Wewe kwa nini umeshindwa kwenda huko Chartgtp kama kweli unatafuta majibu , si umeleta ushindani . lete ushahidi Mtume aliwaambia watu kuwa hajui kusoma wala kuandika , ingia huko Chatgtp ulete majibuNitaruka sana tu. Nina hoja zangu nahitaj majibu. Ntakuwa natoa kidogo kidogo.
Naona umepata ubavu wa chat gpt.
Hata hivyo huyo robot ameshindwa kuonyeshwa wap kwenye Torat na Injili wamemtaja mohamed hata kwa sifa tu.
Au unataka kuhusisha yale yale ya wimbo uliobora (Suleiman akimuandikia mpenz wake ) na kusema ni Mohamed?
Sio kweli bro.
Sema mstar straight ambao unamtaja Mohamed.
2. Wasingeweza kumtuhumu Mohamed kusoma vitabu kwasababu alishawaambia watu hajui kusoma wala kuandika.
Na pia Quran imeandikwa na maswahaba. Wakiandika yale ambayo mtume alikuwa anaoteshwa.
Kwahiyo visa vyooote vya wana waisrael kwenye Quran ni Allah ndio amemuotesha mohamed.
(ππππNgumu sana hii kumesa) dah
Nabii yule eeeeh?Kwanza hiyo Aya uliyoitoa hakuna sehemu inayosema kuwa Musa alisema Mtume Muhammad ataandikwa katika injili haya Maneno wewe sijui umeyapata wapi
MTUME MUHAMMAD NDANI YA BIBILIA
1) Kumbukumbu la Torati 18:18
Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.
Hapo Mungu anamwambia Musa kuwa atatoa Nabii miongoni mwa ndugu zao
Waisrael watoto Isaka
Warabu wa Saudi Arabia ni watoto wa Ishmael
Hivyo basi hawa ni ndugu
Nabii mfano wa Musa
Musa amezaliwa na baba na mama
Muhammad nae amezaliwa na baba na mama
Musa alipewa utume akiwa mtu mzima
Muhammad nae alipewa utume akiwa mtu mzima
Musa amepewa Taurati Ina amri , Sheria na hukumu
Muhammad amepewa Quran Ina amri, Sheria na hukumu
Musa alioa na kuzaa watoto
Muhammad nae alioa na kuzaa watoto
Musa amekufa na kuzikwa
Muhammad amekufa na kuzikwa
2) Kumbukumbu la Torati 33:2 Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawaondokea kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani,
Mlima Sinai alipewa utume Nabii Musa
Mlima Seiri upo Juda alipewa utume Yesu
Mlima Parani upo Saudi Arabia amepewa utume mtume Muhammad ni
3) Habakuki 3:3
Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye mtakatifu kutoka mlima Parani. Utukufu wake ukazifunika mbingu, Nayo dunia ikajaa sifa yake.
Mlima Parani upo Saudi Arabia
4)Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Dedani ni jina mototo wa Nabii Ishmael na Tema ni jina la mtoto wa Nabii Ishmael na Hadi Leo hi huo mji wa Tema upo Saudi Arabia
Hao wote ni manabii
Je wayahudi ambao walikuwa wasomi wa hayo maandiko wanasemaje?
Yohana 1:19
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma kwake makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani?
Yohana 1:20
Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, Mimi siye Kristo.
Yohana 1:21
Wakamwuliza, Ni nini basi? U Eliya wewe? Akasema, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.
Wasomi wa kiyahudi waliposikia Kuna Nabii amekuja wakatuma watu wakamuuliza yeye ni nani
Yohana mbatizaji akasema yeye sio kristo
Wakamuuliza wewe ni Eliya akasema hapana
Wakamuuliza wewe unabii yule?
Yohana akasema La Mimi sio
Yohana mbatizaji anajulikana
Kristo anajulikana
Eliya anajulikana yeye alipaa walidhani labda amerudi
Huyo Nabii Yule ni nani? Ambaye wayahudi walikuwa wanajua kuwa atakuja?
Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na Jahanam inakusubirini
Unaruka huku na kule kutafuta nmakosa katika uislamu , ukipewa hoja ambazo zinakugusa na imani yako ghafla unatafuta chengine
hata hivyo haya hapa majibu ya maswali yako
(Majibu)
1. Je, Musa alijua kutakuwepo Injili?
Hoja hii inatokana na kutoelewa vizuri.
Qurβan haisemi kwamba Musa mwenyewe alitumia neno βInjiliβ.
Badala yake:
- Allah anazungumza kuhusu kile ambacho watu wa baadaye wangekikuta kimeandikwa katika vitabu vyao.
- Aya inaeleza hali ya Taurati na Injili katika zama za Mtume Muhammad, si maneno binafsi ya Musa.
Hii ni kauli ya baadaye (retrospective), si nukuu ya Musa.
Ni kama wanahistoria wa leo wanaposema:
2. βKuandikwa katika Taurati na Injiliβ haimaanishi jina halisi
Wanazuoni wa Kiislamu hawajawahi kudai kwamba:
- Jina la Muhammad limeandikwa neno kwa neno katika Taurati au Injili.
Bali inamaanisha:
- Maelezo
- Sifa
- Alama za kinabii
Hivi ndivyo unabii wa Biblia unavyofanya kazi.
Mfano:
- Isa (Yesu) anaelezwa katika Isaya 53
- Koreshi anaelezwa katika Isaya 45
- Yahya (Yohana Mbatizaji) anaelezwa katika Malaki 3
Hawakutajwa kwa majina yao moja kwa moja mwanzoni.
3. Musa kutabiri Nabii wa baadaye ni jambo la kibiblia
Hata Biblia yenyewe inasema:
Kumbukumbu la Torati 18:18
- βNdugu wa Waisraeliβ = Wana wa Ismail (Waarabu)
- Nabii kama Musa (mleta sheria, kiongozi, mtawala)
- Sio Isa (alikuwa mhubiri wa amani, hakuleta sheria mpya, hakuwa mtawala)
Hii inamfaa Muhammad, si Isa.
4. Hoja ya kusema βMuhammad alinakili hadithi za Kiyahudiβ inashindwa kihistoria
Kama Muhammad alikuwa akinakili:
- Kwa nini Wayahudi walimkataa?
- Kwa nini Qurβan inarekebisha imani za Kiyahudi?
- Kwa nini Qurβan inakataa Ezra kuwa mwana wa Mungu, inakataa ubaguzi wa kikabila, na inakataa wazo la kuchaguliwa kwa damu?
Mwenye kunakili hunakili ili apendwe.
Ujumbe wa Muhammad uliwakasirisha Wayahudi na Wakristo.
5. Kutokujua kusoma na kuandika kunafanya uzushi usiwe na nguvu
Qurβan 29:48:
Hata maadui wa Muhammad Makka hawakuwahi kumtuhumu kuwa anasoma vitabu.
Walimsingizia:
- Uchawi
- Ushairi
- Wazimu
Lakini sio elimu ya kusoma na kuandika.
6. Injili katika Uislamu
Uislamu unafundisha kuwa:
- Isa alipewa Injili
- Ilikuwa wahyi, si vitabu vya wasifu vilivyoandikwa baadaye
- Agano Jipya la leo sio Injili yenyewe, bali lina mabaki yake
Kwa hiyo Musa hakuhitaji βkujua Injiliβ kwa jina.
Allah ndiye anayejua yote.
7. Changamoto ya Qurβan bado haijajibiwa
Kama Muhammad alizua Qurβan:
- Kwa nini hakuna hitilafu? (Qurβan 4:82)
- Kwa nini hakuna aliyeweza kuiga? (Qurβan 2:23)
- Kwa nini kuna mshikamano wa maadili, sheria, lugha na aqida kwa miaka 23?
Hakuna mwanadamu aliyefanikiwa kufanya hivyo.
Hitimisho
Hoja ya kupinga inatokana na:
- Kuchanganya maneno ya Allah na maneno ya Musa
- Kudhani unabii lazima utaje jina moja kwa moja
- Kupuuza mtindo wa unabii wa Biblia
- Kupuuza mazingira ya kihistoria ya Muhammad
Kwa mtazamo wa Kiislamu, na hata wa kihistoria wa kitaaluma, Qurβan 7:157 haithibitishi uzushi.
Inaonyesha muendelezo wa unabii, si udanganyifu.
Kama unaamini hivyo unachelewa nini kuamini Kristo Yesu ni mwana wa Mungu.
Siamini kuwa Mohmed aliamua kuuhadaa Ulimwengu. Yaani yaliyoandikwa kwenye Quran hayakutengenezwa na yeye, na wala hayakutoka kwa Mungu wa kweli.
Maono ya Mohamed kuwa alikuwa ametokewa na shetani, yalikuwa sahihi.
Quran yenyewe inasema kuwa Allah ni mwerevu wa hadaa, na inasema kuwa yeye ni mfalme wa Ulimwengu.
Toka maandiko ya kale, Shetani ni mfalme wa Ulimwengu, shetani ni mfalme wa hadaa, ndiyo maana huwahadaa walimwengu wengi.
Na ikumbukwe kuwa kuanguka kwa shetani Lucifer ni kwa sababu alitaka afanane na Mungu. Alitaka awe na watu wanaomwabudu kama anavyoabufiwa kama Mungu, alitaka ajengewe nyumba za ibada kama anavyojengewa Mungu. Akafukuzwa, akatupwa Ulimwenguni ili atengeneze ufalme wake. Na kudhihirisha kuwa shetani ni bingwa wa hadaa, angalia alivyoenda anachota chota baadhi ya maneno ya Mungu, ili watu waamini yote yaliyomo humo kwenye ujumbe wake ni ujumbe wa Mungu.
Shetani alijidhihirisha hata mbele ya Kristo, akasema mali zote za Ulimwengu ni za kwake, akataka kumhadaa Kristo kwa kunukuu maneno ya manabii. Kwa hiyo maneno fulani ambayo ni ujumbe wa Mungu wa kweli, haiondoi ukweli kuwa kitabu kile kimetengeneza ufalme wa shetani Duniani, kama shetani alivyotenda toka kale.
Mwamedi ndo biggest scammer katika historia ya duniaOneni hapa
Luka 4:17
Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,
18 Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,
19 Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa.
20 Akakifunga chuo, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.
21 Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
{Hapa tunaona Yesu anaongea kwa kunukuu MANENO ya Nabii Isaya:
Sasa ni lazima tumtafute Nabii Isaya ili tujue ni wapi aliongea hayo MANENO}
Hapa tunapata MANENO ya Nabii Isaya yaliyo nukuliwa na Yesu:
Isaya 61:1
Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.
2 Kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;
{ Hivi Muslims mbona hamtaki kabisa kufuatilia MANENO ambayo Mtume wenu anayoyasema kuwa yalisemwa na Manabii wa kale kama Yesu kumtabiri yeye kwa kumtaja jina la Ahmadi ?
Kama Yesu alivyokuwa anafanya ?
Hivi panahitajika uelewa hata wa D Moja tu kuona kuwa Muhamadi alikuwa anawaongopea?
Poleni Sana Amanu
Kwa kushikiwa Akili
Unajua maana ya Ufunuo tuanzie hapo nisije kua nabishana na mtu haelewi maana ya maneno na mahali yanapotumika na muktadha wakeKwani unaelewa nini kuhusu 'kuteremshiwa ufunuo '!?..nyi watu vichwa vyenu ni useless
Alipoambiwa aende akawakomboe Wana wa Israel,rusha fimbo geuka nyoka,pasua bahari..nayo haya maagizo alishushiwa direct kwenye mbao?
Mwamba unaongea wazi kabisa:Wewe lazima mwehu uliyemalizwa akili na shetani. Yesu hakuwahi kuulizwa swali kuwa eti 'wewe ni yule nabii au tumtarajie mwingine'; aliyeulizwa hivyo ni Yohane Mbatizaji. Alilizwa kama yeye Yogana mbatizaji kama ni Kristo. Naye alikataa kuwa siyo Yesu Kristo, bali yeye ni yule aliyetabiriwa na nabii Isaya kuwa ni mtangukizi wa masiha, yeye aliaye nyikani, itengenezeni njia ya Bwana.
Soma hapa:
Yn 1:19-27
19Viongozi wa Wayahudi waliwatuma makuhani na Walawi wakam wulize Yohana, βWewe ni nani?β 20;Yohana akawajibu wazi wazi pasipo kuficha, βMimi siye Kristo.β 21;Wakamwuliza, βWewe ni nani basi? Wewe ni Eliya ?β Akajibu, βHapana, mimi siye.β βWewe ni yule Nabii?β Akajibu, βHapana.β 22;Ndipo wakasema, βBasi tuambie wewe ni nani ili tupate jibu la kuwapelekea wale waliotutuma. Tueleze, wewe hasa ni nani?β
23;Akawajibu kwa kutumia maneno ya nabii Isaya, βMimi ni sauti ya mtu anayeita kwa sauti kuu nyikani, βNyoosheni njia ata kayopita Bwana.ββ 24;Baadhi ya wale waliotumwa na Mafarisayo 25;walimwuliza, βKama wewe si Kristo, wala Eliya na wala si yule Nabii, kwa nini unabatiza watu?β
26;Yohana akawajibu, βMimi ninabatiza kwa maji, lakini kati yenu yupo mtu msiyemjua. 27;Yeye anakuja baada yangu, lakini mimi sistahili hata kumvua viatu vyake.β
Na mara Kristo alipotokea, Yohane Mbatizaji Akamkiri Kristo Kuwa ndiye Kristo aliyekuwa akimngojea;
29Kesho yake Yohana alimwona Yesu akimjia akasema, βTazameni! Huyu ndiye Mwana-Kondoo wa Mungu anayeondoa dhambi ya ulimwengu! 30;Huyu ndiye niliyewaambia kwamba, βYeye ajaye baada yangu ni mkuu kuliko mimi kwa maana alikuwapo kabla sijazaliwa.β 31;Mimi mwenyewe sikumfahamu, lakini nimekuja nikibatiza kwa maji kusudi apate kufahamika kwa watu wa Israeli.β
32;Kisha Yohana akatoa ushuhuda huu: βNilimwona Roho akish uka kutoka mbinguni kama hua, akakaa juu yake. 33;Mimi nisingem tambua, lakini Mungu ambaye alinituma nibatize watu kwa maji ali kuwa ameniambia kwamba, βYule mtu utakayemwona Roho akimshukia kutoka mbinguni na kukaa juu yake, huyo ndiye atakayebatiza kwa Roho Mtakatifu.β 34;Mimi nimeona jambo hili na ninashuhudia kuwa huyu ndiye Mwana wa Mungu.β
Msiwe mnaokoteza na kutengeneza maneno ili kihalalisha kitabu cha shetani. Mohmad alipokuwa pangoni aliporudi kwa mkewe alisema wazi kuwa alipokuwa pangoni alitokewa na shetani, lakini mkewe akafanikiwa kumbadilisha kuwa hakuwa shetani bali ni malaika Jibril, naye akaingia mazima kufuata maneno ya mkewe.
Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na Jahanam inakusubirini
Mwamedi ndo biggest scammer katika historia ya dunia
Ufunuo, revelation,wahyi..wewe huwezi nifunza mimi kiswahili,utoke bariadi,maswali,magu,ileje uje unifunze mie kiswahili!? Maswali ya kijinga sijibuUnajua maana ya Ufunuo tuanzie hapo nisije kua nabishana na mtu haelewi maana ya maneno na mahali yanapotumika na muktadha wake
Sijaelewa unachotaka kujua au kuulizaNabii yule eeeeh?
Musa alikuwa mwarabu?
Yesu alikuwa mwarabu?
Tuanzie hapo kwanza!
Yesu anasema hata wewe ni mwana wa Mungu..enenda kawaambie ndugu zangu,napaa kwenda kwa baba,baba yangu baba Yao,Mungu wangu Mungu waoKama unaamini hivyo unachelewa nini kuamini Kristo Yesu ni mwana wa Mungu.
Kwamba ukitoka Mombasa ndio Bingwa wa Kiswahili hahaha acha kuchekesha nauliza Unabii ni nini?Ufunuo, revelation,wahyi..wewe huwezi nifunza mimi kiswahili,utoke bariadi,maswali,magu,ileje uje unifunze mie kiswahili!? Maswali ya kijinga sijibu
Torati haipo,ilikusanywa na kuchomwa moto, ndiyo maana hii inaitwa kumbukumbu ya torati,yaani watu waliulizana mistari wanayokumbuka kisha wanaandika, huwezi tegemea document ya hivyogallow bird Tourat haujui hata ina vitabu vingap basi nionyeshe kwenye Torat walipomtabiri Mohamed.
Kwakuwa tunaongelea Torat na Injili.
Niwekee mistar ya Biblia.
Hiyo ni Quran imesema hivyo na aya umeweka weweBado hujaonyesha mstar unaosema nabii asiyejua kusoma bro. Au mm ndio mgumu kuelewa?.
Bas nionyeshe huo mstar kama alivyotabiri Mussa.
Ila wewe kiazi nimegundua kwamba waliita Kumbukumbu la Torati sababu torati haipo aaah hii kali ya mwaka!Torati haipo,ilikusanywa na kuchomwa moto, ndiyo maana hii inaitwa kumbukumbu ya torati,yaani watu waliulizana mistari wanayokumbuka kisha wanaandika, huwezi tegemea document ya hivyo
Torati na injili havipoLabda kweli kuelewa kwangu kugumu.
Kuna swal nilikuuliza torat ina vitabu vingap hukuweza kujibu.
Nionyeshe wap kwa injili kumeandikwa mtume asiyejua kusoma wala kuandika atakuwepo?.
Achana na mkweli muaminifu au sijui ahmad.
Injili ni nini tuanzie hapo!Hiyo ni Quran imesema hivyo na aya umeweka wewe
Hicho kitabu unachoita biblia warumi walikaa miaka mia tatu plus baada ya yesu na kuamua nini kiwemo nini kisiwemo
Miaka zaidi ya buku baadae mfalme James wa uingereza akatoa toleo lake baada ya ugomvi na Roma,toleo lake ndiyo Hilo umetafsiri kiswahili..bado unaita injili hiyo!?
Injili ni nini tuanzie hapoHiyo ni Quran imesema hivyo na aya umeweka wewe
Hicho kitabu unachoita biblia warumi walikaa miaka mia tatu plus baada ya yesu na kuamua nini kiwemo nini kisiwemo
Miaka zaidi ya buku baadae mfalme James wa uingereza akatoa toleo lake baada ya ugomvi na Roma,toleo lake ndiyo Hilo umetafsiri kiswahili..bado unaita injili hiyo!?
Hahahaah daaa hii nayo mpya!Torati na injili havipo