Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Kobas wanaamini kuna mitume na manabii zaidi ya laki kwa hiyo Musa hawezi kukosa kwenye hiyo listi😁
Mitume wa Mungu wapo 124,000.

Wa kwanza ni Adam na wa mwisho ni Muhammad.

Quran 3:84

"Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake."
 
Ndivyo ubongo wako unavyofikiri ?? Wacha mama awachune ngozi kama asemavyo lisu mpaka 2035 aendelee
Mamdogo Mimi Imani yangu ilishanihamisha mwilini miaka kama nane hivi, hivo kifo unaweza kukitamka namna yoyote unavoweza Ila hakinitishi, , naishi Rohoni Zaidi kuliko mwilini,
Nina amani isiyomithilika Katika Hali zote Za kidunia,
 
Nabii ni mtu anayeteremshiwa wahyi/ufunuo wa Mungu na kuufikisha kwa binadam wengine
Kama Musa hakupewa ujumbe na Allah sw sawa
Ila mimi sifuati maandiko ya uliowaita wayahudi bali Quran
Wanaojiita wayahudi nabii kwao ni mfalme, maana kiongozi wa kiroho na serikali, ndiyo maana yesu walimpinga wakidai anajiita mfalme wa wayahudi,daudi, Suleiman wanawaita wafalme,wale kwenye uislam ni manabii
Wewe huna zaidi ya udini, upumbavu na uchawa wa lile shetani Samia, ulichobakiza kichwani ni hewa tuu
 
Kama Torati na Injiri havipo
Basi Allah ni Mwongo maana kasema aliwapa hivyo vitabu Nabii Musa na Isa:

Na hakuna popote Allah alisema vimepotea:

Kinachotakiwa Mwulizeni Allah kuwa vitabu hivyo viko wapi ?

Ni kwanini alisema kama hamwelewi waulizeni waliopewa vitabu kabla yenu wakati havipo ?

Je tumwamini Allah au Nyie?
Basi tuwape muda muulizeni Allah alikoviweka hata nyie msivione.
Ni nani huyo aliyethubutu kuvipoteza vitabu vya Allah, bila Allah kujua ?
Tuiulize kwanza hii biblia mliyo nayo

Yeremia 8:8

"Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo"


Quran 2:79
"Basi ole wao wanao andika kitabu kwa mikono yao, kisha wakasema: Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu, ili wachumie kwacho pato dogo. Basi ole wao kwa yale iliyo andika mikono yao, na ole wao kwa yale wanayo yachuma."



Vitabu vya Taurati na Injili huwezi kuvipata katika uhalisia wake kwasababu KALAMU ZA WAANDISHI zilishavibadili na kuingiza mambo mengi ya uongo na uzushi na pia wametoa maneno mengi ya Mungu ndani yake na kuweka maneno yao.

Kutokana na huu uharibu uliofanywa na waandishi wa wana wa Israel ndipo Mungu akaamua kuleta kitabu cha mwisho cha QURAN ili kusahihisha makosa yaliyofanywa na waandishi wa wana wa Israel.

Quran 3-4

Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili.Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa
 
Mitume wa Mungu wapo 124,000.

Wa kwanza ni Adam na wa mwisho ni Muhammad.

Quran 3:84

"Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake."
Hata wawe isemwe wako milioni moja, hizo ni porojo to
 
Kama Torati na Injiri havipo
Basi Allah ni Mwongo maana kasema aliwapa hivyo vitabu Nabii Musa na Isa:

Na hakuna popote Allah alisema vimepotea:

Kinachotakiwa Mwulizeni Allah kuwa vitabu hivyo viko wapi ?

Ni kwanini alisema kama hamwelewi waulizeni waliopewa vitabu kabla yenu wakati havipo ?

Je tumwamini Allah au Nyie?
Basi tuwape muda muulizeni Allah alikoviweka hata nyie msivione.
Ni nani huyo aliyethubutu kuvipoteza vitabu vya Allah, bila Allah kujua ?
tafuta vitabu vya mwanazuoni wa agano jipya Bart D. Herman ujue jinsi gani kalamu za waandishi wa Biblia zilivyotumika kuongeza na kufuta maneno ya Mungu.
 
Tuiulize kwanza hii biblia mliyo nayo

Yeremia 8:8

"Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo"


Quran 2:79
"Basi ole wao wanao andika kitabu kwa mikono yao, kisha wakasema: Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu, ili wachumie kwacho pato dogo. Basi ole wao kwa yale iliyo andika mikono yao, na ole wao kwa yale wanayo yachuma."



Vitabu vya Taurati na Injili huwezi kuvipata katika uhalisia wake kwasababu KALAMU ZA WAANDISHI zilishavibadili na kuingiza mambo mengi ya uongo na uzushi na pia wametoa maneno mengi ya Mungu ndani yake na kuweka maneno yao.

Kutokana na huu uharibu uliofanywa na waandishi wa wana wa Israel ndipo Mungu akaamua kuleta kitabu cha mwisho cha QURAN ili kusahihisha makosa yaliyofanywa na waandishi wa wana wa Israel.

Quran 3-4

Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili.Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa
Tukusikilize wewe au
Allah?

Hebu tuoneshe Torati, Zaburi au Injiri ya kwenye Qurani:
Maana mnasema hivyo vitabu vipo kwenye Qurani:

Au tuoneshe sura Moja tu ya Zaburi kwenye Qurani:

Bakini na Kitabu chenu chenye Aya zisizokuwa na Mwandishi:
 
Hata wawe isemwe wako milioni moja, hizo ni porojo to
Mungu alishaeleza tabia za watu waliokufuru kama wewe hapo kuwa mnaposomewa maneno ya Mungu...majibu yenu huwa kama hivi hapa chini

Quran 83:13

"Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu wa kale!"
 
Tukusikilize wewe au
Allah?

Hebu tuoneshe Torati, Zaburi au Injiri ya kwenye Qurani:
Maana mnasema hivyo vitabu vipo kwenye Qurani:

Au tuoneshe sura Moja tu ya Zaburi kwenye Qurani:

Bakini na Kitabu chenu chenye Aya zisizokuwa na Mwandishi:
Quran ni kitabu kilichokuja kusadikisha vitabu vilivyopita haikuja kunakili aya na sheria za vitabu vilivyopita.

Kila umma una mtume wake. Quran imekuja na sheria zake kwa ajili ya umma huu na inathibitisha yale ambayo yaliteremshwa na Mungu katika nyumati zilizopita.

Wanazuoni wanaojua maandiko ya vitabu vya kale vya Mungu pindi walipokuwa wakiisikia Quran ikisomwa walikuwa wakibubujikwa na machozi na walisilimu kuwa waislam.
 
Mungu alishaeleza tabia za watu waliokufuru kama wewe hapo kuwa mnaposomewa maneno ya Mungu...majibu yenu huwa kama hivi hapa chini

Quran 83:13

"Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu wa kale!"
Hakuna mungu aliyesema hayo, hizo ni porojo za Mudy tu.
 
Mungu anampa Daudi unabii wa ufalme wa milele
  • 2 Samweli 7:12-16
    "Wakati siku zako zikitimia na wewe ukiwa pamoja na baba zako, nitamwinua mtu wa ukoo wako, naye nitatengeneza ufalme wake. Yeye ndiye nitakayemweka kiti cha kifalme chake milele. Nitakuwa Baba kwake, naye atakuwa Mwana wangu."

Mungu anampa Sulemani hekima ya kipekee​


  • 1 Wafalme 3:11-12
    "Basi Mungu akamwambia, 'Kwa kuwa umeomba hekima na si mali wala maisha ya kudumu, nitakupa hekima na maarifa ambayo hayajawahi kutolewa mtu mwingine kabla yako, nawe utakuwa mwenye ufahamu mkubwa na ujuzi.'"
Kaka haya mandiko uliyoniletea ni mandiko ya Christmas ya kuzaliwa kwa YESU KRISTO

Hapo juu MWENYEZI MUNGU anaahidi kuwa katika ukoo wa daudi ndo mwana wa MUNGU atatokea ambaye ni YESU KRISTO Mfalme wa wafalme

Hakika wewe ukienda mtoni ni kwa ujinga wako tu
Hakika wewe ukikataa kumfata YESU KRISTO ni kwa ujinga wako tu
 
Mitume walikuwa wakitoa bishara aka Habari njema kwa waumini juu ya mambo yajayo. Hizi bishara walikuwa wakipewa na Mungu kupitia kwa malaika wake Jibril/Gabriel.

Hakuna mtume yeyote aliyekuwa akijua habari za ghaybu (unseen) mpaka apewe habari hizo na Mungu kupitia kwa malaika wake Jibril.
Mitume aliyekuwa alipewa habari kupitia Gibril ni mwamedi peke yake.
Si Mussa,Elia,Jeremia, Ezekiel Wala Isaya.
Ndio maana kimantiki tunathubutu kusema Allah ni Mungu wa mwamedi pekeyake
 
mtoa post hoja yako hasa ni nini?

Ni kweli Mtume Muhammad (s.a.w) ametabiriwa katika vitabu vya kale yaani Taurat, Zaburi na Injili...ukitaka hii mada nakukaribisha tuijadili na nitakupa ushahidi wa maandiko katika Biblia yenu.
Tangu lini biblia ikawa mtetezi wa Quran?
Utarefer kitabu gani ilhali mnasema vyote vimetiwa mikono?
 
Injili siyo ya Musa, Musa yake taurati
Injili ni ya issa bin Maryam na katika mabaki hayo ya injili tunaona yesu anaulizwa 'wewe ni ni nabii yule' na akakataa siyo yeye, maana yake kuna nabii aja
Chai,watu walipomuuliza je wewe ni Nabii yule?
Hapo walimkusudia Elia maana walimfananisha Yohana kama Elia baada ya Yohana kukataa na kuuawa wakaona ishara za Yesu ndio wakauliza kama yeye ndie Nabii yule ila ukweli yeye alikua Masihi!
Sasa hapo Muhammad kaingiaje?
😂😂
 
Tangu lini biblia ikawa mtetezi wa Quran?
Utarefer kitabu gani ilhali mnasema vyote vimetiwa mikono?
Watuletee hivyo vitabu OG waache longolongo na bla bla bla
Huwezi kusema kitu fulani fake na Huna original huo ni wendawazimu!
😁😁
 
Chai,watu walipomuuliza je wewe ni Nabii yule?
Hapo walimkusudia Elia maana walimfananisha Yohana kama Elia baada ya Yohana kukataa na kuuawa wakaona ishara za Yesu ndio wakauliza kama yeye ndie Nabii yule ila ukweli yeye alikua Masihi!
Sasa hapo Muhammad kaingiaje?
😂😂
Umeenda kupekua umekuta yesu aliulizwa ikiwa yeye ni nabii yule' akakataa,sasa unakuja na maelezo mengine
Kwamba yesu alikataa akiogopa kuuawa wakati mnadai alikuja Ili auawe mkombolewe dhambi zenu
Masihi ni neno la kiarabu,unajua maana yake?..na nani kakwambia masihi hawezi kuwa nabii?..tatizo nabii mnachukulia kama hao manabii wenu matapeli
 
Back
Top Bottom