camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Unajua maana ya neno valuation?Nimekwambia hivi hapo ni jumla ya mali alizoacha marehemu.wapi Quran imetoka mfano marehemu kaacha million 1?
Marehemu ana gari,nyumba ,mashamba vitu na ndani na hela n.k
Hvyo vyote vinajumlishwa baadae ndo vinagawanywa hivyo.sio kuja na mfano wa million 1.ina maana huyo marehemu kaacha tu million 1?tumieni akili kidogo