- Thread starter
- #121
Hoja hiyo hapo iko mezani wanaishia kutukana tuDini ya uislam ipo mbali na Dogmatism na blindly following,sio dini ya kubumba ujue
Hoja hiyo hapo iko mezani wanaishia kutukana tuDini ya uislam ipo mbali na Dogmatism na blindly following,sio dini ya kubumba ujue
Wonazuoni wanamzidi allah akili?hapana mgawanyo uliouleta hauendani kikamilifu na mgawanyo wa urithi katika Qur'an 4:11–12
Kosa kuu hapo ni la kihisabati
Katika mfano huo umerusha moja kwa moja fungu la kila mrithi kwa asilimia ya urithi wote bila kuzingatia kwamba baadhi ya warithi hupata sehemu maalum (fixed shares) na kilichobaki hugawanywa (asaba) kwa watoto.
kwa mujibu wa Qur’an
Mfano wa Qur’an 4:11-12
Mtu amefariki na kaacha Mke mmoja,Mabinti wawili,Baba na Mama
Urithi = 1,000,000
1. Mke – Anapata 1/8 kwa kuwa marehemu aliacha watoto
= 1,000,000 × 1/8 = 125,000
2. Wazazi (Baba na Mama)
Kwa kuwa kuna watoto, kila mzazi anapata 1/6 (Qur'an 4:11)
Baba = 1/6 × (1,000,000) = 166,666.67
Mama = 1/6 × (1,000,000) = 166,666.67
Jumla hadi hapa = 125,000 + 166,666.67 + 166,666.67 = 458,333.34
3. Mabinti wawili
Kwa mujibu wa Qur’an (4:11):
“...na ikiwa mabinti ni zaidi ya mmoja, basi watapata theluthi mbili (2/3) ya alichokiacha.”
2/3 × 1,000,000 = 666,666.66
Hii hugawiwa kati yao wawili kila mmoja = 333,333.33
Jumla = 458,333.34 (wazazi + mke) + 666,666.66 (watoto) = 1,125,000
Tatizo ni nini?
Kiasi kinazidi 1,000,000. Qur’an haijakosea. Suluhisho ni kutumia kanuni ya “Awl” (التعصيب بالعول) – wanazuoni wa fiqhi waliweka utaratibu wa "kupunguza fungu la kila mrithi kwa uwiano ili lisizidi urithi halisi".
Mfano: badala ya kugawa kwa 1/8, 1/6, na 2/3 moja kwa moja, mafungu yote yanagawanywa kwa pamoja kwa kuzingatia jumla iliyopo.
Mwisho Qur’an haijakosea hisabati tatizo ni tafsiri isiyo sahihi ya mgao bila kutumia kanuni za mirathi za Fiqhi kama (Awl) Wanazuoni wa Fiqhi madhehebu zote nne wameweka utaratibu thabiti wa kusuluhisha hali kama hii.
Quran haisemi hivyo.Hivi unajua kusoma?
Usikurupuke.....!
Haiwezekani marehemu kaacha 1,000,000 halafu kila Mrithi apate zaidi ya mil 1.
Wakati mwengine tumia Grok Ai au gtp.
Kwa kukusaidia pitia hapa.
Hebu tuangalie jinsi mgawanyo utakavyofanyika:
1. Wahusika wa Urithi na Sehemu Zao za Hisa Kwa mujibu wa Sharia, warithi wanaohusika katika hali hii na hisa zao ni kama ifuatavyo:
2. Hesabu ya MgawanyoJumla ya urithi ni TSh 1,000,000. Sasa, tugawanye kulingana na hisa zilizotajwa:
- Mke: Anapata 1/8 (yaani, 12.5%) ya urithi kwa sababu kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:12).
- Watoto wa kike wawili: Wanapata 2/3 (yaani, 66.67%) ya urithi kwa pamoja, kwani kuna watoto wa kike zaidi ya mmoja bila wanaume. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11). Hisa hii itagawanywa sawasawa kati yao (kila mmoja atapata 1/3 ya urithi wote).
- Baba: Anapata 1/6 (yaani, 16.67%) ya urithi kama hisa yake ya faradhi, kwani kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11).
- Mama: Anapata 1/6 (yaani, 16.67%) ya urithi kama hisa yake ya faradhi, kwani kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11).
3. Ukaguzi wa JumlaHebu tuhakikishe kuwa jumla ya hisa zote inafikia TSh 1,000,000:
- Mke:
Hisa = 1/8 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 ÷ 8 = TSh 125,000.- Watoto wa kike wawili:
Hisa ya pamoja = 2/3 ya TSh 1,000,000 = (1,000,000 × 2) ÷ 3 = TSh 666,667.
Kila mtoto wa kike atapata: 666,667 ÷ 2 = TSh 333,333.50.- Baba:
Hisa = 1/6 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 ÷ 6 = TSh 166,667.- Mama:
Hisa = 1/6 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 ÷ 6 = TSh 166,667.
125,000 (mke) + 666,667 (watoto wa kike) + 166,667 (baba) + 166,667 (mama) = TSh 1,125,001. Hapa kuna tofauti ndogo ya TSh 1,001 inayotokana na kurudisha nambari kwa nambari za desimali. Katika hali za vitendo, hii inaweza kurekebishwa kwa kugawanya salio sawasawa au kwa makubaliano ya warithi.4. Muhtasari wa Mgawanyo
5. Masharti ya Ziada
- Mke: TSh 125,000
- Mtoto wa kike 1: TSh 333,333.50
- Mtoto wa kike 2: TSh 333,333.50
- Baba: TSh 166,667
- Mama: TSh 166,667
- Ikiwa kuna deni lolote au wosia wa marehemu, hilo linapaswa kulipwa kwanza kabla ya kugawanya urithi (Qur'an, Sura An-Nisa, 4:11-12).
Si ndo hapo hicho kijikafir kinafikiri kila mmoja kichwa panzi ka yeyeWw kiande hujawah kuwa muislamu hilo jinà la hamis wanyakyusa kibao makafiri wanatumia sisi tuliobahatika kukaa shule Kwa miaka mingi huwez kutudanganya kwastyle hii
Laahaula...unatumia Qur an ya kwenye chat CHATBOTS......basi wewe sio rahisi kukuelewesha.....hapo unapokaa kama kuna msikiti na unataka kujifunza waulize mashekhe watakuelewesha vizuri....Huo ni uelewa wako lakini
Quran 4:11-12
Inasema
Mke 1/8
Baba 1/6
Mama 1/6
Watoto wa kike wawili 2/3
Hakika mkuu.Wonazuoni wanamzidi allah akili?
Situmii CHATBOT, natumia Suratul An-Nisa Aya ya 11-12Laahaula...unatumia Qur an ya kwenye chat CHATBOTS......basi wewe sio rahisi kukuelewesha.....hapo unapokaa kama kuna msikiti na unataka kujifunza waulize mashekhe watakuelewesha vizuri....
hiyo maana mnayotoa kwenye chatbots nyingi ni zile zilizoandikwa na watu kama wewe mtandao
(kwahiyo chatbots anazikusanya halafu anakupa kama end product ya makusanyo yote)(HII NAKUPA MAANA YA NAMNA CHATBOT INAFANYA KAZI)
sasa hapo kwenye chat bot wala usiamini kwa 100% kwenye jambo lolote
KILA LA HERI...
Sawa tuambie lini makosa yaligundulika na lini marekebisho yalifanywaSitumii CHATBOT, natumia Suratul An-Nisa Aya ya 11-12
Uislamu ni dini ya mchongo sanaDini ya uislam ipo mbali na Dogmatism na blindly following,sio dini ya kubumba ujue
Kwanini Alipokufa Waraq tu, Wahay ukakata?Porojo tu za kikafiri
Hatujui tuambie wewe kwa nini alitaka kujinyongaUislamu ni dini ya mchongo sana
Kwanini Quran imeiba vingi kwa wasabai Hadi swala 5 ,adhaba ,n.k
Unajua kwanini muhamad alitaka kujinyonga baada ya Waraq kufariki na Wahay kukata?
Yaani anakufa Waraq na WAHAYI UKAKATA ,mudy akataka kujinyonga
Tupo tunasubiri elimu mkuu
Mkuu acha ubishi na ujuaji..Mimi hapa nimeleta Quran 4:11-12
Inayosema:
Mke 1/8
Baba 1/6
Mama 1/6
Watoto wa kike wawili 2/3
Jumlisha hizo uone unapata ngapi?
Jibu hoja acha kumshambulia mtu
Hujui unachosema.Mkuu acha ubishi na ujuaji..
Hapo ni wapi kaleta andiko la aya ya 11-12?
Zaidi kaleta mahesabu bila kunukuu hiyo aya? Aya ina assumptions kadhaa, ikiwa hivi, ikiwa vile n.k
Je kwenye swali laleta mada kuna nukuu ya aya?
Wakiambiwa waislamu wanasoma madrasa(shule kwa kiarabu),WANAONA NI JAMBO JEPESI,KUNA SOMO MAALUMU LINAITWA ILIMU L MIRATHI(ELIMU YA MIRATHI),JINSI MGAONUNAVYOGAIWA.Makanisa uchwara yameleta balaa mitandaoni, Hawa vijana Extremists Galatians wanaharibu jukwaa la Melo kuonekana sehemu ya wapuuzi.
Nilipoona eti hela iliyoachwa inazidi urirhi nikajua tu ni upotoshaji , Wagalatia extremists kazi yao kukurupuka tu na wanazidi kujiaibisha , poor them Maarass!!.
Kitu kimoja Cha kuwaambia ; Uislamu hukumu , Sheria zake na dini nzima inahusisha mambo mengi na ndio maana dini yetu imesisitiza mtu kusoma kabla ya vitendo na Kauli na sio kujiamulia tu kuandika kwa mtazamo wako .
Hakuna Aya inayosema watoto wa kike wagawane fungu linalobaki.Chat GPT anaeleza hivi
Nitaeleza kanuni za mgao wa mirathi kwa muislamu na kisha nitafanya hesabu ya mgao kwa warithi uliowataja.
Kanuni za Msingi za Mirathi katika Uislamu
Mirathi katika Uislamu hufuata kanuni maalum zilizowekwa katika Qur'an na Sunnah, na si mapenzi ya mtu. Kanuni hizi zinazingatia uhusiano wa damu, ndoa, na uhuru wa kiimani.
Wapokea Mirathi Wakuu (Watu wa Fardhi): Hawa ni watu ambao wametajwa kwa uwazi katika Qur'an kwa sehemu maalum ya mirathi. Baadhi yao ni:
* Mume: Hupata nusu (1/2) ya mali ya mke wake kama hana mtoto. Kama mke ana watoto, mume hupata robo (1/4).
* Mke/Wake: Hupata robo (1/4) ya mali ya mume kama hana mtoto. Kama mume ana watoto, mke hupata sehemu ya nane (1/8).
Baba: Hupata sehemu ya sita (1/6) ya mali kama marehemu ana mtoto. Kama marehemu hana mtoto, baba hupata mali yote iliyobaki baada ya kutoa sehemu za wapokea mirathi wengine.
Mama: Hupata sehemu ya sita (1/6) ya mali kama marehemu ana watoto au ndugu zaidi ya wawili. Kama hana, hupata theluthi (1/3).
Watoto:
Watoto wa kiume: Hupata maradufu ya sehemu ya watoto wa kike. Mfano, mtoto wa kiume hupata sehemu mbili, na mtoto wa kike hupata sehemu moja.
* Watoto wa kike peke yao (zaidi ya wawili): Hupata theluthi mbili (2/3) ya mali yote.
* Mtoto mmoja wa kike peke yake: Hupata nusu (1/2) ya mali yote.
Wapokea Mirathi Wasio na Fardhi (Asabah): Hawa ni warithi wanaopata mabaki ya mirathi baada ya kutoa sehemu za Watu wa Fardhi. Kwa kawaida ni wanaume (au wanawake wanaopata urithi kwa kuungana na mwanaume).
Mgao wa Mirathi kwa Warithi Uliowataja
Marehemu ameacha Tshs. 1,000,000/= na warithi wafuatao: Baba 1, Mke 1, na Watoto wa kike 2.
1. Mke:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, mke atapata sehemu ya nane (1/8) ya mali yote.
Mgao wake = 1/8 x 1,000,000/= = Tshs. 125,000/=
2. Baba:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, baba atapata sehemu ya sita (1/6) ya mali yote.
Mgao wake = 1/6 x 1,000,000/= = Tshs. 166,666.67/=
3. Watoto wa kike (wawili):
Watoto wa kike wawili watapata sehemu ya theluthi mbili (2/3) ya mali yote.
Mgao wao = 2/3 x 1,000,000/= = Tshs. 666,666.67/=
Mgao wa kila mtoto wa kike = 666,666.67/= / 2 = Tshs. 333,333.33/=
Jumla ya mirathi iliyogawanywa:
125,000/= (mke) + 166,666.67/= (baba) + 666,666.67/= (watoto) = Tshs. 958,333.34/=
Mabaki ya mirathi:
1,000,000/= - 958,333.34/= = Tshs. 41,666.66/=
Mabaki haya yataenda kwa Baba (kama Asabah), kwa sababu katika kesi hii, baba anapewa sehemu ya sita (kwa sababu ya uwepo wa mtoto) kisha anakuwa na haki ya kupata mabaki yote (Asabah).
Kwa hiyo, mgao wa mwisho utakuwa:
* Mke: Tshs. 125,000/=
* Watoto wa kike wawili: Tshs. 666,666.67/= (kila mmoja Tshs. 333,333.33/=)
* Baba: Tshs. 166,666.67/= + Tshs. 41,666.66/= = Tshs. 208,333.33/=
Jumla kuu ni Tshs. 1,000,000/=.
Nawaona mnarukaruka tu.Wakiambiwa waislamu wanasoma madrasa(shule kwa kiarabu),WANAONA NI JAMBO JEPESI,KUNA SOMO MAALUMU LINAITWA ILIMU L MIRATHI(ELIMU YA MIRATHI),JINSI MGAONUNAVYOGAIWA.