadi → Shela → Eberi → … → Ibrahimu → Isaka → Yakobo (Israeli)

jina Waebrania linahusishwa na uzao unaopita kwa Eberi, na baadaye kwa Yakobo (Israeli).

- Mungu alichagua Isaka kwa ajili ya AGANO
Mwanzo 17:19
“Nitalithibitisha agano langu kwake (Isaka) na uzao wake baada yake, liwe agano la milele.”

Mwanzo 21:12
“Kwa maana katika Isaka ndipo uzao wako utakapoitwa.”
- Ina maana Sio kila mwana wa Ibrahimu anakuwa uzao wa agano.
Isaka ndiye aliyeteuliwa kubeba agano la Mungu.

Yakobo (Israeli) ndipo taifa lilipoanza
Isaka alimzaa Yakobo, ambaye Mungu alimpa jina jipya Israeli.

Mwanzo 32:28
“Jina lako halitaitwa tena Yakobo, bali Israeli…”
  • wana wa Yakobo = makabila 12
  • Hapo ndipo taifa la Waisraeli (Waebrania) lilipoanza rasmi

Kwa ufupi Waebrania = uzao wa Isaka → Yakobo (Israeli)
  • Jina linahusishwa na Eberi.
  • Agano la Mungu lilipitia Isaka.
  • Taifa lilijengwa kupitia Yakobo (Israeli).

Ishamel inawezena ndio alianzisha Uarabu.

Mwanzo 21:21
“Naye akakaa katika jangwa la Parani, mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.”

Mwanzo 25:13–18
“Hao ndio wana wa Ishmail… wakaishi kutoka Havila hata Shuri…”

Kufupisha Ishmail:
  • Alikaa jangwani (Parani / Hijazi)
  • Alioa Mmisri.
  • Watoto wake waliishi Arabia.
Ishmael amekuta kabila za waarabu zipo na walikuwa waliongea kiarabu!
Anakuja vipi kuwa baba wa waarabu?
 
Wao kuishi Saudia kunawafanya kuwa waarabu?

Ishmael hakuzaliwa Muarabu.
Ila
  • Aliishi Arabia.
  • Alizungumza Kiarabu.
  • alioa na kuzaa ndani ya jamii za Kiarabu.

Ndiyo maana anahesabiwa kuwa muarabu kwasababu ya utamaduni na lugha.

Hii mtume kujinasibu kuwa yeye ni uzao wa Ishmael ni ili adanganye kuwa amebarikiwa.

Quran ituonyeshe kuwa Mohamed ni uzao wa Ishmael.
 
Back
Top Bottom