Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Dogo anakuambia surah 4:11-12 , ili kuwadanganya wasiojua .wakati huo hiyo surah imeonesha conditions tofauti ,😀😀..Jamaa mzushi sana, atakimbia huu uzi wake .
Kadanganywa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,huwa wanadanganyqna sana huko
 
Swali zuri:
Wanazuoni wameboresha baada ya kuona makosa kwenye hesabu za Quran. Ndio maana ukifuatilia madhehebu makubwa mawili Sunni na Shia kila mmoja ana namna yake ya kugawa urithi hawako sawa.
Hakuna makosa ,ila mgao uko tofauti anavyojua,kwanza anapewa Mama sehemu yake,halafu ikiyobakia ndio wanagaiwa sehemu zilizobqki kwa kugawanywa tena.
 
Hapo ndipo shida ilipo. Ili kuficha upungufu wa Quran
Nani kasema watoto wa kike wagawane sawa mabaki?
Quran unataka wapate kila mtu 1/3 ya mali ya marehemu.
Shida iko kwako kwa kutoelewa.Haya mafungu anaaanza kugaiwa Mama kwanza.Kinachobaki ndio hugawanywa tena kwa wengine.
 
Hivi unajua kusoma?

Usikurupuke.....!

Haiwezekani marehemu kaacha 1,000,000 halafu kila Mrithi apate zaidi ya mil 1.

Wakati mwengine tumia Grok Ai au gtp.

Kwa kukusaidia pitia hapa.

Hebu tuangalie jinsi mgawanyo utakavyofanyika:

1. Wahusika wa Urithi na Sehemu Zao za Hisa Kwa mujibu wa Sharia, warithi wanaohusika katika hali hii na hisa zao ni kama ifuatavyo:
  • Mke: Anapata 1/8 (yaani, 12.5%) ya urithi kwa sababu kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:12).
  • Watoto wa kike wawili: Wanapata 2/3 (yaani, 66.67%) ya urithi kwa pamoja, kwani kuna watoto wa kike zaidi ya mmoja bila wanaume. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11). Hisa hii itagawanywa sawasawa kati yao (kila mmoja atapata 1/3 ya urithi wote).
  • Baba: Anapata 1/6 (yaani, 16.67%) ya urithi kama hisa yake ya faradhi, kwani kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11).
  • Mama: Anapata 1/6 (yaani, 16.67%) ya urithi kama hisa yake ya faradhi, kwani kuna watoto. Hii inatokana na Qur'an, Sura An-Nisa (4:11).
2. Hesabu ya MgawanyoJumla ya urithi ni TSh 1,000,000. Sasa, tugawanye kulingana na hisa zilizotajwa:
  1. Mke:
    Hisa = 1/8 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 ÷ 8 = TSh 125,000.
  2. Watoto wa kike wawili:
    Hisa ya pamoja = 2/3 ya TSh 1,000,000 = (1,000,000 × 2) ÷ 3 = TSh 666,667.
    Kila mtoto wa kike atapata: 666,667 ÷ 2 = TSh 333,333.50.
  3. Baba:
    Hisa = 1/6 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 ÷ 6 = TSh 166,667.
  4. Mama:
    Hisa = 1/6 ya TSh 1,000,000 = 1,000,000 ÷ 6 = TSh 166,667.
3. Ukaguzi wa JumlaHebu tuhakikishe kuwa jumla ya hisa zote inafikia TSh 1,000,000:
125,000 (mke) + 666,667 (watoto wa kike) + 166,667 (baba) + 166,667 (mama) = TSh 1,125,001. Hapa kuna tofauti ndogo ya TSh 1,001 inayotokana na kurudisha nambari kwa nambari za desimali. Katika hali za vitendo, hii inaweza kurekebishwa kwa kugawanya salio sawasawa au kwa makubaliano ya warithi.4. Muhtasari wa Mgawanyo
  • Mke: TSh 125,000
  • Mtoto wa kike 1: TSh 333,333.50
  • Mtoto wa kike 2: TSh 333,333.50
  • Baba: TSh 166,667
  • Mama: TSh 166,667
5. Masharti ya Ziada
  • Ikiwa kuna deni lolote au wosia wa marehemu, hilo linapaswa kulipwa kwanza kabla ya kugawanya urithi (Qur'an, Sura An-Nisa, 4:11-12).
Hii ndio elimu ya mirathi ya kiislamu,halafu pia katika uislamu,waliohudhuria kwenye mirathi,ambao warithi kama mashahidi,nao wanapewa chochote.
 
Biblia ni kamili 100%

Hivi Quran Ina hata unabii mmoja unasomwe na unatimia 100%?

Halafu farao kumbe alikuwa muislamu 😂 ila mudy 🙌 View attachment 3436609
Screenshot_20250809_171013_Samsung Internet.jpg

Kindly reconcile
 
Ww kiande hujawah kuwa muislamu hilo jinà la hamis wanyakyusa kibao makafiri wanatumia sisi tuliobahatika kukaa shule Kwa miaka mingi huwez kutudanganya kwastyle hii
Hamisi,ni jina la mtu aliyezaliwa siku ya Al hamisi,aliyesaliwa Jumsnne anaitwa Jumanne,akizaluwq jumapili,anaitwa Pili mwansmke,jumatatu anaitwa tatu,ijumaa qnaitwa jumaa,na jumamosi anaitwa Juma bila kujali dini yake,ana dini su hana.
 
Hii ndio elimu ya mirathi ya kiislamu,halafu pia katika uislamu,waliohudhuria kwenye mirathi,ambao warithi kama mashahidi,nao wanapewa chochote.
Hiyo ni kwa mujibu wa wanazuoni.
Ila Quran haiko hivyo
 
Hakuna makosa ,ila mgao uko tofauti anavyojua,kwanza anapewa Mama sehemu yake,halafu ikiyobakia ndio wanagaiwa sehemu zilizobqki kwa kugawanywa tena.
Vyovyote utakavyogawa ukitumia Quran mgao unazidi.
Hata ukianza kumpa mama, ukaanza kumpa baba, ukaanza na mke, ukaanza na watoto lazima izidi
 
Uislamu wenyewe ni aibu tupu mbona. Mbaba wa miaka 50 kuoa mtoto wa miaka 6 na kumlala akiwa na miaka 9 ni aibu tosha. Kuna utetezi wa aina tatu hapa kwa mujibu wa waislam

1: Utamaduni wa kipindi hiko uliruhusu.
2: Aisha alikua kashavunja ungo
3: Watu wa kipindi hiko walikua wanakua haraka.

Hata hivyo, hoja zote hizo hazina mashiko. Kwamfano, hoja namba 1 kama kisingizio ni utamaduni basi waislamu wakubali kwamba ndani ya Quran kuna tamaduni nyingi zimebadilika na zinapaswa kuachwa.

Hakuna muislam leo anayekubali kumuozesha binti yake wa miaka 6. Huo ni uchafu mkubwa na ukatili dhidi ya watoto.
Kuwa na akili usifananidhe watu wa mashariki ya kati,wanaokula nyama na maziwa na watoto wa kiafrika wanaokula ugali na chumbi.Mama Yesu,alimzaa Yesu ana miaka 13 na aliolewa na Yoseph mwenye miaka 90,fundi seremala.Sasa fikiria Mariya alichukuwa mimba ya Yesu,akiwa na miaka mingapi
 
Vyovyote utakavyogawa ukitumia Quran mgao unazidi.
Hata ukianza kumpa mama, ukaanza kumpa baba, ukaanza na mke, ukaanza na watoto lazima izidi
Hakuna kinachozidi.Mgao uko kwa kuanzia mama,na pia haitokei kama hivyo,mara nyingi,anakufa mtu,anaacha mzazi mmoja tu,na zaidi ni Mama.
 
Back
Top Bottom