Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Nisaidie aya ambayo MWENYEZI MUNGU anawapa daud na Suleiman unabii

Asante
Nyi watoto huwa empty sana kichwani,mnauliza vitu vya kijinga, yaani fikra zenu nyepesi nyepesi tu,na ndiyo mtakaoachiwa nchi miaka 20-30 ijayo,inasikitisha
 
Tuiulize kwanza hii biblia mliyo nayo

Yeremia 8:8

"Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo"

Quran 2:79
"Basi ole wao wanao andika kitabu kwa mikono yao, kisha wakasema: Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu, ili wachumie kwacho pato dogo. Basi ole wao kwa yale iliyo andika mikono yao, na ole wao kwa yale wanayo yachuma."

Vitabu vya Taurati na Injili huwezi kuvipata katika uhalisia wake kwasababu KALAMU ZA WAANDISHI zilishavibadili na kuingiza mambo mengi ya uongo na uzushi na pia wametoa maneno mengi ya Mungu ndani yake na kuweka maneno yao.

Kutokana na huu uharibu uliofanywa na waandishi wa wana wa Israel ndipo Mungu akaamua kuleta kitabu cha mwisho cha QURAN ili kusahihisha makosa yaliyofanywa na waandishi wa wana wa Israel.

Quran 3-4

Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili.Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa
Waislamu hamueleweki, mara mseme injili iliteremshwa mara mseme injili iliandikwa na watu na wengine waliongeza maneno yao, hapo hapo tena mnasema kwenye Quran kuwa mkiona hamuelewi Kitu mrejee Kwenye injili na torati.

Sasa kwann mrejee kwenye kitu chenye makosa?
 
Yaan Mussa alitabiri kutakuwepo Injili na eti kwenye hiyo Injili kutatabiri pia kuwa kutakuwepo kwa mohamad mtume asiyeweza kusoma wala kuandika.

Kufupisha tuweke hivi.
Utabiri ukatabiri kuwa utabiri utatabiri 😂😂😂😂

Mussa hakuwa anajua kutakuwepo na vitabu vya Injili.
Ila eti alitabiri.
Hajaishia hapo.
Ametabiri kuwa hivo vitabu vya injili vitatabiri pia kuwa kutakuwepo kwa Mohamed.

Nachoka mm.
Sema jamaa alikuwa mzee wakujipakulia minyama kwelikweli.Akifanya kitu akiona hakiko sawa kwa watu basi anajishushia aya kukihalalisha.
 
Makobazi watasema Moussa alikuwa msaudia arabia na aliongoza waarabu kwenda Caanan......Wanajua kupindisha mambo hawa.

Kwa hiyo Quraan kwa kiasi kikubwa inazungumzia historia kubwa ya waisrael?
Hawa jamaa waliiba maandiko ya wenzao.Yaan manabii wote na mitume ni Wayahudi kasoro Muddy ndo Muarabu. Mi sijawahi kujua uhusiano ulikujaje hapo.
 
Wewe kwa nini umeshindwa kwenda huko Chartgtp kama kweli unatafuta majibu , si umeleta ushindani . lete ushahidi Mtume aliwaambia watu kuwa hajui kusoma wala kuandika , ingia huko Chatgtp ulete majibu

Mbona kwenye biblia kuna visa ambavyo vinahitilafiana kwani huyo mungu wenu alikuwa akifanya mambo tofauti kwa wakati huo huo .
Copy ya vitabu vya kiyahudi
 
Tukusikilize wewe au
Allah?

Hebu tuoneshe Torati, Zaburi au Injiri ya kwenye Qurani:
Maana mnasema hivyo vitabu vipo kwenye Qurani:

Au tuoneshe sura Moja tu ya Zaburi kwenye Qurani:

Bakini na Kitabu chenu chenye Aya zisizokuwa na Mwandishi:
Quran ni kitabu kilichokuja kusadikisha vitabu vilivyopita haikuja kunakili aya na sheria za vitabu vilivyopita.

Kila umma una mtume wake. Quran imekuja na sheria zake kwa ajili ya umma huu na inathibitisha yale ambayo yaliteremshwa na Mungu katika nyumati zilizopita.

Wanazuoni wanaojua maandiko ya vitabu vya kale vya Mungu pindi walipokuwa wakiisikia Quran ikisomwa walikuwa wakibubujikwa na machozi na walisilimu kuwa waislam
Waislamu hamueleweki, mara mseme injili iliteremshwa mara mseme injili iliandikwa na watu na wengine waliongeza maneno yao, hapo hapo tena mnasema kwenye Quran kuwa mkiona hamuelewi Kitu mrejee Kwenye injili na torati.

Sasa kwann mrejee kwenye kitu chenye mawaisl
kuteremshwa maana yake kutoka juu mbinguni kuja duniani...kipi usichokielewa.

Malaika Jibril/Gabriel ndiye alipewa jukumu la kushusha ufunuo kutoka kwa Mungu kuja kwa mitume na manabii hapa duniani.

Mitume walipokuwa wakifikisha huu ufunuo wa Mungu kwenda kwa wanaadamu wenzao ndipo waandishi wakawa wananukuu haya maneno.

Kwahiyo mwanzo hivi vitabu vilikuwa katika usahihi wake ila baada ya Mitume kufa na wale wanafunzi wai kufariki ndipo kukazuka watu waovu walioanza kubadilisha maneno ya Mungu na kuweka maneno yao. Mfano ukiangalia dead sea scroll ( the earliest bible manuscript) na hizi King james Version utakuta vitu vingi vilifutwa na vingine vimeongezwa....kitendo kinachofanya hivi vitabu visiwe katika usahihi wake kama pale ambapo vilishuka kutoka kwa Mungu.

Mfano mzuri tu angalia Versions za bible jinsi zilivyo nyingi na version moja haifanani na nyingine. Ndani yake utakuta contradictions nyingi.

Quran haijaagiza turejee kwenye torati au injili maana sheria zake ni tofauti na za vitabu vilivyotangulia.

Msingi wa imani ya Mungu mmoja ni uleule, ukirejea katika Torati, Zaburi na injili...ndio huo huo uliopo katika Quran.

Quran imekuja kusafisha takataka za waandishi waovu waliobadili maneno ya Mungu na kuweka ya kwao...Hivyo lile ambalo linaafikiana na Quran ndani ya vitabu vilivyotangulia tunalipokea ama yale ambayo yapo kinyume na Quran tunayakataa...mfano imani ya Utatu, kuhalalishwa ulaji wa Nguruwe na paulo,kusulubiwa na kufufuka kwa Yesu hayo hatukubaliani nayo
 
Mitume aliyekuwa alipewa habari kupitia Gibril ni mwamedi peke yake.
Si Mussa,Elia,Jeremia, Ezekiel Wala Isaya.
Ndio maana kimantiki tunathubutu kusema Allah ni Mungu wa mwamedi pekeyake
Kasome kitabu cha danieli sura ya 8-9...Uone jinsi Malaika Gabrieli alivyokuwa akinshushia ufunuo Mtume Daniel.

Kasome luka Sura ya 1...kuanzia mstari wa 11 uone jinsi malaika Gabrieli alivyokuwa akifikisha ufunuo kwa nabii Zakariya na pia jinsi alivyofikisha ujumbe wa Mungu kwenda kwa Mariam juu ya habari njema za kushika mimba na kumzaa Yesu.

Soma kitabu cha mwanzo sura ya 16 uone jinsi malaika Gabriel alivyokuwa akifikisha ufunuo na bishara njema kwa Mtume Ibrahim....!N.k

Kwahiyo ukija na hoja kuwa malaika Gabriel/Jibril alikuwa akimtokea Mtume Muhammad (pbuh) peke yake utakuwa unastaajabisha na kuonekana kuwa hujui kitu kuhusu maandiko ya vitabu vya dini.
 
Manabii wa Mungu waliongea na Mungu kupitia roho wa Bwana.
Kwa muktadha wako alivyopewa ujumbe Zacharia na Mariam tayari ni manabii?
Roho wa Bwana aliwajia na wakasema.
Kutokewa na Gabriel ilikuwa ni case ya kutoa habari njema kwa wahusika na si umma!
Mwamedi alikopi vibaya plus alipokuwa akiwatokea Gabriel sentensi yake ya kwanza ilikuwa Usiogope na si kukabana ma kabali
 
Quran ni kitabu kilichokuja kusadikisha vitabu vilivyopita haikuja kunakili aya na sheria za vitabu vilivyopita.

Kila umma una mtume wake. Quran imekuja na sheria zake kwa ajili ya umma huu na inathibitisha yale ambayo yaliteremshwa na Mungu katika nyumati zilizopita.

Wanazuoni wanaojua maandiko ya vitabu vya kale vya Mungu pindi walipokuwa wakiisikia Quran ikisomwa walikuwa wakibubujikwa na machozi na walisilimu kuwa waislam

kuteremshwa maana yake kutoka juu mbinguni kuja duniani...kipi usichokielewa.

Malaika Jibril/Gabriel ndiye alipewa jukumu la kushusha ufunuo kutoka kwa Mungu kuja kwa mitume na manabii hapa duniani.

Mitume walipokuwa wakifikisha huu ufunuo wa Mungu kwenda kwa wanaadamu wenzao ndipo waandishi wakawa wananukuu haya maneno.

Kwahiyo mwanzo hivi vitabu vilikuwa katika usahihi wake ila baada ya Mitume kufa na wale wanafunzi wai kufariki ndipo kukazuka watu waovu walioanza kubadilisha maneno ya Mungu na kuweka maneno yao. Mfano ukiangalia dead sea scroll ( the earliest bible manuscript) na hizi King james Version utakuta vitu vingi vilifutwa na vingine vimeongezwa....kitendo kinachofanya hivi vitabu visiwe katika usahihi wake kama pale ambapo vilishuka kutoka kwa Mungu.

Mfano mzuri tu angalia Versions za bible jinsi zilivyo nyingi na version moja haifanani na nyingine. Ndani yake utakuta contradictions nyingi.

Quran haijaagiza turejee kwenye torati au injili maana sheria zake ni tofauti na za vitabu vilivyotangulia.

Msingi wa imani ya Mungu mmoja ni uleule, ukirejea katika Torati, Zaburi na injili...ndio huo huo uliopo katika Quran.

Quran imekuja kusafisha takataka za waandishi waovu waliobadili maneno ya Mungu na kuweka ya kwao...Hivyo lile ambalo linaafikiana na Quran ndani ya vitabu vilivyotangulia tunalipokea ama yale ambayo yapo kinyume na Quran tunayakataa...mfano imani ya Utatu, kuhalalishwa ulaji wa Nguruwe na paulo,kusulubiwa na kufufuka kwa Yesu hayo hatukubaliani nayo
Kwa Nini mnatumia injili na torati kutetea Quran ilhali Quran imekamilika?
 
Hakuna ufunuo wowote ulioshushwa kwa Mudy na Jibrili, hakuna mungu yoyote aliyemtuma Mwarabu Mudy kusafisha maneno ya dini ya Wayahudi ambayo hayakuwa yanamuhusu kwa namna yoyote, Allah sio mungu wa Wayahudi na Wakristo. Mfano mmojawapo mungu wa Wayahudi katika torati aliweka vigezo vya wanyama gani wasiliwe na Wayahudi ambapo ngamia, sungura, kambale, kaa na pweza wote ni haramu kwa vigezo, Allah wa Mudy na Waarabu yeye shida yake ilikuwa nguruwe/kitimoto tu bila kigezo chochote akaifanya ni haramu huku vingine vyote nilivyokutajia Waislamu wanafakamia kama kawaida.
 
Ishmael ni mwarabu? Wapi katika biblia inaonesha Ishmael kazaa waarabu?
Hi ni ramani ya kale ya Saudi Arabia inaonyesha sehemu ambayo alikaa Ishmael na vizazi vyake na hi ramani inapatikana katika BIBILIA
 
Attachments

  • Screenshot_20251230-094734.jpg
    Screenshot_20251230-094734.jpg
    112.9 KB · Views: 11
Hi ni ramani ya kale ya Saudi Arabia inaonyesha sehemu ambayo alikaa Ishmael na vizazi vyake na hi ramani inapatikana katika BIBILIA
Ishmael alikuwa mwarabu?
Kabla ya Ishmael waarabu hawakuwepo?
Nina ramani ikiwaonesha wangoni Afrika ya Kusini lakini Leo wako Songea!
Mkanaan akiishi kwenye Peninsula ya waarabu anageuka kuwa mwarabu?
 
Umeenda kupekua umekuta yesu aliulizwa ikiwa yeye ni nabii yule' akakataa,sasa unakuja na maelezo mengine
Kwamba yesu alikataa akiogopa kuuawa wakati mnadai alikuja Ili auawe mkombolewe dhambi zenu
Masihi ni neno la kiarabu,unajua maana yake?..na nani kakwambia masihi hawezi kuwa nabii?..tatizo nabii mnachukulia kama hao manabii wenu matapeli
Kwahiyo kama alikataa ndio alimaanisha atakayekuja ni Muhammad?
Kwanza aliyeuliza kwamba wewe ni Nabii yule?
Alikua anaongelea Nabii aliyepita yaani Elia hakumaanisha ajaye yaani Future maana walijua baada ya Yohana Mbatizaji atakayefuata ni Masihi soma uelewe muktadha wa maongezi!
 
Manabii wa Mungu waliongea na Mungu kupitia roho wa Bwana.
Kwa muktadha wako alivyopewa ujumbe Zacharia na Mariam tayari ni manabii?
Roho wa Bwana aliwajia na wakasema.
Kutokewa na Gabriel ilikuwa ni case ya kutoa habari njema kwa wahusika na si umma!
Mwamedi alikopi vibaya plus alipokuwa akiwatokea Gabriel sentensi yake ya kwanza ilikuwa Usiogope na si kukabana ma kabali
Zakariya alikuwa ni nabii pamoja na mtoto wake Yahya (mnamuita Yohana mbatizaji)

Mariam alikuwa ni mwanamke mwema na mchamungu hakuwa nabii. Bali mwanawe alikuwa ni mtume na nabii kwa wana wa israel
 
Ishmael alikuwa mwarabu?
Kabla ya Ishmael waarabu hawakuwepo?
Nina ramani ikiwaonesha wangoni Afrika ya Kusini lakini Leo wako Songea!
Mkanaan akiishi kwenye Peninsula ya waarabu anageuka kuwa mwarabu?
Ishmael baba yake Ibrahim ni mwarabu wa Iraq na mama yake ni mwarabu wa Misri

Kizazi Cha Ishmael ambao makazi Yao ni Saudi Arabia ndio waarabu wa Saudi Arabia

Shida yako nini?
 
Umeenda kupekua umekuta yesu aliulizwa ikiwa yeye ni nabii yule' akakataa,sasa unakuja na maelezo mengine
Kwamba yesu alikataa akiogopa kuuawa wakati mnadai alikuja Ili auawe mkombolewe dhambi zenu
Masihi ni neno la kiarabu,unajua maana yake?..na nani kakwambia masihi hawezi kuwa nabii?..tatizo nabii mnachukulia kama hao manabii wenu matapeli
Hebu soma acha kukurupuka wapi nimesema Yesu aliogopa kuuwawa?
Nimekwambia Yohana Mbatizaji ndie aliyeuawa na Herode na huyo ndie aliyekua na Roho ya Nabii Elia,baada ya wafuasi kuona Yohana kauawa ndio walienda kumwuliza yesu kama yeye ndie nabii yule yaani Elia karudi kwa mwili mwingine soma historia ujue mtiririko wa kinabii na manabii upate mwanga!
 
Ishmael baba yake Ibrahim ni mwarabu wa Iraq na mama yake ni mwarabu wa Misri

Kizazi Cha Ishmael ambao makazi Yao ni Saudi Arabia ndio waarabu wa Saudi Arabia

Shida yako nini?
Shida yangu unataka kudistort historia ili kufit in biography ya Muhammad,
Ibrahim kutoka Ur ya Ukaldayo ambako ni Iraq hakumpi sifa ya kuwa Mwarabu na Wala hakuwahi kuwa mwarabu. Unachotaka kukiforce kwa nguvu hakifit historical narration kabisa!
Ujanja ujanja mnaoutumia kumpa.Ibrahim uarabu kuattain prophetic lineage ndo huu huu mlitumia kumpa Adam Uislamu.
Ibrahim hakuwahi kuwa mwarabu na Wala hakuwahi kuongea kiarabu.
Kwa mujibu wa biblia na wenye Babu yao mayahudi Ibrahim alikuwa mhebrania na ndivyo walivyokuwa Musa na manabii wote wa Mungu.
Allah na nabii wake ndo walikuwa waarabu.
Ukibisha nakupa mistari ya biblia
 
Back
Top Bottom