Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Wewe umetoa wapi hizi?😅😅 Makafiri kwa uzushi
Makafir kwa uzushi na uongo ni kama uji na mgonjwa kama waliweza kumsingizia mungu ana mtoto na miungu ipo mitatu, na wakaweka majumbani kwao na makanisani kwao picha za mzungu na kusema ndio yesu hawa kitu gani wanashindwa kutunga? Wengine wanajaza gesi kwa pumzi,kuna wanaofufua watu waliokufa makanisani mwao, hawa ni wakuwaonea huruma tu wala sio kubishana nao
 
Katunga nn. Toa mfano
Alijifanya anafunga kama mitume na Yesu ,

Njaa ikambana usiku akaenda kula kwa kujificha ,wakamfumania ,

Anajishushia Aya 😂

Surah Al-Baqarah 2:187

“…Imekuhalalishieni usiku wa Saumu kujimai na wake zenu… na kuleni na kunyweni mpaka pambazuke weupe wa alfajiri…”
 
Katunga nn. Toa mfano
Jamaa alipenda sana wanawake , akajiahushia Aya

Surah Al-Ahzab 33:50

“…Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako… na mke aliyejitoa nafsi yake kwa Nabii…”

Qur’an ilisema hii ni ruhusa maalum kwa Mudy tu, si kwa waumini wengine.
 
Katunga nn. Toa mfano
Baada ya Zayd mtoto wa mudy wa kufikia ,kumtaliki Zaynab, Mudy alimuoa, jambo lililotazamwa kwa shaka na watu., walipombana akajishushia Aya kama kawaida yake

Aya: Surah Al-Ahzab 33:37

“…Ili kusiwe na tatizo kwa Waumini kuoa wake wa watoto wao wa kufikiriwa, baada ya hao kuwat
upa…”

😂😂😂😂😂
 
Alijifanya anafunga kama mitume na Yesu ,

Njaa ikambana usiku akaenda kula kwa kujificha ,wakamfumania ,

Anajishushia Aya 😂

Surah Al-Baqarah 2:187

“…Imekuhalalishieni usiku wa Saumu kujimai na wake zenu… na kuleni na kunyweni mpaka pambazuke weupe wa alfajiri…”
Hiki ndio kitu pekee unaweza ila kuleta hoja za maana huwezi 😃
 
hapana mgawanyo uliouleta hauendani kikamilifu na mgawanyo wa urithi katika Qur'an 4:11–12

Kosa kuu hapo ni la kihisabati
Katika mfano huo umerusha moja kwa moja fungu la kila mrithi kwa asilimia ya urithi wote bila kuzingatia kwamba baadhi ya warithi hupata sehemu maalum (fixed shares) na kilichobaki hugawanywa (asaba) kwa watoto.

kwa mujibu wa Qur’an
Mfano wa Qur’an 4:11-12
Mtu amefariki na kaacha Mke mmoja,Mabinti wawili,Baba na Mama

Urithi = 1,000,000

1. Mke – Anapata 1/8 kwa kuwa marehemu aliacha watoto
= 1,000,000 × 1/8 = 125,000

2. Wazazi (Baba na Mama)
Kwa kuwa kuna watoto, kila mzazi anapata 1/6 (Qur'an 4:11)
Baba = 1/6 × (1,000,000) = 166,666.67
Mama = 1/6 × (1,000,000) = 166,666.67

Jumla hadi hapa = 125,000 + 166,666.67 + 166,666.67 = 458,333.34

3. Mabinti wawili
Kwa mujibu wa Qur’an (4:11):
“...na ikiwa mabinti ni zaidi ya mmoja, basi watapata theluthi mbili (2/3) ya alichokiacha.”

2/3 × 1,000,000 = 666,666.66
Hii hugawiwa kati yao wawili kila mmoja = 333,333.33

Jumla = 458,333.34 (wazazi + mke) + 666,666.66 (watoto) = 1,125,000

Tatizo ni nini?
Kiasi kinazidi 1,000,000. Qur’an haijakosea. Suluhisho ni kutumia kanuni ya “Awl” (التعصيب بالعول) – wanazuoni wa fiqhi waliweka utaratibu wa "kupunguza fungu la kila mrithi kwa uwiano ili lisizidi urithi halisi".

Mfano: badala ya kugawa kwa 1/8, 1/6, na 2/3 moja kwa moja, mafungu yote yanagawanywa kwa pamoja kwa kuzingatia jumla iliyopo.

Mwisho Qur’an haijakosea hisabati tatizo ni tafsiri isiyo sahihi ya mgao bila kutumia kanuni za mirathi za Fiqhi kama (Awl) Wanazuoni wa Fiqhi madhehebu zote nne wameweka utaratibu thabiti wa kusuluhisha hali kama hii.
Ahaaa kumbe Quran ilijichanganya ikabidi binadamu wanaojiita wanazuoni kuja kuikomboa na fiqhi kama Awl
 
Katunga nn. Toa mfano
Mtume aliahidi kwa wake zake kuacha kumtembelea Maria Aliyekuwa kimada wake ,baada ya wake zake kuonyesha wivu.

akaapa kabisa ,baadae akajishushia Aya ili awe anaenda kwa maria kupiga mbususu

Aya: Surah At-Tahrim 66:1-2

“Ewe Nabii! Kwa nini unaharamisha (kwa nafsi yako) kile ambacho Mwenyezi Mungu amekuhalalishia… Mwenyezi Mungu amekuandalia njia ya kufuta viapo vyenu…”

Mudy alikuwa tapeli sana
 
Unaweza kututhibitishia kuwa alijishushia aya
Usikimbie 😃
 
Wonazuoni wanamzidi allah akili?
Allah anasema katika Qur'an
“Hakika wanaomuogopa Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja wake ni wale wenye ilimu (wanazuoni)".
Qur'an Surah Fatir (35:28)

Hadithi sahihi ya Mtume Muhammad (s.a.w) imepokelewa na Abu Dawud, Tirmidhi na wengine:

"Hakika wanazuoni ni warithi wa manabii. Na hakika manabii hawakuacha dinari wala dirhamu, bali walirithisha elimu. Basi anayechukua elimu hiyo, amechukua sehemu kubwa ya urithi".
Hadithi: Abu Dawud, Tirmidhi (Sahih)
 
NIWASAIDIE TENA HOJA NI HII:
MGAO WA URITHI KWA MUJIBU WA QURAN 4:11-12
Mke apate 1/8
Baba apate 1/6
Mama apate 1/6
Watoto wa kike wakiwa zaidi ya mmoja wote wapate 2/3
Quran iko wazi kabisa.
Sasa jumlisha hizo zinavuka 1/1
Jibu hoja acha kushambulia hata ukiniita kafiri haitabadilisha uongo wa Quran
Hakuna uongo,wewe nfio.huna elimu.Mambo ya mirafhi katika uislamu,ni domo.maalumu,kuna vitu kwanza vinalipwq kama madeni,wasia wa marehemu,gharama za maziko,kinachobaki ndio wanafawqna,na katika huo mgao,mashahifi pia wanapewa chao.Na ikiwa ni.mahakama,wamefungua mirathi,kuna malipo ya mahakama,mslipo ya cheti cha kifo,tangazo la mirathi kwenye magazeti,wakili atakayesimamia shauri la mirathi.ugawaji wa mirathi una gharama zake,na zote zitatoka kwenye mali ya marehemu.Hicho unachoona kinabaki ni gharama za ugawaji wa mirathi.Mirathi haigaiwi kienyeji,lazima kufungua mirathi,ndani ya miezi mitatu,ili.kama yupo mtu mwingine anayehusika,ajitokeze kudai mirathi. Kwa mfano nyumba,inatakiwa iuzwe,kunafuqtilia kubadilisha hati ya nyumba,nk
 
Allah anasema katika Qur'an
“Hakika wanaomuogopa Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja wake ni wale wenye ilimu (wanazuoni)".
Qur'an Surah Fatir (35:28)

Hadithi sahihi ya Mtume Muhammad (s.a.w) imepokelewa na Abu Dawud, Tirmidhi na wengine:

"Hakika wanazuoni ni warithi wa manabii. Na hakika manabii hawakuacha dinari wala dirhamu, bali walirithisha elimu. Basi anayechukua elimu hiyo, amechukua sehemu kubwa ya urithi".
Hadithi: Abu Dawud, Tirmidhi (Sahih)
Hawa wanafikiei uislamu ni kama kijiwe cha pombe za kienyeji,kila mtu anaropola tu.Uislamu kila nyanja lazima uisomee,kuna elimu ya mirathi,lazima uisomee.
 
Mimi sijui kitu au Quran haijui kitu.
Sijatia neno langu hata moja hapo
Sawa mtaalam tuambie sasa hayo makosa ya kukokotoa yaligundulika lini na lini marekebisho yalifanywa

Usikae kimya jibu 😃
 
Ahaaa kumbe Quran ilijichanganya ikabidi binadamu wanaojiita wanazuoni kuja kuikomboa na fiqhi kama Awl
Siyo kuchanga ulikuwa hujaelewa ndiyo maana Allah akatuma manabii Qur'an 62:2 inasema:

"Yeye ndiye aliyewaletea wasio jua kusoma Mtume kutoka kwao, anawasimulia aya Zake na anawatakasa, na anawafundisha Kitabu na hekima, ijapokuwa walikuwa kabla ya haya katika upotovu ulio wazi."

Na kuhusu wanazuoni Allah anasema

Back
Top Bottom