Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Nyi watoto huwa empty sana kichwani,mnauliza vitu vya kijinga, yaani fikra zenu nyepesi nyepesi tu,na ndiyo mtakaoachiwa nchi miaka 20-30 ijayo,inasikitisha
Haya maneno ndo aya unabii ya MWENYEZI MUNGU akimpa unabii musaa na selueiman kutoka kwenye Quran
 
Shida yangu unataka kudistort historia ili kufit in biography ya Muhammad,
Ibrahim kutoka Ur ya Ukaldayo ambako ni Iraq hakumpi sifa ya kuwa Mwarabu na Wala hakuwahi kuwa mwarabu. Unachotaka kukiforce kwa nguvu hakifit historical narration kabisa!
Ujanja ujanja mnaoutumia kumpa.Ibrahim uarabu kuattain prophetic lineage ndo huu huu mlitumia kumpa Adam Uislamu.
Ibrahim hakuwahi kuwa mwarabu na Wala hakuwahi kuongea kiarabu.
Kwa mujibu wa biblia na wenye Babu yao mayahudi Ibrahim alikuwa mhebrania na ndivyo walivyokuwa Musa na manabii wote wa Mungu.
Allah na nabii wake ndo walikuwa waarabu.
Ukibisha nakupa mistari ya biblia
Sasa ndio umefunguka vizuri kumbe shida yako ni kwamba Ishmael Hana uhusiano wowote na waarabu wa Saudi Arabia ambako ndiko alikotoka Mtume Muhammad

Jibu haya maswali

1)Ishmael aliishi nchi gani Kwa Sasa?

2)Vizazi vya Ishmael viliishi nchi gani Kwa Sasa
 
Sasa ndio umefunguka vizuri kumbe shida yako ni kwamba Ishmael Hana uhusiano wowote na waarabu wa Saudi Arabia ambako ndiko alikotoka Mtume Muhammad

Jibu haya maswali

1)Ishmael aliishi nchi gani Kwa Sasa?

2)Vizazi vya Ishmael viliishi nchi gani Kwa Sasa
Tumia akili hata kidogo basi ndugu yangu!
Misri ni nyumbani kwa waarabu,Tunisia ni nchi ya asili ya waarabu?, Algeria je?
Unajua rules za immigration na emigration?
Vizazi vya Ishmael kuishi uarabuni hakumpi Ishmael uarabu!Ni kama waarabu wa Misri, si waafrika.
Simulizi za kihistoria hazimuoneshi Ibrahim,Yakobo, Isaka na Ishmael kama waarabu!
Ishmael hajawahi kuwa mwarabu kama ambavyo Adam hajawahi kuwa muisilam!
Muislam wa kwanza Duniani ni Muhammad na nabii wa kwanza mwarabu ni Muhammad.
Muhammad haqualify kwenye prophetic lineage kwa sababu si Myahudi Wala wa ukoo wa Ibrahim.
Ibn Ishaq ndo alimtengenezea biography fake ili a fit kwenye prophetic lineage!
Msenegali anayeishi Tanzania ni Mtanzania?
Mzungu anayeishi Tanzania ni Mtanzania?
Iweje uforce mhebrania anayeishi Ur ambayo ni modern Iraq awe mwarabu?
 
Hebu soma acha kukurupuka wapi nimesema Yesu aliogopa kuuwawa?
Nimekwambia Yohana Mbatizaji ndie aliyeuawa na Herode na huyo ndie aliyekua na Roho ya Nabii Elia,baada ya wafuasi kuona Yohana kauawa ndio walienda kumwuliza yesu kama yeye ndie nabii yule yaani Elia karudi kwa mwili mwingine soma historia ujue mtiririko wa kinabii na manabii upate mwanga!
🤣🤣🤣Eti wakataka kujua kama ni Elia karudi kwa mwili mwingine,ulikataa wewe yesu hakuulizwa Hilo swali,na ukajitia kujua sana,kenge
 
Zakariya alikuwa ni nabii pamoja na mtoto wake Yahya (mnamuita Yohana mbatizaji)

Mariam alikuwa ni mwanamke mwema na mchamungu hakuwa nabii. Bali mwanawe alikuwa ni mtume na nabii kwa wana wa israel
Zakaria alikuwa Kuhani full stop.
Nabii gani bubu?
 
Kwahiyo kama alikataa ndio alimaanisha atakayekuja ni Muhammad?
Kwanza aliyeuliza kwamba wewe ni Nabii yule?
Alikua anaongelea Nabii aliyepita yaani Elia hakumaanisha ajaye yaani Future maana walijua baada ya Yohana Mbatizaji atakayefuata ni Masihi soma uelewe muktadha wa maongezi!
Hapo maana yake kuna nabii wanamsubiri,wayahudi mpaka leo wanamsubiri
 
Unaruka huku na kule kutafuta nmakosa katika uislamu , ukipewa hoja ambazo zinakugusa na imani yako ghafla unatafuta chengine

hata hivyo haya hapa majibu ya maswali yako


(Majibu)​


1. Je, Musa alijua kutakuwepo Injili?​


Hoja hii inatokana na kutoelewa vizuri.


Qur’an haisemi kwamba Musa mwenyewe alitumia neno “Injili”.


Badala yake:


  • Allah anazungumza kuhusu kile ambacho watu wa baadaye wangekikuta kimeandikwa katika vitabu vyao.
  • Aya inaeleza hali ya Taurati na Injili katika zama za Mtume Muhammad, si maneno binafsi ya Musa.

Hii ni kauli ya baadaye (retrospective), si nukuu ya Musa.


Ni kama wanahistoria wa leo wanaposema:






2. “Kuandikwa katika Taurati na Injili” haimaanishi jina halisi​


Wanazuoni wa Kiislamu hawajawahi kudai kwamba:


  • Jina la Muhammad limeandikwa neno kwa neno katika Taurati au Injili.

Bali inamaanisha:


  • Maelezo
  • Sifa
  • Alama za kinabii

Hivi ndivyo unabii wa Biblia unavyofanya kazi.


Mfano:


  • Isa (Yesu) anaelezwa katika Isaya 53
  • Koreshi anaelezwa katika Isaya 45
  • Yahya (Yohana Mbatizaji) anaelezwa katika Malaki 3

Hawakutajwa kwa majina yao moja kwa moja mwanzoni.




3. Musa kutabiri Nabii wa baadaye ni jambo la kibiblia​


Hata Biblia yenyewe inasema:


Kumbukumbu la Torati 18:18




  • “Ndugu wa Waisraeli” = Wana wa Ismail (Waarabu)
  • Nabii kama Musa (mleta sheria, kiongozi, mtawala)
  • Sio Isa (alikuwa mhubiri wa amani, hakuleta sheria mpya, hakuwa mtawala)

Hii inamfaa Muhammad, si Isa.




4. Hoja ya kusema “Muhammad alinakili hadithi za Kiyahudi” inashindwa kihistoria​


Kama Muhammad alikuwa akinakili:


  • Kwa nini Wayahudi walimkataa?
  • Kwa nini Qur’an inarekebisha imani za Kiyahudi?
  • Kwa nini Qur’an inakataa Ezra kuwa mwana wa Mungu, inakataa ubaguzi wa kikabila, na inakataa wazo la kuchaguliwa kwa damu?

Mwenye kunakili hunakili ili apendwe.
Ujumbe wa Muhammad uliwakasirisha Wayahudi na Wakristo.




5. Kutokujua kusoma na kuandika kunafanya uzushi usiwe na nguvu​


Qur’an 29:48:




Hata maadui wa Muhammad Makka hawakuwahi kumtuhumu kuwa anasoma vitabu.
Walimsingizia:


  • Uchawi
  • Ushairi
  • Wazimu

Lakini sio elimu ya kusoma na kuandika.




6. Injili katika Uislamu​


Uislamu unafundisha kuwa:


  • Isa alipewa Injili
  • Ilikuwa wahyi, si vitabu vya wasifu vilivyoandikwa baadaye
  • Agano Jipya la leo sio Injili yenyewe, bali lina mabaki yake

Kwa hiyo Musa hakuhitaji “kujua Injili” kwa jina.
Allah ndiye anayejua yote.




7. Changamoto ya Qur’an bado haijajibiwa​


Kama Muhammad alizua Qur’an:


  • Kwa nini hakuna hitilafu? (Qur’an 4:82)
  • Kwa nini hakuna aliyeweza kuiga? (Qur’an 2:23)
  • Kwa nini kuna mshikamano wa maadili, sheria, lugha na aqida kwa miaka 23?

Hakuna mwanadamu aliyefanikiwa kufanya hivyo.




Hitimisho​


Hoja ya kupinga inatokana na:


  • Kuchanganya maneno ya Allah na maneno ya Musa
  • Kudhani unabii lazima utaje jina moja kwa moja
  • Kupuuza mtindo wa unabii wa Biblia
  • Kupuuza mazingira ya kihistoria ya Muhammad

Kwa mtazamo wa Kiislamu, na hata wa kihistoria wa kitaaluma, Qur’an 7:157 haithibitishi uzushi.


Inaonyesha muendelezo wa unabii, si udanganyifu.



Hiyo injili kamili ya Issa iko wapi? Kama haipo iliharibiwa na nani?

Quran 47:57

inataka wayahudi na wakristo wahukumu kwa kutumia vitabu vyao ,na wasipofanya hivyo watakuwa ni wakosefu kabisa.

Quran 10:94 Mohamed anaambiwa kama ana mashaka kuhusu ufunuo wake (Quran) basi awaulize walioshushiwa ufunuo kabla yake (wakristo na wayahudi).

Quran 15:9 Allah atalinda ufunuo wake,kama torati na injili pia ilitoka kwa Allah basi haviwezi kuharibiwa.
 
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika so hawezi kopi vitabu vya wayahudi,ikukae akilini kuwa mpaka 1200 ulaya waliokua wanajua kusoma na kuandika ni viongozi wa dini,kuna hadi mfalme wa uingereza hakujua kusoma na kuandika
Historia za manabii na jamii zao zimeelezewa kiusahihi kwenye Quran kuliko vitabu vya kiyahudi
Quran ina scientific theories na facts ambazo zimekua proved leo baada ya maendeleo ya saysnsi na tech,mtu asiyejua soma na kuandika iweje aje na facts hizo

MUSA nabii wa Mungu,kudai kuwa Musa alijuaje kutakua na kitabu kitaitwa injili ni sawa na kuhoji ikiwa Mungu alijua patakua na kitabu kitachoitwa injili, tatizo huo upande wenu mnayachukulia manabii kama mnavyowachukulia akina Paulo,mwamposa na mwingira
NINA SWALI MUHAMMAD ALISEMA YEYE NI MUISLAMU WA KWANZA KUSILIMU JE NI WAKWANZA KIVIPI
 
Aliokua anawafikishia ujumbe walikua wamesilimu kabla yake?
Kwa hiyo muhammad alisilimu ? Unajua kuwa kusilimu ni kutoka kwenye ukafiri je muhamadi alikuwa kwenye ukafiri ksbla ya kusilimu ?
 
Kwa hiyo muhammad alisilimu ? Unajua kuwa kusilimu ni kutoka kwenye ukafiri je muhamadi alikuwa kwenye ukafiri ksbla ya kusilimu ?
Kusilimu(kujisalimisha kwa Mungu) si lazima uwe unatoka kwenye ukafiri
Unaweza usiwe muislam na usiwe kafiri,kafiri ni mtu anayekanusha/Pinga,yaani unahubiriwa imani ya Mungu mmoja asiye mshirika wewe unapinga
Hata kabla ya utume, Muhammad hakuabudu masanamu kama wenzie
 
Kusilimu(kujisalimisha kwa Mungu) si lazima uwe unatoka kwenye ukafiri
Unaweza usiwe muislam na usiwe kafiri,kafiri ni mtu anayekanusha/Pinga,yaani unahubiriwa imani ya Mungu mmoja asiye mshirika wewe unapinga
Hata kabla ya utume, Muhammad hakuabudu masanamu kama wenzie
Wewe bwege ninakuvuta tu bila ya wewe kutambua 😁😁 unajaa kama mweu ...muhammad alisema watoto uzaliwa hali ni waislamu sasa muhamadi alifanya nini hadi atakiwe asilimu ...
 
Wewe bwege ninskuvuta tu bila ya wewd kutambua 😁😁 unajaa kama mweu ...muhammad alisema watoto uzaliwa hali ni waislamu sasa muhamadi alifanya nini hadi atakiwe asilimu ...
Alisema wapi?unajua kauli za kinabii za Muhammad zinakopatikana?
 
Kusilimu(kujisalimisha kwa Mungu) si lazima uwe unatoka kwenye ukafiri
Unaweza usiwe muislam na usiwe kafiri,kafiri ni mtu anayekanusha/Pinga,yaani unahubiriwa imani ya Mungu mmoja asiye mshirika wewe unapinga
Hata kabla ya utume, Muhammad hakuabudu masanamu kama wenzie
Chai, lete ushahidi Muhammad hakuabudu miungu Uzi na manati ile miungu ya WaQuraish pale kaaba!
 
Back
Top Bottom