Sasa wewe umeelekezwa namna ya kukokotoa ila bado unakaza fuvu 😃Mashehe wakituambia Quran imekamilika kila kitu Haina shaka.
Tuwe tunahoji tusikubali tu kila kitu
Nimsiba kwa kweli huwa ninashangaa na kusikitishwa na baadhi ya vitendo vya Waislamu wenzangu kwasababu hoja hujibiwa kwa hoja wala si kwamatusi na tumeruhusiwa kujadiliana Allah anasema katika Qur'anBora wewe umefafanua wenzako wameporomosha matusi tu! Kimahesabu ukifuata huo mgawanyo inazidi.
WEWE INAKUUMA HIYO?...Jamaa alipenda sana wanawake , akajiahushia Aya
Surah Al-Ahzab 33:50
“…Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako… na mke aliyejitoa nafsi yake kwa Nabii…”
Qur’an ilisema hii ni ruhusa maalum kwa Mudy tu, si kwa waumini wengine.
Naijua Quran kuliko hata muftiWEWE INAKUUMA HIYO?...
Ikiwa huamini, huwezi kulewa Qur'an, huna haja ya kuhoji bali achana nayo maana hujaeilewa.
Labda kama unaisoma kama kitabu cha ALFU LELA ULELANaijua Quran kuliko hata mufti
Sio kejeri ni ukweli,Labda kama unaisoma kama kitabu cha ALFU LELA ULELA
Ungeielewa usingeuliza na kukejeli..
MKUU HUILEWI QUR'AN, UNASOMA KAMA KASUKU..Sio kejeri ni ukweli,
Naijua Quran kuliko mufti,siku naukana uislamu nilikukana ndani ya MSIKITI,huku nimezungukwa na MASHEIKH wakitumia biblia kupotosha, maana kwenye Quran niliwatoa knockout,na kwenye biblia wakanishindwa wakasema nisubiri ADHAB ZA KABRIMKUU HUILEWI QUR'AN, UNASOMA KAMA KASUKU..
Hao waarabu ni kweli walikuwa washirikina Sasa Yesu alikuwa dini ganiSwali kwa Meta Al:- What was the religion of Arabs before islam?
Meta AI, anajibu:- Before Islam, the Arabs practiced a form of polytheism and idolatry, worshipping multiple gods and goddesses. Each tribe had its own set of deities, and the Kaaba in Mecca was a major shrine housing of numerous idols.
Some key aspects of pre-Islamic Arabian religion include:
1. Idolatry:-
Worshipping statues and images of various gods.
2. Polytheism:-
Believing in multiple deities.
3. Animism:- Attributing spiritual powers to natural elements.
The pre-Islamic Arabian religious landscape was diverse, with influences from Judaism, Christianity, and other regional beliefs.
Islam emerged in the 7th century, introducing monotheism and transforming the religious landscape of Arabia.
Google ametafsiri kwa kiswahili hivi,
Swali:
Waarabu walikuwa na dini gani kabla ya uislamu?
Jibu:-
Kabla ya Uislamu, Waarabu walifanya aina ya ushirikina na ibada ya sanamu, wakiabudu miungu mingi na miungu. Kila kabila lilikuwa na seti yake ya miungu, na Kaaba huko Makka ilikuwa nyumba kubwa ya sanamu nyingi.
Baadhi ya mambo muhimu ya dini ya Arabia ya kabla ya Kiisilamu ni pamoja na:
1. Ibada ya sanamu :-
Kuabudu sanamu na picha za miungu mbali mbali.
2. Polytheism :-
Kuamini miungu mingi.
3. Animism :- Kuonyesha nguvu za kiroho kwa vitu vya asili.
Mazingira ya kidini ya kabla ya uislamu yalikuwa tofauti, na ushawishi kutoka kwa Uyahudi, Ukristo, na imani zingine za kikanda.
Uislamu uliibuka katika karne ya 7, ukianzisha ukiritimba na kubadilisha mazingira ya kidini ya waarabu.
Halafu aje mvuta bangi abwabwaje kuwa Yesu naye alikuwa mwislam
😀😀😀😀
Hayo ni maelekezo ya wanadamu baada ya kuona hesabu za Allah zimegoma.Sasa wewe umeelekezwa namna ya kukokotoa ila bado unakaza fuvu 😃
Mimi namkubali zaidi sheikh Busu la Kenge ana hikima sana na ilimu ya dini yupo vizuri.
Biblia ndio imeshindwa kwenye hesabuHayo ni maelekezo ya wanadamu baada ya kuona hesabu za Allah zimegoma.
Kama Quran imetoka kwa Allah Kwanini inashindwa kitu kidogo Kama hicho?
Yesu amezaliwa dini ya Judaism,akaanzisha Ukristo kutoka JudaismHao waarabu ni kweli walikuwa washirikina Sasa Yesu alikuwa dini gani
Nawewe Tunga kama ya Muhammad tuone itakuwaje,Au hata tafuta kundi la Watu wajiwezao na uwaaminio watunge halafu tuioneMUHAMMAD ALIKUWA ANAJITUNGIA kila kitu anachoona kinamjia kichwani
Simple tu,Nawewe Tunga kama ya Muhammad tuone itakuwaje,Au hata tafuta kundi la Watu wajiwezao na uwaaminio watunge halafu tuione
Sasa hao suni na Shia wanatumia muongozo gani kugawana urithi?Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12