gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Lete ushahidi wewe kuwa aliabuduChai, lete ushahidi Muhammad hakuabudu miungu Uzi na manati ile miungu ya WaQuraish pale kaaba!
Lete ushahidi wewe kuwa aliabuduChai, lete ushahidi Muhammad hakuabudu miungu Uzi na manati ile miungu ya WaQuraish pale kaaba!
Akili zenu shida tupu,hilo swali lako hata we mwenyewe umelielewa?Umesema kusilimu ni kujisalimisha kwa mungu je muislamu usilimu kuwa muislamu?
Sija kimbia hso nilio watag ni waislamu walisha wai kukimbia hii mada ya kusilimu kwa Muhammad ndiyo maana nimewaita wapate ilimu kutoka kwako inaelekea wewe ni ustadhi mkubwa sana 😁😁Ushakimbia,hoja kwisha
Hao hawawezi kulikimbia zezeta kama wewe,waliona wanajadililiana na msukule wenye njaaSija kimbia hso nilio watag ni waislamu walisha wai kukimbia hii mada ya kusilimu kwa Muhammad ndiyo maana nimewaita wapate ilimu kutoka kwako inaelekea wewe ni ustadhi mkubwa sana 😁😁
JE MUISLAMU ANAWEZA KUSILIMU KUWA MUISLAMU?Hao hawawezi kulikimbia zezeta kama wewe,waliona wanajadililiana na msukule wenye njaa
Na unaona maswali ya maana!?.. halafu unataka watu waendelee kufanya mjadala na wewe!JE MUISLAMU ANAWEZA KUSILIMU KUWA MUISLAMU?
JE NI LINI MUHAMADI ALIANZA KUWA MUISLAMU? ...
nijibu haya maswali please nataka kukuonyesha uhuni wa mudi 👦
UMEANZA NA WEWE KUKIMBIA MASWALI ....HAYO MASWALI NILIYO KUULIZA NINATAKA KUKUBANA WEWE NA HUYO MUDI WAKO UCHOMOKI TOA MAJIBU KISHA TUNAKUJA KUUNGANISHA MAJIBU NDIPO UTSJUA KUWA MUHAMMAD NI TAPELI KAMA MWAMPOSA TUNa unaona maswali ya maana!?.. halafu unataka watu waendelee kufanya mjadala na wewe!
Tumia akili hata kidogo basi ndugu yangu!
Misri ni nyumbani kwa waarabu,Tunisia ni nchi ya asili ya waarabu?, Algeria je?
Unajua rules za immigration na emigration?
Vizazi vya Ishmael kuishi uarabuni hakumpi Ishmael uarabu!Ni kama waarabu wa Misri, si waafrika.
Simulizi za kihistoria hazimuoneshi Ibrahim,Yakobo, Isaka na Ishmael kama waarabu!
Ishmael hajawahi kuwa mwarabu kama ambavyo Adam hajawahi kuwa muisilam!
Muislam wa kwanza Duniani ni Muhammad na nabii wa kwanza mwarabu ni Muhammad.
Muhammad haqualify kwenye prophetic lineage kwa sababu si Myahudi Wala wa ukoo wa Ibrahim.
Ibn Ishaq ndo alimtengenezea biography fake ili a fit kwenye prophetic lineage!
Msenegali anayeishi Tanzania ni Mtanzania?
Mzungu anayeishi Tanzania ni Mtanzania?
Iweje uforce mhebrania anayeishi Ur ambayo ni modern Iraq awe mwarabu?
Wacha kupanic tuelezane tu kwa ustaarabu!Nimekuuliza swali dogo tu badala ya kujibu umeandika pumba kibao
Jibu swali
1) Ishmael viliishi nchi gani?
2) Vizazi vya Ishmael viliishi nchi gani?
Kama umeshakubali kuwa Ishmael na vizazi vyake waliishi Saudi ArabiaWacha kupanic tuelezane tu kwa ustaarabu!
Nimekujibu kwa mfano mwepesi sana!
Mwarabu kuishi Misri hakumnyanganyi uarabu wake na kumpa Uafrika!
Ishmael kuishi kwenye Arabian peninsula hakumpi uarabu kumbuka amezaliwa na baba mhebrania na mama Mmisri.
Tukisema alikuwa halfcast ya mhebrania na muafrika tutakuwa hatuko mbali na ukweli!
Sasa wewe nipe ushahidi wa kihistoria na kimaandiko kuwa Ishmael na wazao wake ni waarabu!
Pamoja na kuniita kafiri Bado hoja yangu iko palepale kuwa Abraham na kizazi chake si waarabu.Kama umeshakubali kuwa Ishmael na vizazi vyake waliishi Saudi Arabia
Ngoja Sasa nikufundishe sijawahi kufundisha kafiri asinielewe
Kwanza neno Arabu sio kabila
Neno Arabu limetokana na jina la eneo lililoitwa Arabian desert
Kwanza lilitwa
Jangwa la Paran baadae likaitwa jangwa la Arabu na Sasa ndio Saudi Arabia
Hivyo ukisema Ishmael hakuwa Muarabu ni sawa na kusema Wasukuma sio Watanganyika
Kwahiyo Sasa umeelewa
Kuwa Ishmael aliishi
Jangwa la Paran ndio Jangwa la Arabu na Sasa ndio Saudi Arabia ya saaa
Na hili andiko nakupa zawadi
Kumbukumbu la Torati 33:2 Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawaondokea kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani,
Mungu aliazia mlima Sinai akampa utume Musa
Akaja mlima Seiri upo Juda akampa utume Yesu
Alafu akaenda mlima Parani akampa utume Muhammad
Au kama Kuna mtume mwingine aliyetokea Parani zaidi Muhammad mtaje
Mkuu samahani, hao mitume wote 124,000 wanavitabu vyao? Au wao walikuwa wanahubiri kupitia vitabu vya wengine kama walitumia vya wenzao unaweza kuweka pia tukapata elimu.Mitume wa Mungu wapo 124,000.
Wa kwanza ni Adam na wa mwisho ni Muhammad.
Quran 3:84
"Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake."
Nina wasi wasi na uwezo wako wa kiakiliPamoja na kuniita kafiri Bado hoja yangu iko palepale kuwa Abraham na kizazi chake si waarabu.
Na Mimi kwa kukuongezea maarifa kidogo nikufukunyue kwa kukuuliza kaswali ka kizushi!
Wakati wa Abraham natives wa Ur hawakuwa waarabu na historia iko wazi unaweza hata kumuuliza Chagpt na vilevile Nebuchadnezzar mfalme wa Babeli hakuwa mwarabu hata kidogo.
Waarabu wamehamia Arabian peninsula baadaye sana!
Kuna wasumeria na alchadians ndio walioleta ustaarabu eneo hilo.
Hii habari ya Musa na Yesu kupewa Utume kwenye milima Paran tunazipata kwenye sura gani ya biblia?
Note:Kwa mujibu wa sifa za manabii wa kiyahudi Muhammad haqualify kabisa yeye ni nabii wa Allah si wa YHWh kama Musa.
In Judaism, Muhammad is not considered a prophet primarily because he does not meet several foundational religious and chronological criteria established in Jewish scripture and tradition.
According to Jewish theology, the reasons for his rejection include:
- Cessation of Prophecy: Jewish tradition, particularly the Talmud, teaches that formal prophecy (Nevuah) ended with the death of the last biblical prophets—Haggai, Zechariah, and Malachi—during the early Second Temple period (around the 5th century BCE). Since Muhammad lived centuries later, he is considered outside the permissible age of prophecy.
- Contradiction of Mosaic Law: A core requirement for any subsequent prophet in Judaism is that they must not contradict or abrogate the laws given to Moses in the Torah. Muhammad is seen as a false prophet from this perspective because his message altered established laws, such as dietary restrictions and Sabbath observance.
- Lineage Requirements: According to some interpretations of Jewish law, a prophet for the Jewish people must arise from within the people of Israel. Muhammad, descending from Ishmael and being of Arab descent, does not fit this specific Israelite prophetic lineage.
- Theological Discrepancies: Judaism rejects several specific claims made by Muhammad, such as the identification of Jesus as the Messiah or the assertion that Ishmael (rather than Isaac) was the son Abraham intended to sacrifice.
Wewe mwenye akili nyingi unajizungushazungusha kwa kupindisha ukweli kuwa Ishmael na Babu zake walikuwa waebrania regardless waliishi wapi.Nina wasi wasi na uwezo wako wa kiakili
Wewe itakuwa uwezo wako wa kiakili ni mdogo
Yani Sasa hivi hata haueleweki hoja yako nini
Kama hoja yako kuwa Ibrahim hakuwa mwarabu nimekuambia neno Arabu sio kabila ila ni jina la eneo tena wakati wa Ibrahim hata hilo jina Arabu halikuwepo hilo eneo lilikuwa linaitwa Parani
Kuhusu Ishmael na kizazi chake kuishi Saudi Arabia hilo halina mjadala Bibilia na Quran vyote vinakubali kuwa Ishmael aliishi Saudi Arabia
Sasa wewe hoja yako nini au hauiamini Bibilia na ramani zake?
Sasa naona unandika pumba tu sijui Muhammad aqualify kuwa mtume
Mara sijui aliyetolewa sadaka ni Isaka
Tumalize hili kwanza kuwa Ishmael na kizazi chake ndio waanzilishi wa nchi ya Saudi Arabia na inshort tunawaita waarabu kama sisi tunavyoitwa Watanganyika
Ila kama wewe utaamua kuwaita jina lingine sio mbaya maana neno Arabu sio kabila
Nakuwekea ramani za kale za Bibilia kuonyesha kuwa Ishmael na kizazi chake wameishi Saudi Arabia
Pia nakuwekea ramani ya Sasa ya Saudi Arabia kukuonye hayo majina ya miji yaliyotokana na majina ya watoto wa Ishmael Hadi Leo hi yapo ukiwepo mji wa Tema
Tema ni jina la mtoto wa Nabii Ishmael
Hebrew/ebrania maana yake kuvuka,kuhamia upande wa pili, Ibrahim kuna mto alivuka kuhamia eneo jingine akaitwa Ibrahim muebraniaWewe mwenye akili nyingi unajizungushazungusha kwa kupindisha ukweli kuwa Ishmael na Babu zake walikuwa waebrania regardless waliishi wapi.
Wamisri siyo waarabu wewe, afrika kaskazini siyo waarabu by race,mnyakyusa kuongea kiingereza hakumfanyi kuwa muingerezaMsambaa atakuwa msambaa tu hata kama amezaliwa mbozi tuwekane sawa hapo. Hata ukiweka ramani za aina gani Bado biblia inazitambua kabila za Wana wa Ishmael kwa mujibu wa Mwanzo 25:18 hawakuwa waarabu.
Hizi janja janja za.kujipachika kwenye lineage ya Ibrahim tunazikataa kabisa!
Wale wanaoishi Misri ni waarabu japo hawaishi kwenye Arabian Peninsula
Uafrika siyo rangi nyeusi ya ngozina si Waafrika na hata wao wanajinasibisha na uarabu!
kuna mitume ilikuwa inafata kitabu kimoja mfano mitume yote ya wana wa israel baada ya Mussa walikuwa walifata kitabu cha taurati kama msingi na muongozo wa sheria.Mkuu samahani, hao mitume wote 124,000 wanavitabu vyao? Au wao walikuwa wanahubiri kupitia vitabu vya wengine kama walitumia vya wenzao unaweza kuweka pia tukapata elimu.
Zakaria hakuwa bubu...Baada ya kumuomba Mungu amjaalie mtoto atakayerithi kazi yake ya unabii...ndipo akajibiwa dua yake ila akaomba apewe ishara kuonesha kuwa amejibiwa maombi yake...Ndio Mungu akamwambia malaika Jibril/gabriel amwambie kuwa hatazungumza na watu kwa siku 3.Zakaria alikuwa Kuhani full stop.
Nabii gani bubu?
Kwa hiyo tupigie mstari kuwa braza alikua hajui kusoma wala kuandikaAnzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.
100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? 😎😎😎😎
Maneno ya Mussa👇👇👇
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"
Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird
Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur