Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Injili(neno la kiarabu) linarejea kitabu(siyo present hard copy) cha Mungu alichompa issa bin Maryam kama muongozo wa Mungu kwa binadam

Ngoja nishuke kwenye Level ya uelewa wako.

Sawa. Kwahiyo Nabii Issa alipewa kitabu gan? Kinaitwaje? .
 
Hapa Musa anatabiri kwamba mikono ya Wayahudi itasababisha uharibifu mkubwa, ikijumuisha uharibifu wa Maandiko (Biblia).
Mbona sijaona sehem imeandikwa "mikono ya wayahudi" "uharibifu mkubwa ikiwemo wa biblia".

Mnawezaje kusema, ‘Sisi ni wenye hekima, na sheria ya Bwana iko pamoja nasi’? Lakini tazama, kalamu ya uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.”
(Yeremia 8:8 – Revised Standard Version)

Na Hapa anamanisha walimu kupotosha yaliyoandikwa kwenye torat na sio kubadili aya.

Kumbuka torat ni ile ile sema wahubiri ndio walikuwa wanahubiri kwa utofaut. Walim hawafanani
 
Yaani ubishe tu , kwani hiyo aya alikuwa akiwaambia wanyamwezi au wazaramo ?? ni ile ile vipi ?? unaweza kuthibitisha wewe

Ensaiklopidia ya Kikatoliki ya Kirumi inakiri kwamba Biblia ilikuwa “imechakachuliwa”:

Ingia hapa uone kiama chako

(http://www.newadvent.org/cathen/14530a.htm):
 
Hawa hatuwaelewi wanashika kipi na kuacha kipi yaani anasema injili ni fake na anatumia hiyo hiyo fake kuinasibisha na Quran hivi ni vituko vya karne kuna mwenzake alisema Isaya 29:1 imemtabiri Muhammad nikaweka aya aanze isaya 29:1 aone muktadha wa mwandishi akakosa jibu amerukia ooh Isaya yote imechakachuliwa na kuleta madesa ya kudemka toka AI hata hayaeleweki zaidi ya kumwaibisha tu bado anademka huko sheikh Jagina
😂😂
Unadhani nimeshindwa kujibu, nimeona mdahalo utakua mrefu na nishaufanya sana
Hebu soma hii kwa kutulia,kwa Nia ya kapata ukweli
Biblical prophecies about Muhammad(saw) Biblical prophecies about Muhammad(saw)
 
Dah,kwa hiyo ulicho-reply hapo sijaandika alipewa kitabu gani, mbona unachosha Babu?!

Twende taratibu bro.

Kwanza Haujajibu Injili ni nini.

Kwahiyo Yesu alipewa Injili ambayo kwasasa haipo. Si ndio?.

Na vitabu vya mathayo luka nk sio vitabu vya injili. Si ndio?
 
Wewe unashadidia ubishi , yaani hivyo nilivyokujibu hujaridhika , basi kama unataka ubishi na twende

Tunaanza na Injili kama ilivyoandikwa na Yohana

Hapa ni kile waandishi na wanahistoria wa Biblia walisema kuhusu Injili hii:

"Wanasayansi wengi wa karne mbili zilizopita wamekataa kwamba Yohane aliandika kitabu hiki, sehemu kwa sababu ya imani yao kwamba mwandishi alibuni maelezo mengi kama vile miujiza na hotuba za Yesu

(The Holman Illustrated Study Bible, ISBN: 978-1-58640-275-4, Injili ya Yohane, Uk. 1540)

"Uchambuzi wa Kina unafanya iwe vigumu kukubali wazo kwamba Injili kama ilivyo sasa iliandikwa na mtu mmoja."

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Uk. 1136)

"Ndani ya Injili yenyewe pia kuna baadhi ya kutoendana."

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Uk. 1136)

"Ili kutatua matatizo haya, wanahistoria wamependekeza mpangilio mbalimbali utakaotoa mlolongo rahisi zaidi. Hata hivyo, wengi wamefikia hitimisho kwamba kutoendana kungeweza kusababishwa na uhariri uliofanywa baadaye ambapo vifaa vinavyofanana viliingizwa kwenye asili fupi."

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Uk. 1136)

"Vikwazo vingine kwa nadharia yoyote ya uandishi wa mashahidi wa macho ya Injili katika sura yake ya sasa vinatokana na teolojia yake iliyostawi sana na baadhi ya vipengele vya mtindo wake wa fasihi."

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Uk. 1136)

"Injili ina maelezo mengi kuhusu Yesu ambayo hayapatikani katika Injili za Sinoptiki."
(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Uk. 1136)

"Uhariri wa mwisho wa Injili na mpangilio wake wa sasa unatofautiana na tarehe, na inaaminika kuwa uliandikwa kati ya mwaka wa 90 na 100 BK. Kihistoria, Ephesus imependekezwa kama mahali pa kuandikwa, ingawa wengi wanapendekeza eneo lililoko Syria, labda mji wa Antiokia, na wengine wameshaeleza sehemu zingine ikiwemo Alexandria."

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Uk. 1136)
 
Mbona sijaona sehem imeandikwa "mikono ya wayahudi" "uharibifu mkubwa ikiwemo wa biblia".

Mnawezaje kusema, ‘Sisi ni wenye hekima, na sheria ya Bwana iko pamoja nasi’? Lakini tazama, kalamu ya uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.”
(Yeremia 8:8 – Revised Standard Version)

Na Hapa anamanisha walimu kupotosha yaliyoandikwa kwenye torat na sio kubadili aya.

Kumbuka torat ni ile ile sema wahubiri ndio walikuwa wanahubiri kwa utofaut. Walim hawafanani
Acha kudanganya wagalatia wenzako
Walimu kupotosha maandiko hiyo inaitwa kupinda ndimi

Kwahiyo Maneno ya Mungu yanaweza kupotoshwa Kwa kupinda ndimi Yani kusema kitu ambacho hakijaandikwa

Au yanaweza kupotoshwa Kwa kuchakachua maandiko Kwa kuandika hiyo ndio kalamu ya uongo

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya BWANA tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Lakini pia hata Maneno ya Yesu yanathibitisha kuwa Taurati imechakachuliwa

Marko 12:26
Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, Sura ya Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?

Taurati anayoijua Yesu kulikuwa na sura inaitwa sura ya kijiti na hapo Yesu amenukuu baadhi ya Aya katika hiyo sura ya kijiti

Haya tuonyeshe sura ya kijiti ipo wapi katika hiyo Taurati mliyopewa na Warumi?
 
Twende taratibu bro.

Kwanza Haujajibu Injili ni nini.

Kwahiyo Yesu alipewa Injili ambayo kwasasa haipo. Si ndio?.

Na vitabu vya mathayo luka nk sio vitabu vya injili. Si ndio?
Ni vitabu vya mathayo na Luka
 
Ambavyo Yesu Ndio aliandika . Si ndio? Au aliwasomea wanafunz wake wakandika. Au ilikuwaje ?
Maana alipewa kitabu.
Hizo ziliandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka,hazina credibility yoyote ni vile umewahiwa tu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-12-29-16-48-32-288.jpg
    Screenshot_2025-12-29-16-48-32-288.jpg
    150.1 KB · Views: 9
Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, Sura ya Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?

Sura ya kijiti.
inahusu simulizi la Musa na kile kijiti kilichokuwa kikiwaka moto bila kuteketea. Na Mungu alijitokeza kwa Musa na kujitambulisha kama Mungu wa mababu (Ibrahimu, Isaka, na Yakobo). Utaona aya inavyoishia hapo juu.

Na pia Wakati wa Yesu, Biblia (Agano la Kale) haikuwa imegawanywa katika sura na aya zenye namba kama tunavyoziona leo (mgawanyo wa namba ulianza karne nyingi baadaye). Ili kunukuu sehemu fulani ya maandiko, watu walitumia vichwa vya habari vya matukio makuu.

Badala ya kusema "Kutoka sura ya 3", Yesu alisema "katika Sura ya Kijiti" ili wasikilizaji wake wajue mara moja anazungumzia sehemu gani ya maandiko ya Musa.
 
Hizo ziliandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka,hazina credibility yoyote ni vile umewahiwa tu
Nadhan mm ni mgumu kuelewa kama ulivyosema.

Ulisema Injili haipo.
Ukasema injili amepewa Yesu.
Ukasema ni Vitabu vya Mathayo na Luka.
Na ukasema viliandikwa miaka ming baada ya Yesu kuondoka.

Kwahiyo kitabu Injili alichopewa Yesu kiko au hakiko?.

Uelewa wangu mdogo sana.
 
Wewe kweli mgumu kuelewa, tafuta wa kujadiliana nae
 
Kwan umepanic bro?.😎😎😎

Jibu tu straight. Kitabu alichopewa Yesu ni kipi. Hebu summarise yote uliyosema kuhusu Injili . Ntaelewa tu bro.
 
Sura ya kijiti.
inahusu simulizi la Musa na kile kijiti kilichokuwa kikiwaka moto bila kuteketea. Na Mungu alijitokeza kwa Musa na kujitambulisha kama Mungu wa mababu (Ibrahimu, Isaka, na Yakobo). Utaona aya inavyoishia hapo juu.

Na pia Wakati wa Yesu, Biblia (Agano la Kale) haikuwa imegawanywa katika sura na aya zenye namba kama tunavyoziona leo (mgawanyo wa namba ulianza karne nyingi baadaye). Ili kunukuu sehemu fulani ya maandiko, watu walitumia vichwa vya habari vya matukio makuu.

Badala ya kusema "Kutoka sura ya 3", Yesu alisema "katika Sura ya Kijiti" ili wasikilizaji wake wajue mara moja anazungumzia sehemu gani ya maandiko ya Musa.
Jamaa wana visingizio balaa, hapa alitaka kutafuta njia ya ku blame kuwa maandishi yalifutwa, ili kuthibitisha kuwa ndio Maana Muhammed hayumo kwenye injili au torati bila kujiuliza kwanini wafute ? Kwa maslahi yapi? Kwa kuogopa nani wakati huo hawajui nani atakuja?

Ukweli ni kwamba Muhammed hayuko Smart ali copy Torati na Injili kijinga, akaja na kitabu chake ambacho hakina proof ya vitabu ambavyo vilitangulia, haja tabiliwa mahali kokote, kajitabili mwenyewe na kujitungia hadithi.
 
Nadhan mm ni mgumu kuelewa kama ulivyosema.

Ulisema Injili haipo.
Ukasema injili amepewa Yesu.
Ukasema ni Vitabu vya Mathayo na Luka.
Na ukasema viliandikwa miaka ming baada ya Yesu kuondoka.

Kwahiyo kitabu Injili alichopewa Yesu kiko au hakiko?.

Uelewa wangu mdogo sana.

Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo:

"Mwandishi asiyejulikana, ambaye tutaendelea kumuita Mathayo kwa urahisi, hakuandika Injili hii kwa kuiga tu Injili ya Marko bali pia alitumia vyanzo vingi (hasa maneno ya Yesu) ambavyo havionekani katika Marko na vinavyolingana, mara nyingine kwa usahihi, na vile vinavyopatikana pia katika Injili ya Luka."
(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Uk. 1008)

"Kuhusu mahali ambapo Injili iliandikwa, pendekezo linalowezekana ni kwamba ilikuwa Antiokia, mji mkuu wa mkoa wa Kirumi wa Syria."
(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Uk. 1009)

Hivyo tunaona wazi kwamba, mwandishi au waandishi pamoja na mahali pa kuandikwa kwa "Injili ya Mathayo" havijulikani.
 
Sura ya kijiti.
inahusu simulizi la Musa na kile kijiti kilichokuwa kikiwaka moto bila kuteketea. Na Mungu alijitokeza kwa Musa na kujitambulisha kama Mungu wa mababu (Ibrahimu, Isaka, na Yakobo). Utaona aya inavyoishia hapo juu.

Na pia Wakati wa Yesu, Biblia (Agano la Kale) haikuwa imegawanywa katika sura na aya zenye namba kama tunavyoziona leo (mgawanyo wa namba ulianza karne nyingi baadaye). Ili kunukuu sehemu fulani ya maandiko, watu walitumia vichwa vya habari vya matukio makuu.

Badala ya kusema "Kutoka sura ya 3", Yesu alisema "katika Sura ya Kijiti" ili wasikilizaji wake wajue mara moja anazungumzia sehemu gani ya maandiko ya Musa.

Marko 12:26
Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, Sura ya Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?

Hapa sio kanisani Ili tukubali uongo

Maneno ya Yesu yamenyooka

Kitabu Cha Musa sura ya kijiti

Yani Taurati ilikuwa kama Quran
Kitabu Cha Quran sura ya Ng'ombe

Ngonjera zako wapelekee wagalatia wenzako maana mmezoea kudanganyana
 
Back
Top Bottom