Quran inakubali kuwa Injili ni kitabu cha Mungu na hapo ndio nakuwa na mashaka na Quran pia

Quran inakubali kuwa Injili ni kitabu cha Mungu na hapo ndio nakuwa na mashaka na Quran pia

Wewe umejuaje kuwa hayo mambo ya historia na matendo ya huyo kijana sio masuala ya kutoka kwa Mungu?
Nyinyi wagalatia ni wa kuhurumiwa sana

Yawezekana Hadi Sasa unamiaka 30 au 40 lakini haujui maana ya kitabu Cha Mungu kupitia Kwa manabii

Anyway
Injili ni Maneno ya Yesu aliyoamliwa na Mungu ayaseme kuwambia Wana wa Israel

Ukishika kitabu Cha Yohana au Mathayo au Luka hauwezi kusema umeshika kitabu Cha Injili maana ndani ya hivyo vitabu Kuna Maneno mengine sio ya Yesu bali ni ya wandishi

Kwa mfano ukisoma kitabu Cha Yohana kuanzia Yohana 1:1 Hadi Yohana 1:36 sio Injili Kwa sababu anayeongea hapo sio Yesu ila Maneno ya muandishi Yohana

Yesu alitumwa na Mungu kwahiyo lazima aseme kile alichotumwa aseme na hayo Maneno ndio Injili

Ni Muislam pekee akisoma kitabu Cha Yohana au Mathayo au Luka ndio anajua andiko hili ni Injili na hili ni la muandishishi

Kwa mfano

Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,

Quran inasema Yesu aliwambia Wana wa Israel kupitia Injili kuwa Mimi ni nimetumwa na Mungu kwenu

JE! Wapi Yesu alisema haya Maneno katika Injili
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.



Kiufupi tu ngoja nikupe historia ya hiki kitoto YESU wengine wanakiita ISSA

Hiki kijamaa kilizaliwa bila ya baba maalum kujulikana,

Kiufupi mpaka anakufa hakuwa amemjua baba yake mzazi, japo katika maongezi kalikuwa kanatamka sana BABA,
mf:- nimetumwa na BABA, BABA yangu mkuu, nitakwenda kwa BABA nk,

Wengi walikipuuza japo kilijulikana sana kwa umaarufu wake wa mazingaombwe na kuna mda alikuwa anaongea maneno ya ajabu ajabu,.

Basi bwana wayahudi wakaona isiwe tabu wakakamata na waliokuwa wanakaamini wakakageuka,.

Mpaka hapo alikuwa mkubwa sawa,.

Basi jamaa akafungwa na kupewa mateso mpaka kufa,.

Baadae kaburi lake likaoneka kufukuliwa na maiti yake haikuwepo ndani,.

Mpaka hapo hakuna mahali popote pale anasema anaonanaga na huyo baba yake wala kuzungumza nae wala,.


Haya Mungu allah na maswala ya unabii unaingiaje hapa na kitabu kinaingiaje?
 
(Anyway
Injili ni Maneno ya Yesu aliyoamliwa na Mungu ayaseme kuwambia Wana wa Israel)

Nipe andiko katika injili ambalo Mungu anamuamulu yesu aseme maneno kwa niaba yake?
Na je Mungu mwenyewe alishindwa sema na wana wa Israel mpaka akaamua kumtumia yesu?

Yohana 5:30
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
 
Kiufupi tu ngoja nikupe historia ya hiki kitoto YESU wengine wanakiita ISSA

Hiki kijamaa kilizaliwa bila ya baba maalum kujulikana,

Kiufupi mpaka anakufa hakuwa amemjua baba yake mzazi, japo katika maongezi kalikuwa kanatamka sana BABA,
mf:- nimetumwa na BABA, BABA yangu mkuu, nitakwenda kwa BABA nk,

Wengi walikipuuza japo kilijulikana sana kwa umaarufu wake wa mazingaombwe na kuna mda alikuwa anaongea maneno ya ajabu ajabu,.

Basi bwana wayahudi wakaona isiwe tabu wakakamata na waliokuwa wanakaamini wakakageuka,.

Mpaka hapo alikuwa mkubwa sawa,.

Basi jamaa akafungwa na kupewa mateso mpaka kufa,.

Baadae kaburi lake likaoneka kufukuliwa na maiti yake haikuwepo ndani,.

Mpaka hapo hakuna mahali popote pale anasema anaonanaga na huyo baba yake wala kuzungumza nae wala,.


Haya Mungu allah na maswala ya unabii unaingiaje hapa na kitabu kinaingiaje?
Aisee, Waislamu wanaamini hayo unayosema? Maana hadith kwenye Uislamu zinakanusha hayo unayosema!

Vv
 
Back
Top Bottom