Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #41
Ooooh.... So unasema ni dhaifu? Huo ni mfumo dume. Kama walikuwa special kama watoto maana yake ni nini ? Sijajua hoja yako mpaka sasa. Nakuambia sisi tupo na mama.Hao ni ruler or emperor kipind ambacho kina mapambano kwa sana ,hadith zinafuatwa ni matendo pomoja aliyosema.
Ina maana kama ni ruler enzi zile lazima awe upande wa mbele kweny vita ,sasa kaangalie kweny vita kama palikuwa na wanawake.
Kwanza hao wanawake walikuwa special group kama watoto ,hawatakiwa hata kushambuliwa kipind cha vita ,sasa wangewezaje kuongoza vita?