Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 557
- 940
Mkuu umetumia AI au quran😂
Mkuu hoja yangu hujaielewa bado?Hakuna uongo,wewe nfio.huna elimu.Mambo ya mirafhi katika uislamu,ni domo.maalumu,kuna vitu kwanza vinalipwq kama madeni,wasia wa marehemu,gharama za maziko,kinachobaki ndio wanafawqna,na katika huo mgao,mashahifi pia wanapewa chao.Na ikiwa ni.mahakama,wamefungua mirathi,kuna malipo ya mahakama,mslipo ya cheti cha kifo,tangazo la mirathi kwenye magazeti,wakili atakayesimamia shauri la mirathi.ugawaji wa mirathi una gharama zake,na zote zitatoka kwenye mali ya marehemu.Hicho unachoona kinabaki ni gharama za ugawaji wa mirathi.Mirathi haigaiwi kienyeji,lazima kufungua mirathi,ndani ya miezi mitatu,ili.kama yupo mtu mwingine anayehusika,ajitokeze kudai mirathi. Kwa mfano nyumba,inatakiwa iuzwe,kunafuqtilia kubadilisha hati ya nyumba,nk
Uislamu kila nyanja lazima,uisomee,mirathi ni somo kamili,unalisomea.Mitathi sio kugawana tu,kama marehemu ameacha madeni,yanatakiwa yalipwe,ana wasia ameandika unatizamwa pia,kuna gharama za maziko,kuna gharama ya cheti cha kifo,kuna kufunguwq mirathi,kuna wakili wa kusimamia,kuna wagawaji,kuna kubadilisha hati za nyumba,kadi za gari, kutangaza kwenye magazeti vyote ni gharama.Na gharama hizo.zinatoka kwenye pesa au mali,alizoacha marehemuUzuri hawanisumbui kwasababu nawazidi elimu ya Dini hata elimu Dunia vile vile nawazidi.
Hela tu ndio sina.
Quran 4:11-12Mkuu umetumia AI au quran😂
Hakuna kinachobaki wala kuzidi.Hata mkigawana kwenye ofisi ya BAKATWA,gharama zinakuwepo.Kuna karatasi za kutolewa copy na picha za warithi wanatia saini,kuna vikao vya ndugu,kumchaguwa msimamizi wa mirathi,pia analipwa,akiwa sio miongoni mwa warithi.Hii ngoma mpaka ukae darasani usome.Ukisikiya watu wanakwenda,madrasa,kuna mambo mengi ya kusoma,ukifika level ya kusoma Sharia ya kiislamuMkuu hoja yangu hujaielewa bado?
Toa hizo gharama zote za mazishi, toa madeni ya marehemu. Mimi naongelea mgao wa kinachobakia baada ya gharama zote.
Quran 4:11-12
Unatuambia
Mke 1/8
Watoto wa kike wakiwa zaidi ya mmoja 2/3
Baba 1/6
Mama 1/6
Jumlisha hizo uone
1/8 + 1/6 +1/6 + 2/3 =
Hakuna shaka ni,upungufu wsko wa elimu.Wewe huna elimu,.Mirathi ya kiuslamu ni somo kamili.Ni.kama wewe umuone daktari,ili upon ni laxima akupasue sehemu ya maradhi,aondoe ugonjwa,ndio hspo sasa ukiws huna akili,utaona doctor,qnakuxididha kuumwa,wakati ndio tiba yako,upasliwe tumbo au jicho qu mguu au kichwa ili uponeQuran 4:11-12
Kitabu kisicho na shaka ila Shaka chungunzima
Sura gani hiyoQuran 4:11-12
Kitabu kisicho na shaka ila Shaka chungunzima
Hakuna jiwe linaloabudiwa,ile ni alama ya katikati ya eneo husika.Hii ndio pia inatumika katika kupima viwanja dunia nzima,kuweka jiwe,kuwa ndio mwanzo ya kiwanja na mwisho wa kiwanja.Hata hapo nyumba ulipo yapo mawe ya kuonyesha eneo la kiwanja,kwa hiyo wewe unaabudu hayo mawe ya kiwanja?Kuwa na akili na maarifa,kweli ukafiri ni mzigo.Kama kutobusu JIWE JEUS na kutupia mawe shetani pale alkaaba nakuwa kafiri ,basi Mimi naomba niitwe hivo ,
AM PROUD TO BE KAFIRUN View attachment 3436612
UPAGANI NDANI YA DINI YA ALLAH.Hakuna jiwe linaloabudiwa,ile ni alama ya katikati ya eneo husika.Hii ndio pia inatumika katika kupima viwanja dunia nzima,kuweka jiwe,kuwa ndio mwanzo ya kiwanja na mwisho wa kiwanja.Hata hapo nyumba ulipo yapo mawe ya kuonyesha eneo la kiwanja,kwa hiyo wewe unaabudu hayo mawe ya kiwanja?Kuwa na akili na maarifa,kweli ukafiri ni mzigo.
Muhammad aliwachanganyia madesa ,Uzuri hawanisumbui kwasababu nawazidi elimu ya Dini hata elimu Dunia vile vile nawazidi.
Hela tu ndio sina.
Allah ni nani?UPAGANI NDANI YA DINI YA ALLAH.
Watu sio wajinga Tena sheikh
Ibada za HIJA zilikuwepo miaka mingi ya upagani kabla ya MUHAMMAD kuja na Dini yake ya haki feki. Waquraish na waarabu wengine waliabudu ibada za kipagani pale ALKAABA Makkah huku kukiwa na miungu 360 likiwemo jiwe la alkaaba linalo sujudiwa Hadi leo na waislamu wote duniani, ambalo kimsingi ndio Allah mwenyewe.
Muhamad alipozaliwa alikabidhiwa au kuwekwa wakfu kwa Allah pale ALKAABA kwenye jiwe na miungu mingine ya masanamu. Yani alipitishwa ktk miungu, vitu kabisa viumbe vikawa mungu 😂😂😂 kwahio muhamad akawa Ni wa Allah tokea akiwa mdogo..
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
SIRA ZA MTUME.
Mtume (s.a.w) alizaliwa siku ya juma tatu katika mweze rabil-awali (mfunguo sita) mwezi tisa (9) kwa mujibu wa wanahistoria katika mwaka wa tembo 571 B.K. baada ya kuzaliwa mama yake alituma mtu aende akatoe habari kwa mzee Abdul al-Muttalib juu ya kuzaliwa kwa mtoto. Kwa furaha kabisa alikuja mzee na akamchukuwa mtoto akambeba na kuelekea nae mbele za al-ka’aba (nymba tukufu ya Allah) kwa kutoa shukrani zake za dhati kwa Mwenyezi Mungu. Kisha akampa jina la Muhammad, jina ambalo halikuwa likijulikana na waarabu.
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Unaona hapo?
Kwahio Ni wazi kabisa kwamba Allah Ni mwenyeji pale ALKAABA na sio Mungu mwenyezi kwasababu asingeweza kukaa na masanamu.
Baada ya muhamad kushauriwa awe mtume alijiingia na kuondoa masanamu ya miungu mengi pale na kuacha mungu mmoja ambae Ni jiwe kabisa Kama lile la Mwanza, alifanya kuwa la kusujudiwa pekee. Akaacha pia snamu la shetani linalotupiwa mawe kila HIJA.
Kwahio Ni marufuku kusujudia kingine isipokuwa Allah jiwe alieko Makkah. Yani hata uwe wapi jitahidi tu ugeukie likipo jiwe ulisujudie maana ndio pekee unaloamrishwa kusujudia.
HUU NI UPAGANI MKUBWA TENA WA MIAKA MINGI. KANUNI ZA KUZUNGUKA
Sasa kama hatukusumbui mbona hunijibu sasa 😃Uzuri hawanisumbui kwasababu nawazidi elimu ya Dini hata elimu Dunia vile vile nawazidi.
Hela tu ndio sina.
Kama akina Paulo walivyowachanganyia madesa nyinyiMuhammad aliwachanganyia madesa ,
Hakuna kinachozidi.Mgao uko kwa kuanzia mama,na pia haitokei kama hivyo,mara nyingi,anakufa mtu,anaacha mzazi mmoja tu,na zaidi ni Mama.
Mimi siongei sanaNimegundua hakuna unachokijua ila umekurupuka tu 😃
Mimi siongei sanaMwanangu umevuta bange za wapi asubuh asubuhi hivi.Moja ya kitu unachotakiwa kujipanga sana ni kwenye kuikosoa dini ya kiislamu maana haijalishi utajiandaa vipi lakini ukijaribu kuichafua lazma uaibike
Mimi siongei sanaWewe umetoa wapi hizi?😅😅 Makafiri kwa uzushi