Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Mzee waislamu elimu hawana hata kidogo hasa hii ya Secular ,

Manuscript ya biblia imetofautisha vzr

Kiswahili ndio kimeita kwa Cheo kama Farao ,

Kwahiyo huyu ni anatafuta kichaka maana hawezi kujibu maswali ya msingi
Kwa hiyo tuseme hiyo ya kiswahili sio biblia au 😃
 
Mgao wa Mirathi kwa Warithi Wapya
Marehemu ameacha Tshs. 1,000,000/= na warithi wafuatao: Baba 1, Mama 1, Mke 1, na Watoto wa kike 2.
1. Mke:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, mke atapata sehemu ya nane (1/8).
Mgao wake = 1/8 x 1,000,000/= = Tshs. 125,000/=
2. Baba:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, baba atapata sehemu ya sita (1/6).
Mgao wake = 1/6 x 1,000,000/= = Tshs. 166,666.67/=
3. Mama:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, mama atapata sehemu ya sita (1/6).
Mgao wake = 1/6 x 1,000,000/= = Tshs. 166,666.67/=
4. Watoto wa kike (wawili):
Watoto wa kike wawili watapata sehemu ya theluthi mbili (2/3).
Mgao wao = 2/3 x 1,000,000/= = Tshs. 666,666.67/=
5. Jumla ya Mirathi iliyogawanywa:
125,000/= (mke) + 166,666.67/= (baba) + 166,666.67/= (mama) + 666,666.67/= (watoto) = Tshs. 1,125,000.01/=
Kuna tatizo na hesabu hiyo kwa sababu jumla imezidi kiwango cha mali. Hii inaonyesha kwamba sehemu za Qur'an zilizotolewa hapo juu zinahitaji marekebisho. Katika hali kama hii (inayojulikana kama *Aul), hisa huhesabiwa kama ifuatavyo:
* Sehemu ya Mke: 1/8
* Sehemu ya Baba: 1/6
* Sehemu ya Mama: 1/6
* Sehemu ya Watoto wa kike: 2/3
Kupata denominator ya kawaida: 24.
* Mke: 3/24
* Baba: 4/24
* Mama: 4/24
* Watoto wa kike: 16/24
Jumla ya nambari za hisa hizi ni 3 + 4 + 4 + 16 = 27. Katika hali ya Aul, jumla ya hisa inatumika kama denominator mpya, hivyo mali inagawanywa katika sehemu 27 badala ya 24.
Kwa hiyo, mgao utakuwa:
* Mke: 3/27 x 1,000,000/= = Tshs. 111,111.11/=
* Baba: 4/27 x 1,000,000/= = Tshs. 148,148.15/=
* Mama: 4/27 x 1,000,000/= = Tshs. 148,148.15/=
* Watoto wa kike wawili: 16/27 x 1,000,000/= = Tshs. 592,592.59/=
* Kila mtoto wa kike atapata: 592,592.59/= / 2 = Tshs. 296,296.30/=
Jumla kuu:
111,111.11 + 148,148.15 + 148,148.15 + 592,592.59 = Tshs. 1,000,000/=
 
Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
Hivi unajua kusoma?

Usikurupuke.....!

Haiwezekani marehemu kaacha 1,000,000 halafu kila Mrithi apate zaidi ya mil 1.

Wakati mwengine tumia Grok Ai au gtp.

Kwa kukusaidia pitia hapa.

Hebu tuangalie jinsi mgawanyo utakavyofanyika:

1. Wahusika wa Urithi na Sehemu Zao za Hisa Kwa mujibu wa Sharia, warithi wanaohusika katika hali hii na hisa zao ni kama ifuatavyo:
  • Mke: Anapata 1/8 (yaani, 12.5%) ya urithi kwa sababu kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:12).
  • Watoto wa kike wawili: Wanapata 2/3 (yaani, 66.67%) ya urithi kwa pamoja, kwani kuna watoto wa kike zaidi ya mmoja bila wanaume. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11). Hisa hii itagawanywa sawasawa kati yao (kila mmoja atapata 1/3 ya urithi wote).
  • Baba: Anapata 1/6 (yaani, 16.67%) ya urithi kama hisa yake ya faradhi, kwani kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11).
  • Mama: Anapata 1/6 (yaani, 16.67%) ya urithi kama hisa yake ya faradhi, kwani kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11).
2. Hesabu ya MgawanyoJumla ya urithi ni TSh 1,000,000. Sasa, tugawanye kulingana na hisa zilizotajwa:
  1. Mke:
    Hisa = 1/8 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 Ć· 8 = TSh 125,000.
  2. Watoto wa kike wawili:
    Hisa ya pamoja = 2/3 ya TSh 1,000,000 = (1,000,000 Ɨ 2) Ć· 3 = TSh 666,667.
    Kila mtoto wa kike atapata: 666,667 Ć· 2 = TSh 333,333.50.
  3. Baba:
    Hisa = 1/6 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 Ć· 6 = TSh 166,667.
  4. Mama:
    Hisa = 1/6 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 Ć· 6 = TSh 166,667.
3. Ukaguzi wa JumlaHebu tuhakikishe kuwa jumla ya hisa zote inafikia TSh 1,000,000:
125,000 (mke) + 666,667 (watoto wa kike) + 166,667 (baba) + 166,667 (mama) = TSh 1,125,001. Hapa kuna tofauti ndogo ya TSh 1,001 inayotokana na kurudisha nambari kwa nambari za desimali. Katika hali za vitendo, hii inaweza kurekebishwa kwa kugawanya salio sawasawa au kwa makubaliano ya warithi.4. Muhtasari wa Mgawanyo
  • Mke: TSh 125,000
  • Mtoto wa kike 1: TSh 333,333.50
  • Mtoto wa kike 2: TSh 333,333.50
  • Baba: TSh 166,667
  • Mama: TSh 166,667
5. Masharti ya Ziada
  • Ikiwa kuna deni lolote au wosia wa marehemu, hilo linapaswa kulipwa kwanza kabla ya kugawanya urithi (Qur'an, Sura An-Nisa, 4:11-12).
 
Kwa hiyo umekubali kuwa biblia ina makosa?
Biblia ni kamili 100%

Hivi Quran Ina hata unabii mmoja unasomwe na unatimia 100%?

Halafu farao kumbe alikuwa muislamu šŸ˜‚ ila mudy šŸ™Œ
FB_IMG_1754732849097.jpg
 
Kafir kishavamia
Am proud to be kafirun

Yaani na akili zangu timamu naanzaje kumkubali Allah mungu wa kiarabu na nabii wake wa uongo Muhamad?

Nafurahi sana kuitwa kafiri kama kuwa kafiri ni kutomkubali Allah mungu wa kiarabu na nabii wake wa uongo,basi naomba niitwe kafiri na najivunia kuitwa hivo
 
Am proud to be kafirun

Yaani na akili zangu timamu naanzaje kumkubali Allah mungu wa kiarabu na nabii wake wa uongo Muhamad?

Nafurahi sana kuitwa kafiri kama kuwa kafiri ni kutomkubali Allah mungu wa kiarabu na nabii wake wa uongo,basi naomba niitwe kafiri na najivunia kuitwa hivo
KAma ukiwa timamu lazima kote uone kuna walakini mkuu
 
Kwasasa Bora niifie Imani ya Yesu kuliko kuwa muislamu

Nimeusoma uislamu sana ,nimejiridhisha ni njia ya upotevuni
 
Nimeusoma sana uislamu toka nikiwa na miaka 5 ,

Uislamu ni njia ya upotevuni ,
Kama kweli uliusoma uislam vilivyo ulishindwaje kujua kuwa haijamtaja kiongozi wa kipindi cha Yusuf kama firaun bali kama mfalme tu
 
KAma ukiwa timamu lazima kote uone kuna walakini mkuu
Wengi walio kwenye uislamu ni sababu wamezaliwa humo na Kufanywa mateka

Hawapewi uhuru wakujua nje ya box ,

Muislamu akisema atoke nje ya box kidogo tu hawezi kurudi Tena

Wengi nimewaona hivo, Hadi maimamu
 
Makanisa uchwara yameleta balaa mitandaoni, Hawa vijana Extremists Galatians wanaharibu jukwaa la Melo kuonekana sehemu ya wapuuzi.

Nilipoona eti hela iliyoachwa inazidi urirhi nikajua tu ni upotoshaji , Wagalatia extremists kazi yao kukurupuka tu na wanazidi kujiaibisha , poor them Maarass!!.

Kitu kimoja Cha kuwaambia ; Uislamu hukumu , Sheria zake na dini nzima inahusisha mambo mengi na ndio maana dini yetu imesisitiza mtu kusoma kabla ya vitendo na Kauli na sio kujiamulia tu kuandika kwa mtazamo wako .
Wewe ndio uelewi tunaanza kutoa sumni ya mama yaani thelusi baada ya hapo robo yakilichobakia wanagawana watoto wakike kilicho baki ndio fungu la watoto wakiume kipi kimezidi punguza uhaya 1 wakati unajuwa ulisikia wapi hesabu hazikukaa sawa? Watu wanazitumia na hazimbamba niayako ulitaka kufurahisha kinyeo chako
 
Wengi walio kwenye uislamu ni sababu wamezaliwa humo na Kufanywa mateka

Hawapewi uhuru wakujua nje ya box ,

Muislamu akisema atoke nje ya box kidogo tu hawezi kurudi Tena

Wengi nimewaona hivo, Hadi maimamu
Jambo hilo unalolisema lipo kote mkuu 😁

Kama kweli hiyo "kutoka nje ya box" unamaanisha, vitabu hivi vyote vinaeleza taarifa yenye mgogoro mkuu
 
Back
Top Bottom