Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

Hao ni ruler or emperor kipind ambacho kina mapambano kwa sana ,hadith zinafuatwa ni matendo pomoja aliyosema.

Ina maana kama ni ruler enzi zile lazima awe upande wa mbele kweny vita ,sasa kaangalie kweny vita kama palikuwa na wanawake.

Kwanza hao wanawake walikuwa special group kama watoto ,hawatakiwa hata kushambuliwa kipind cha vita ,sasa wangewezaje kuongoza vita?
Ooooh.... So unasema ni dhaifu? Huo ni mfumo dume. Kama walikuwa special kama watoto maana yake ni nini ? Sijajua hoja yako mpaka sasa. Nakuambia sisi tupo na mama.
 
Mwanamke gani anaweza kuongoza kweny vita miaka ile 😅😅

Yesu hajawahi kuwa hata na mwanafunzi wa kike.
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Hii ndiyo Quran!?..acha umaku,kitu Kama hujui tuliza kijambio
 
Hizi nafasi za juu za uongozi, wanawake wasiwe wanapewa kabisa......
Hawana nguvu kabisa zaidi wanaharibu Umeme mpaka Leo ahadi za uongo tu nakumbuka tarehe 16 ilikua mwisho wa kukatika katika kwa Umeme ila mpaka Leo hakuna jipya.
Maendeleo yao kabda maana haki sawa anajitahidi kweli
 
Wewe unaona nchi yetu inaendelea au inadidimia , sizani kama 2025 , hatarudi mwanamke
 
Mwanamke gani anaweza kuongoza kweny vita miaka ile 😅😅

Yesu hajawahi kuwa hata na mwanafunzi wa kike.

Hii ndiyo Quran!?..acha umaku,kitu Kama hujui tuliza kijambio
Povu linakutoka.... Kisu kimegusa mfupa... Na bado... Tutawagonga sana safari hii. Mama anaupiga mwingi... Mnatoa povu kila sehemu zenu zenye uwazi... Subirini nirudi toka Ethiopia nyie ngurumbili.
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698

Kwani hii nchi ni ya kiislamu,hao viongozi wa kiume wamefanya nini cha maana,hii nchi inahitaji zaidi mifumo imara inayojisimamia na kujiendesha bila kuingiliwa na mtu,hapi ndipo tutapiga hatua.

Dini zisitufanye sisi wajinga.
 
Hao wa kiume hawajafanya lolote la maana. Mama ndo ameifungua nchi. Ndo maana sitaki nimsikie mtu akisema nyoto nyoto.
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
we quran iseme hivyo? ama wewe ni zuzu
 
uko tayari/unaweza mruhusu mkeo awe mtawala hapo nyumbani kwako?
Nchi sio nyumbani kwako, hivi ni vitu viwili tofauti. Vilevile tunazungumzia kuongoza, sio kutawala.

Inaonekana una tatizo la kutofautisha mambo.
 
Back
Top Bottom