Aliyeelewa msaada tafadhali👿Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.
🤕ningekuw vizuri ungepata ya soda hapahapa
Inaonekana ufahamu wako uko taratibu sana, ngoja nikueleweshe kwa ukali kidogoAliyeelewa msaada tafadhali👿
niondolee matangopoli yako eboo!!👿 ww kitabu cha Mungu ulikiona kinaposhushwa? Sema tu mmekalilishwa huko stori za vijiweni halafu unajifanya mjuvi!! foolish kabisa!!Inaonekana ufahamu wako uko taratibu sana, ngoja nikueleweshe kwa ukali kidogo
Kiufupi INJILI sio kitabu cha Mungu
sasa tuliitegemea QUR-AN ndio imetoka kwa Mungu, tatizo linakuja Qur-an nayo inaingia kwenye mfumo kwa kutudanganya. Hii inaanza kuonekana wenda Mungu hajawahi kushusha kitabu chochote kile labda cha MUSSA
inaonekana mimi na wewe tupo kwenye msimamo mmoja ila tu wenda akili yako ipo taratibu kwenye hili nimesema hiviniondolee matangopoli yako eboo!!👿 ww kitabu cha Mungu ulikiona kinaposhushwa? Sema tu mmekalilishwa huko stori za vijiweni halafu unajifanya mjuvi!! foolish kabisa!!
1.kwanza unajua nini maana ya kitabu cha Mungu?
2. Kuna sehemu uliona pameandikwa kitabu hiki Mungu ndo amekiandika?
3.Kama Mungu ndo anaviandika mbn hatuoni vitabu vipya vikishushwa?
4.nitajie kitabu kilichoandikwa na Mungu ukiweka reference ya picha kbs au mstari unaoonesha Mungu ndo kakiandika mf;POOR DAD, RICH DAD by R.kiyosaki
Hapana 😎
Hio (I) kiarabu ni Y Kwa hio kiarabu inatamkwa YISSA waarabu hawana E kimatamshi na J, hivyo JESUS itatamkwa YISSA ambayo kiswahili itakuja issa, mfano Jacob wao wanatamka YAKUB, hivyo yote mawili ni sahihi JesusMbona kama ISSA na YESU ni watu wawili tofauti Mangi
Vyote viwili ni hadithi za wajanjaNdugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.
Nyie Wakristo na Biblia yenu ndo mnaikataa Quran na mambo yake yote. Ila Quran inaitegemea sana Biblia. Muhamad alikuwa anapewa stories za Biblia naye anaomba ziandikwe. Biblia haimtambui Muhamad kabisa. Ndo maana Wakristo huwa hamtaki hata kusikiliza stories zake. But msomeni jamaa mumfahamu. Alianza kwa kuoa bi Khadija huyu alikuwa ni Mwanamke Tajiri ila umri umeenda sana.ndo alimlea Muhamad mpaka alipokuja fariki Mohamad akaoa mtoto mbichi kabisa Aisha alikuwa na miaka 6 tu wakati anamwoa.Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.
Kipindi hiko chote mama yake yupo wapi?Nyie Wakristo na Biblia yenu ndo mnaikataa Quran na mambo yake yote. Ila Quran inaitegemea sana Biblia. Muhamad alikuwa anapewa stories za Biblia naye anaomba ziandikwe. Biblia haimtambui Muhamad kabisa. Ndo maana Wakristo huwa hamtaki hata kusikiliza stories zake. But msomeni jamaa mumfahamu. Alianza kwa kuoa bi Khadija huyu alikuwa ni Mwanamke Tajiri ila umri umeenda sana.ndo alimlea Muhamad mpaka alipokuja fariki Mohamad akaoa mtoto mbichi kabisa Aisha alikuwa na miaka 6 tu wakati anamwoa.
Nimeanza kuliamini hilo sasaVyote viwili ni hadithi za wajanja
Oya nimekuelewa mzee, chukua soda kwa mangi nakuja kulipaUwesutanzania . Una hoja tatu mm naziona
1. Yesu au Nabii Issa ingawa maisha yake yako kwenye Quran ila hauamini uhalisia wake.
2. Kwasababu Quran imeitambua Injili kama moja ya vitabu vinne basi unatilia shaka kuwa hata Quran haiongei ukweli
3. Unaamini Amri za Mussa .
Na Torati zake zilizotolewa kwa wana wa Israel ndio zimeshushwa na Mungu.
Hizi zote ni Mapitio tu Dini za Mashariki na kati zilizopotia.
1. Kuna Dini had Leo zinashika torati ya Mussa na haiamini hata Injili wala yesu.
Wameishia hapo kuweka mising yao ya Kumuamini Mungu (wayahudi)
2. Kuna wanao iamini Torat ya Mussa na Injili
Na kumuamini Yesu. (Wakristo)
3. Kuna wanaoiamini Torati , Injili na Quran (wasislamu)
Hata kama wanakuwa tofauti lakini historia zao ni kama moja, hivyo kwenye swala langu ukimlengaISSA NA YESU NI WATU WAWILI TOFAUTI.....
Uwesutanzania . Una hoja tatu mm naziona
1. Yesu au Nabii Issa ingawa maisha yake yako kwenye Quran ila hauamini uhalisia wake.
2. Kwasababu Quran imeitambua Injili kama moja ya vitabu vinne basi unatilia shaka kuwa hata Quran haiongei ukweli
3. Unaamini Amri za Mussa .
Na Torati zake zilizotolewa kwa wana wa Israel ndio zimeshushwa na Mungu.
Hizi zote ni Mapitio tu Dini za Mashariki na kati zilizopotia.
1. Kuna Dini had Leo zinashika torati ya Mussa na haiamini hata Injili wala yesu.
Wameishia hapo kuweka mising yao ya Kumuamini Mungu (wayahudi)
2. Kuna wanao iamini Torat ya Mussa na Injili
Na kumuamini Yesu. (Wakristo)
3. Kuna wanaoiamini Torati , Injili na Quran (wasislamu)
Huyo imam huenda hata alif haitambui!TAARIFA KWANINI WAISLAMU HAWAMTAKI YESU.
Nilikuwa naambiwa na Rafiki yangu mmoja ni Muhubiri wa kikisto.kabla ya HAPO ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI NA MEMBER WA BALAZA LA ULAMAA.
Hivi sasa Ameokoka Anamtumikia Mungu na ana KANISA KUBWA SANA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM.
Anasema akiwa kwenye Balaza la Ulamaa walikuwa wakipigwa Marufiku ndani ya Msikiti KULITAJA, KULITAMKA NA KULISEMA JINA LA YESU
LENGO la kukataa jina la Yesu ni kwamba Likitajwa kina la YESU MAPEPO,MAJINI NA MASHETANI YANAKIMBIA NDANI YA MSIKITI.
Hivyo basi akaamua kumfuata Yesu.
JINA LA BWANA YESU LIHIMIDIWE.