Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Mgao wa Mirathi kwa Warithi Wapya
Marehemu ameacha Tshs. 1,000,000/= na warithi wafuatao: Baba 1, Mama 1, Mke 1, na Watoto wa kike 2.
1. Mke:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, mke atapata sehemu ya nane (1/8).
Mgao wake = 1/8 x 1,000,000/= = Tshs. 125,000/=
2. Baba:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, baba atapata sehemu ya sita (1/6).
Mgao wake = 1/6 x 1,000,000/= = Tshs. 166,666.67/=
3. Mama:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, mama atapata sehemu ya sita (1/6).
Mgao wake = 1/6 x 1,000,000/= = Tshs. 166,666.67/=
4. Watoto wa kike (wawili):
Watoto wa kike wawili watapata sehemu ya theluthi mbili (2/3).
Mgao wao = 2/3 x 1,000,000/= = Tshs. 666,666.67/=
5. Jumla ya Mirathi iliyogawanywa:
125,000/= (mke) + 166,666.67/= (baba) + 166,666.67/= (mama) + 666,666.67/= (watoto) = Tshs. 1,125,000.01/=
Kuna tatizo na hesabu hiyo kwa sababu jumla imezidi kiwango cha mali. Hii inaonyesha kwamba sehemu za Qur'an zilizotolewa hapo juu zinahitaji marekebisho. Katika hali kama hii (inayojulikana kama *Aul), hisa huhesabiwa kama ifuatavyo:
* Sehemu ya Mke: 1/8
* Sehemu ya Baba: 1/6
* Sehemu ya Mama: 1/6
* Sehemu ya Watoto wa kike: 2/3
Kupata denominator ya kawaida: 24.
* Mke: 3/24
* Baba: 4/24
* Mama: 4/24
* Watoto wa kike: 16/24
Jumla ya nambari za hisa hizi ni 3 + 4 + 4 + 16 = 27. Katika hali ya Aul, jumla ya hisa inatumika kama denominator mpya, hivyo mali inagawanywa katika sehemu 27 badala ya 24.
Kwa hiyo, mgao utakuwa:
* Mke: 3/27 x 1,000,000/= = Tshs. 111,111.11/=
* Baba: 4/27 x 1,000,000/= = Tshs. 148,148.15/=
* Mama: 4/27 x 1,000,000/= = Tshs. 148,148.15/=
* Watoto wa kike wawili: 16/27 x 1,000,000/= = Tshs. 592,592.59/=
* Kila mtoto wa kike atapata: 592,592.59/= / 2 = Tshs. 296,296.30/=
Jumla kuu:
111,111.11 + 148,148.15 + 148,148.15 + 592,592.59 = Tshs. 1,000,000/=
Mr. Tutor Tutor ebu soma angalau hapo !
 
Wengi walio kwenye uislamu ni sababu wamezaliwa humo na Kufanywa mateka

Hawapewi uhuru wakujua nje ya box ,

Muislamu akisema atoke nje ya box kidogo tu hawezi kurudi Tena

Wengi nimewaona hivo, Hadi maimamu
Ww kiande hujawah kuwa muislamu hilo jinà la hamis wanyakyusa kibao makafiri wanatumia sisi tuliobahatika kukaa shule Kwa miaka mingi huwez kutudanganya kwastyle hii
 
Mwanangu umevuta bange za wapi asubuh asubuhi hivi.Moja ya kitu unachotakiwa kujipanga sana ni kwenye kuikosoa dini ya kiislamu maana haijalishi utajiandaa vipi lakini ukijaribu kuichafua lazma uaibike
Uislamu wenyewe ni aibu tupu mbona. Mbaba wa miaka 50 kuoa mtoto wa miaka 6 na kumlala akiwa na miaka 9 ni aibu tosha. Kuna utetezi wa aina tatu hapa kwa mujibu wa waislam

1: Utamaduni wa kipindi hiko uliruhusu.
2: Aisha alikua kashavunja ungo
3: Watu wa kipindi hiko walikua wanakua haraka.

Hata hivyo, hoja zote hizo hazina mashiko. Kwamfano, hoja namba 1 kama kisingizio ni utamaduni basi waislamu wakubali kwamba ndani ya Quran kuna tamaduni nyingi zimebadilika na zinapaswa kuachwa.

Hakuna muislam leo anayekubali kumuozesha binti yake wa miaka 6. Huo ni uchafu mkubwa na ukatili dhidi ya watoto.
 
Am proud to be kafirun

Yaani na akili zangu timamu naanzaje kumkubali Allah mungu wa kiarabu na nabii wake wa uongo Muhamad?

Nafurahi sana kuitwa kafiri kama kuwa kafiri ni kutomkubali Allah mungu wa kiarabu na nabii wake wa uongo,basi naomba niitwe kafiri na najivunia kuitwa hivo
Upeo mdogo@work
 
Biblia ni kamili 100%

Hivi Quran Ina hata unabii mmoja unasomwe na unatimia 100%?

Halafu farao kumbe alikuwa muislamu 😂 ila mudy 🙌 View attachment 3436609
Huo ni uzushi na huo Uprophet kautowa wapi
toba yake haikukubaliwa
Qur'an 10:91
"Ala! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!"

hii ndiyo ahadi aliyopewa
Qur'an 10:92
"Leo, basi, tutakuokoa kwa mwili wako, ili uwe Ishara kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara zetu".
 
Mgao wa Mirathi kwa Warithi Wapya
Marehemu ameacha Tshs. 1,000,000/= na warithi wafuatao: Baba 1, Mama 1, Mke 1, na Watoto wa kike 2.
1. Mke:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, mke atapata sehemu ya nane (1/8).
Mgao wake = 1/8 x 1,000,000/= = Tshs. 125,000/=
2. Baba:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, baba atapata sehemu ya sita (1/6).
Mgao wake = 1/6 x 1,000,000/= = Tshs. 166,666.67/=
3. Mama:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, mama atapata sehemu ya sita (1/6).
Mgao wake = 1/6 x 1,000,000/= = Tshs. 166,666.67/=
4. Watoto wa kike (wawili):
Watoto wa kike wawili watapata sehemu ya theluthi mbili (2/3).
Mgao wao = 2/3 x 1,000,000/= = Tshs. 666,666.67/=
5. Jumla ya Mirathi iliyogawanywa:
125,000/= (mke) + 166,666.67/= (baba) + 166,666.67/= (mama) + 666,666.67/= (watoto) = Tshs. 1,125,000.01/=
Kuna tatizo na hesabu hiyo kwa sababu jumla imezidi kiwango cha mali. Hii inaonyesha kwamba sehemu za Qur'an zilizotolewa hapo juu zinahitaji marekebisho. Katika hali kama hii (inayojulikana kama *Aul), hisa huhesabiwa kama ifuatavyo:
* Sehemu ya Mke: 1/8
* Sehemu ya Baba: 1/6
* Sehemu ya Mama: 1/6
* Sehemu ya Watoto wa kike: 2/3
Kupata denominator ya kawaida: 24.
* Mke: 3/24
* Baba: 4/24
* Mama: 4/24
* Watoto wa kike: 16/24
Jumla ya nambari za hisa hizi ni 3 + 4 + 4 + 16 = 27. Katika hali ya Aul, jumla ya hisa inatumika kama denominator mpya, hivyo mali inagawanywa katika sehemu 27 badala ya 24.
Kwa hiyo, mgao utakuwa:
* Mke: 3/27 x 1,000,000/= = Tshs. 111,111.11/=
* Baba: 4/27 x 1,000,000/= = Tshs. 148,148.15/=
* Mama: 4/27 x 1,000,000/= = Tshs. 148,148.15/=
* Watoto wa kike wawili: 16/27 x 1,000,000/= = Tshs. 592,592.59/=
* Kila mtoto wa kike atapata: 592,592.59/= / 2 = Tshs. 296,296.30/=
Jumla kuu:
111,111.11 + 148,148.15 + 148,148.15 + 592,592.59 = Tshs. 1,000,000/=
Haya ndio marekebisho ambayo wanazuoni wamefanya baada ya kuona Quran imefeli.
Ukienda kwa Shia nao Wana njia yao ya tofauti na hii uliyoweka wewe
 
Haya ndio marekebisho ambayo wanazuoni wamefanya baada ya kuona Quran imefeli.
Ukienda kwa Shia nao Wana njia yao ya tofauti na hii uliyoweka wewe
Hiyo ndiyo kazi ya Manabii kutufundisha tusiyo ya elewa Kuna swala zaka n.k.
Qur'an 62:2 inasema:

"Yeye ndiye aliyewaletea wasio jua kusoma Mtume kutoka kwao, anawasimulia aya Zake na anawatakasa, na anawafundisha Kitabu na hekima, ijapokuwa walikuwa kabla ya haya katika upotovu ulio wazi."

Ufafanuzi wa "...anawafundisha Kitabu na hekima..."

"Kitabu" ni Qur’an na "Hekima" ni elimu ya ndani ya Qur'an na mafunzo ya Mtume (Sunnah).
 
Shida mna MIHEMKO kwenye dini, huwa hamji kujifunza huwa mnakuja kukashifu, hali ya kuwa jambo hamlijui hata kidogo, ndio maana(binafsi yangu) huwa nikiona napita tu.

Mkuu acha kuokoteza una jambo linakusibu uliza, usije kukashifu, hutuamini sisi jaribu kuishirilisha hata AI inaweza kukusaidia

Nimesoma, haraka haraka nimeona elimu ya mirathi huijui, hiki kipande umeokoteza mtandaoni, nawe bila kusaka maarifa umekibeba 🤣😂

Chukua swali lakp liweke kwenye chatgpt akishindwa kukujibu huko nitatenga muda wa kukupa somo la mirathi kisha hili swali tutalisolve pamoja.
 
Mimi hapa nimeleta Quran 4:11-12
Inayosema:
Mke 1/8
Baba 1/6
Mama 1/6
Watoto wa kike wawili 2/3
Jumlisha hizo uone unapata ngapi?
Jibu hoja acha kumshambulia mtu
 
Back
Top Bottom