Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mama yake nani?Kipindi hiko chote mama yake yupo wapi?

Si huyo aliyelelewa na mshangaziMama yake nani?
Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana Adamu alizungumza na Mungu, aliguswa na Mungu, na alionana na Mungu, ila baada ya kula tunda ndio Mungu akajitenga mbali nae, sio yesu.
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.
allah ni mungu???Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,

Romans 2:16
16 This will take place on the day when God will judge men's secrets through Jesus Christ, as my gospel declares.
Romans 16:25
Now to him who is able to establish you by my gospel and the proclamation of Jesus Christ, according to the revelation of the mystery hidden for long ages past,
You have verses that indicate that Paul was preaching the Gospel of God...
Romans 15:16
16to be a minister of Christ Jesus to the Gentiles with the priestly duty of proclaiming the gospel of God, so thatthe Gentiles might become an offering acceptable to God, sanctified by the Holy Spirit.
2 Corinthians 11:7
7 Was it a sin for me to lower myselfin order to elevate you by preaching the gospel of God to you free of charge?
You have verses that indicate that Paul was preaching the Gospel of Christ...
1 Corinthians 9:13
But we did not use this right. On the contrary, we put up with anything rather than hinder the gospel of Christ.
13 Don'tyou know that those who work in the temple get their food from the temple, and those whoserve at the altar share in what is offered on the altar?
2 Corinthians 2:12
12 Now when I went to Troas to preach the gospel of Christ and found that the Lord had opened a door for me,
2 Corinthians 9:13
13 Because of the service by which you haveproved yourselves, men will praise God for the obedience that accompanies your confession of the gospel of Christ, and for your generosity in sharing with them and with everyone else.
2 Corinthians 10:14
14 We are not going too far in our boasting,as would be the case if we had not come to you, for we did get as far as you with the gospel of Christ.
Romans 1:9
9 God, whom I serve with my whole heart in preaching the gospel of his Son, is my witness how constantly I remember you
The last verse shows a distinction between God and his Son(referring to Jesus).
So was Paul preaching his own gospel, the gospel of Jesus or the Gospel of God?
Ndio, ni Mungu aliyewaumba wanadamu na kila kitu katika ulimwengu anaelezewa zaidi katika kitabu chake tukufu cha Qur-anallah ni mungu???
Oooooooh...ndo hivyo haya mambo si mapya. Yalianza toka huko kwa mtume.Si huyo aliyelelewa na mshangazi
Injili,siyo injili ya matayo,marko sijui nani,maana hata tupac ana ghetto gospel (injili ya ghetto)..na neno injili ni kiarabu,linapatikana kwenye Quran,sasa kitabu kilikua kinaitwaje,tafuta jina lenu jingineNdugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana Adamu alizungumza na Mungu, aliguswa na Mungu, na alionana na Mungu, ila baada ya kula tunda ndio Mungu akajitenga mbali nae, sio yesu.
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.
sawaOooooooh...ndo hivyo haya mambo si mapya. Yalianza toka huko kwa mtume.
Oya sijakuelewaInjili,siyo injili ya matayo,marko sijui nani,maana hata tupac ana ghetto gospel (injili ya ghetto)..na neno injili ni kiarabu,linapatikana kwenye Quran,sasa kitabu kilikua kinaitwaje,tafuta jina lenu jingine
Injili ni kitabu cha mwenyezi Mungu alichomahushia issa bin maryam,neno injili ni neno la kiarabu,hizo injili za marko,matayo hizo ni za hao watajwa siyo injili ya yesu,maana hata wewe unaweza andika kitabu na kukiita 'injili ya uwesuOya sijakuelewa
Sawa huyo issa bin mariamu alipewa injili kutoka kwa Mungu kwa njia ipi? Ndio mada yangu ya leo.Injili ni kitabu cha mwenyezi Mungu alichomahushia issa bin maryam,neno injili ni neno la kiarabu,hizo injili za marko,matayo hizo ni za hao watajwa siyo injili ya yesu,maana hata wewe unaweza andika kitabu na kukiita 'injili ya uwesu
Wahyi,anatumwa malaika anamletea ujumbe,ye anaufikisha kwa watuSawa huyo issa bin mariamu alipewa injili kutoka kwa Mungu kwa njia ipi? Ndio mada yangu ya leo.
Kama umemsoma vizuri issa alipewa ujumbe na Mungu kwa njia ipi?
Una uhakika issa alikuwa akipokea wahyi au unakurupuka tu?Wahyi,anatumwa malaika anamletea ujumbe,ye anaufikisha kwa watu
Kumbe ujumbe alipataje?Una uhakika issa alikuwa akipokea wahyi au unakurupuka tu?
Ivi umewahi kuisoma kweli hiyo injili ya issa?Kumbe ujumbe alipataje?
sawa kwaiyo nikisilimu leo ntapata nn uko peponi???......na je n kwel kuna majini ambayo yamesilimi.......na je wanawake watapata thawabu gani uko pepon?......Ndio, ni Mungu aliyewaumba wanadamu na kila kitu katika ulimwengu anaelezewa zaidi katika kitabu chake tukufu cha Qur-an
Lete swali mzee
Injili imetiwa mikono miaka na miakaIvi umewahi kuisoma kweli hiyo injili ya issa?
So was Paul preaching his own gospel, the gospel of Jesus or the Gospel of God?
In swahili!
Je, Paulo alikuwa akihubiri injili yake mwenyewe, injili ya Yesu au Injili ya Mungu?
Swali langu hiyo injili ambayo paulo alikuwa akiihubilia ilipatikanaje?
Umeleta mistari mingi ambayo haina maana kwenye bandiko langu.
Kila mtumishi kila mchungaji na kila mkristo anahubiri kupitia injili ya yesu.
Je hiyo injili ina uhalali kweli na je yesu alipewa injili akiwa wapi katika maisha yake?
We unaumwa eeUnaweza kutuwekea injili ya Yesu hapa ?