Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
- Thread starter
- #61
Unalenga niniInjili imetiwa mikono miaka na miaka

Uelewa wako wa kiswahili ukoje?Unalenga nini
Mkuu point yako ni nini hasa? Hebu nyooka ili tujue jinsi ya kuchangiaNdugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana Adamu alizungumza na Mungu, aliguswa na Mungu, na alionana na Mungu, ila baada ya kula tunda ndio Mungu akajitenga mbali nae, sio yesu.
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.
Quran inasema injili ni miongoni mwa vitabu vinne vya Mungu, wakati injili yenyewe ukiisoma haiusiani na maswala ya kutoka kwa Mungu sanasana utakuta inalenga historia na matendo ya kijana fulani aliyezaliwa, kutenda muujiza na kusurubiwa msarabani,.Mkuu point yako ni nini hasa? Hebu nyooka ili tujue jinsi ya kuchangia
SawaHuyo mungu wa kwenye vitabu vilivyo andikwa kwa lugha zisizoeleweka ni mungu gani...! Ninavyo jua mimi kama mungu yupo akitaka kuzungumza na wewe ataongea na wewe popote na kwa lugha unayo ielewa...!
Bible na Quran ni hadithi kama hadithi zozote nyinginezo...!
Wewe umejuaje kuwa hayo mambo ya historia na matendo ya huyo kijana sio masuala ya kutoka kwa Mungu?Quran inasema injili ni miongoni mwa vitabu vinne vya Mungu, wakati injili yenyewe ukiisoma haiusiani na maswala ya kutoka kwa Mungu sanasana utakuta inalenga historia na matendo ya kijana fulani aliyezaliwa, kutenda muujiza na kusurubiwa msarabani,.
Je, quran imetumia kigezo gani kusema injili ni kitabu cha mungu wakati injili yenyewe inajieleza si kitabu cha Mungu bali kiliandikwa na watu waliokuwa kalibu na issa (yesu
Kwa kuisoma injili yenyeweWewe umejuaje kuwa hayo mambo ya historia na matendo ya huyo kijana sio masuala ya kutoka kwa Mungu?
Qur’an haikubali Injili ya sasa iliyoandikwa na Mathayo, Marko, Luka na Yohana kuwa ndiyo Injili aliyoteremshiwa Nabii Isa (Yesu), kinachotambulika ni kwamba Isa alipewa wahyi na Mungu unaoitwa Injili (Qur’an 5:46). Hii ni tofauti kubwa. Injili ya leo ni rekodi ya kihistoria iliyoandikwa miaka baada ya Yesu kuondoka na Qur’an imewakosoa waliopotosha maandiko ya awali (Qur’an 2:79).Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana Adamu alizungumza na Mungu, aliguswa na Mungu, na alionana na Mungu, ila baada ya kula tunda ndio Mungu akajitenga mbali nae, sio yesu.
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.
Nyinyi wagalatia ni wa kuhurumiwa sanaQur-an umeniacha hoi sana baada tu ya kusema injili ni kitabu cha Mungu.
Wakati injili yenyewe hakuna sehemu yeyote yenye tamko kutoka kwa Mungu zaidi tu ya maisha ya yesu (issa
Kitabu cha Qur-an hakina Injili ILA kuna nrno/msamiati Injili.Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana Adamu alizungumza na Mungu, aliguswa na Mungu, na alionana na Mungu, ila baada ya kula tunda ndio Mungu akajitenga mbali nae, sio yesu.
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.
Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,

Wewe ndio umekuja na pumba kabisaKitabu cha Qur-an hakina Injili ILA kuna nrno/msamiati Injili.
Vv
(AnywayNyinyi wagalatia ni wa kuhurumiwa sana
Yawezekana Hadi Sasa unamiaka 30 au 40 lakini haujui maana ya kitabu Cha Mungu kupitia Kwa manabii
Anyway
Injili ni Maneno ya Yesu aliyoamliwa na Mungu ayaseme kuwambia Wana wa Israel
Ukishika kitabu Cha Yohana au Mathayo au Luka hauwezi kusema umeshika kitabu Cha Injili maana ndani ya hivyo vitabu Kuna Maneno mengine sio ya Yesu bali ni ya wandishi
Kwa mfano ukisoma kitabu Cha Yohana kuanzia Yohana 1:1 Hadi Yohana 1:36 sio Injili Kwa sababu anayeongea hapo sio Yesu ila Maneno ya muandishi Yohana
Yesu alitumwa na Mungu kwahiyo lazima aseme kile alichotumwa aseme na hayo Maneno ndio Injili
Ni Muislam pekee akisoma kitabu Cha Yohana au Mathayo au Luka ndio anajua andiko hili ni Injili na hili ni la muandishishi
Kwa mfano
Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,
Quran inasema Yesu aliwambia Wana wa Israel kupitia Injili kuwa Mimi ni nimetumwa na Mungu kwenu
JE! Wapi Yesu alisema haya Maneno katika Injili
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Qur’an haikubali Injili ya sasa iliyoandikwa na Mathayo, Marko, Luka na Yohana kuwa ndiyo Injili aliyoteremshiwa Nabii Isa (Yesu), kinachotambulika ni kwamba Isa alipewa wahyi na Mungu unaoitwa Injili (Qur’an 5:46). Hii ni tofauti kubwa. Injili ya leo ni rekodi ya kihistoria iliyoandikwa miaka baada ya Yesu kuondoka na Qur’an imewakosoa waliopotosha maandiko ya awali (Qur’an 2:79).
kwahy hoja kuwa Yesu hakuandika Injili yake haina mashiko. Hata Muhammad (s.a.w) hakuandika Qur’an kwa mkono wake; waliandika Maswahaba. kitu cha muhimu si nani aliandika, bali ni kwamba wahyi uliteremshwa na Mungu, ukahifadhiwa vizur, injili aliyoteremshiwa Isa ni kweli imetoka kwa Mungu, lkn liharibiwa baadae