Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Chat GPT anaeleza hivi

Nitaeleza kanuni za mgao wa mirathi kwa muislamu na kisha nitafanya hesabu ya mgao kwa warithi uliowataja.
Kanuni za Msingi za Mirathi katika Uislamu
Mirathi katika Uislamu hufuata kanuni maalum zilizowekwa katika Qur'an na Sunnah, na si mapenzi ya mtu. Kanuni hizi zinazingatia uhusiano wa damu, ndoa, na uhuru wa kiimani.

Wapokea Mirathi Wakuu (Watu wa Fardhi): Hawa ni watu ambao wametajwa kwa uwazi katika Qur'an kwa sehemu maalum ya mirathi. Baadhi yao ni:

* Mume: Hupata nusu (1/2) ya mali ya mke wake kama hana mtoto. Kama mke ana watoto, mume hupata robo (1/4).
* Mke/Wake: Hupata robo (1/4) ya mali ya mume kama hana mtoto. Kama mume ana watoto, mke hupata sehemu ya nane (1/8).
Baba: Hupata sehemu ya sita (1/6) ya mali kama marehemu ana mtoto. Kama marehemu hana mtoto, baba hupata mali yote iliyobaki baada ya kutoa sehemu za wapokea mirathi wengine.
Mama: Hupata sehemu ya sita (1/6) ya mali kama marehemu ana watoto au ndugu zaidi ya wawili. Kama hana, hupata theluthi (1/3).
Watoto:
Watoto wa kiume: Hupata maradufu ya sehemu ya watoto wa kike. Mfano, mtoto wa kiume hupata sehemu mbili, na mtoto wa kike hupata sehemu moja.
* Watoto wa kike peke yao (zaidi ya wawili): Hupata theluthi mbili (2/3) ya mali yote.
* Mtoto mmoja wa kike peke yake: Hupata nusu (1/2) ya mali yote.

Wapokea Mirathi Wasio na Fardhi (Asabah): Hawa ni warithi wanaopata mabaki ya mirathi baada ya kutoa sehemu za Watu wa Fardhi. Kwa kawaida ni wanaume (au wanawake wanaopata urithi kwa kuungana na mwanaume).

Mgao wa Mirathi kwa Warithi Uliowataja
Marehemu ameacha Tshs. 1,000,000/= na warithi wafuatao: Baba 1, Mke 1, na Watoto wa kike 2.
1. Mke:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, mke atapata sehemu ya nane (1/8) ya mali yote.
Mgao wake = 1/8 x 1,000,000/= = Tshs. 125,000/=
2. Baba:
Kutokana na kuwepo kwa watoto, baba atapata sehemu ya sita (1/6) ya mali yote.
Mgao wake = 1/6 x 1,000,000/= = Tshs. 166,666.67/=
3. Watoto wa kike (wawili):
Watoto wa kike wawili watapata sehemu ya theluthi mbili (2/3) ya mali yote.
Mgao wao = 2/3 x 1,000,000/= = Tshs. 666,666.67/=
Mgao wa kila mtoto wa kike = 666,666.67/= / 2 = Tshs. 333,333.33/=
Jumla ya mirathi iliyogawanywa:
125,000/= (mke) + 166,666.67/= (baba) + 666,666.67/= (watoto) = Tshs. 958,333.34/=
Mabaki ya mirathi:
1,000,000/= - 958,333.34/= = Tshs. 41,666.66/=
Mabaki haya yataenda kwa Baba (kama Asabah), kwa sababu katika kesi hii, baba anapewa sehemu ya sita (kwa sababu ya uwepo wa mtoto) kisha anakuwa na haki ya kupata mabaki yote (Asabah).
Kwa hiyo, mgao wa mwisho utakuwa:
* Mke: Tshs. 125,000/=
* Watoto wa kike wawili: Tshs. 666,666.67/= (kila mmoja Tshs. 333,333.33/=)
* Baba: Tshs. 166,666.67/= + Tshs. 41,666.66/= = Tshs. 208,333.33/=
Jumla kuu ni Tshs. 1,000,000/=.
Angalia marekebisho ya wanazuoni kuinusuru Quran
 

Attachments

  • inheritence.jpg
    inheritence.jpg
    181.2 KB · Views: 20
Elimu ya mirathi ni somo pana , jamaa kachukua screenshot kaweka kwanza inatakiwa kuchunguzwa kama ukweli na usahihi hicho alichoweka Kisha ndio ijadiliwe asili ya huo mgao.
Angalia marekebisho ya wanazuoni kuinusuru Quran
 

Attachments

  • inheritence.jpg
    inheritence.jpg
    181.2 KB · Views: 16
Hujui unachosema.
Huu mjadala wanazuoni wakubwa walushagundua hitilafu wakaja na namna nyingine ya kugawa urithi tofauti na gawio lilivyotolewa na quran
Unaweza nukuu hiyo aya? Kisha unipe na hayo marekebisho ya hao masheikh ili tutofautishe ndugu yangu.
 
Hujui unachosema.
Huu mjadala wanazuoni wakubwa walushagundua hitilafu wakaja na namna nyingine ya kugawa urithi tofauti na gawio lilivyotolewa na quran
Sawa mkuu,
Nukuu hiyo aya kisha unipe maelekezo ya hao masheikh ili tuweze kuona tofauti
 
UPAGANI NDANI YA DINI YA ALLAH.

Watu sio wajinga Tena sheikh

Ibada za HIJA zilikuwepo miaka mingi ya upagani kabla ya MUHAMMAD kuja na Dini yake ya haki feki. Waquraish na waarabu wengine waliabudu ibada za kipagani pale ALKAABA Makkah huku kukiwa na miungu 360 likiwemo jiwe la alkaaba linalo sujudiwa Hadi leo na waislamu wote duniani, ambalo kimsingi ndio Allah mwenyewe.

Muhamad alipozaliwa alikabidhiwa au kuwekwa wakfu kwa Allah pale ALKAABA kwenye jiwe na miungu mingine ya masanamu. Yani alipitishwa ktk miungu, vitu kabisa viumbe vikawa mungu 😂😂😂 kwahio muhamad akawa Ni wa Allah tokea akiwa mdogo..
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
SIRA ZA MTUME.
Mtume (s.a.w) alizaliwa siku ya juma tatu katika mweze rabil-awali (mfunguo sita) mwezi tisa (9) kwa mujibu wa wanahistoria katika mwaka wa tembo 571 B.K. baada ya kuzaliwa mama yake alituma mtu aende akatoe habari kwa mzee Abdul al-Muttalib juu ya kuzaliwa kwa mtoto. Kwa furaha kabisa alikuja mzee na akamchukuwa mtoto akambeba na kuelekea nae mbele za al-ka’aba (nymba tukufu ya Allah) kwa kutoa shukrani zake za dhati kwa Mwenyezi Mungu. Kisha akampa jina la Muhammad, jina ambalo halikuwa likijulikana na waarabu.
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆

Unaona hapo?
Kwahio Ni wazi kabisa kwamba Allah Ni mwenyeji pale ALKAABA na sio Mungu mwenyezi kwasababu asingeweza kukaa na masanamu.

Baada ya muhamad kushauriwa awe mtume alijiingia na kuondoa masanamu ya miungu mengi pale na kuacha mungu mmoja ambae Ni jiwe kabisa Kama lile la Mwanza, alifanya kuwa la kusujudiwa pekee. Akaacha pia snamu la shetani linalotupiwa mawe kila HIJA.

Kwahio Ni marufuku kusujudia kingine isipokuwa Allah jiwe alieko Makkah. Yani hata uwe wapi jitahidi tu ugeukie likipo jiwe ulisujudie maana ndio pekee unaloamrishwa kusujudia.

HUU NI UPAGANI MKUBWA TENA WA MIAKA MINGI. KANUNI ZA KUZUNGUKA
Umeandika pumba tupu.Jiwe ni alama,kama kiwanja kinawekwa mawe,kujulisha mipaka.Hata katika mpira wa miguu,iko.alama inachorwa katikati ya kiwanja kuonyesha hspq ni kati.
kati ya kiwanja na ndio mpira unaanzwa kuchezwa hapo.Hii inaonyesha uislamu umeadvance mapema,na dunia nzima wanaiga kuweka alama za mawe,kwenye viwanja vya nyumba,barabara,viwanja vya michezo nk.Na kama waislsmu wangekuwa wanaabudu jiwe ungekuta ndani ya misikiti yote,limeweka hilo jiwe.Hakuna msikitibwenye jiwe ndani ya msikiti.Ile ni alama wazungu wanaita direction sign na pia barabarani imewekwa dunia nzima,kuonyesha mwisho wa barabara,mwisho wa daraja,mwisho wa njia kuu nk na imepakwa rangi nyeusi na weupe au njano ili ionekane hata usiku.Hayo yote wameiga wazungu kwenye uislamu.
 
Unaweza nukuu hiyo aya? Kisha unipe na hayo marekebisho ya hao masheikh ili tutofautishe ndugu yangu.
Marekebisho haya hapa.
Aya iko hapo chini ya marekebisho
Google tu, Quran 4:11-12
 

Attachments

  • inheritence.jpg
    inheritence.jpg
    181.2 KB · Views: 15
Makanisa uchwara yameleta balaa mitandaoni, Hawa vijana Extremists Galatians wanaharibu jukwaa la Melo kuonekana sehemu ya wapuuzi.

Nilipoona eti hela iliyoachwa inazidi urirhi nikajua tu ni upotoshaji , Wagalatia extremists kazi yao kukurupuka tu na wanazidi kujiaibisha , poor them Maarass!!.

Kitu kimoja Cha kuwaambia ; Uislamu hukumu , Sheria zake na dini nzima inahusisha mambo mengi na ndio maana dini yetu imesisitiza mtu kusoma kabla ya vitendo na Kauli na sio kujiamulia tu kuandika kwa mtazamo wako .
Wanazuoni wameingia kuokota jahazi kwenye urithi
 

Attachments

  • inheritence.jpg
    inheritence.jpg
    181.2 KB · Views: 16
Fafanua hiyo ayah kwanza
Hana hoja huyu,atakupotezea wakati,Yeye qnafikiri uislamu kama dini nyingine.Chochote kwenye uislamu lazima uingie darasani usomee,mirathi inasomo lake ,ikijumlisha na kulipa madeni ya marehemu,kufungua mirathi,kuna wasia wa marehemu,gharama za mazishi,gharama za wakili,gharama za mahakamani,mali za kuuza kuna documents za kubadilisha kuna malipo ya viwanja,TRA,kodi ya jengo nkvyote hivyo vinalipwa kwa pesa aliuoacha marehemu,sasa marehemu aache milioni.moja,hiyo ni gharama ya kulisha wageni tu,hso warithi watagawana nini
 
Si ndo hapo hicho kijikafir kinafikiri kila mmoja kichwa panzi ka yeye
Yaani mtu atoke uislam awe mnaswara inawezekanaje?
Yan hata akiwa alikua kweli lakn hawez kukashifu dini alotoka kiasi hichi anachofanya yy ni ajabu hata hao walotoka ukristo kuja uislamu wakijadili wanajadili kwa hoja na heshima sio kama huyu kitimoto hamis

Ngoja nikajaze gesi
 
Mimi siongei sana
Kasome ,uislamu unasomewa,ndio kukawa na nyanja za Sharia,Islamic Bank,Urithi,Ibada,malezi,utabibu,traditional knowlege(ilm l khadeeth),Ukadhi,nk.Kasome.Acha kudandia bus kwa mbele,utaumia
 
MUHAMMAD ALIKUWA ANAJITUNGIA kila kitu anachoona kinamjia kichwani
Walau hakutunga kuwa Mungu ana korodani na maziwa,kama kile kitabu kinavyodai umbile la binadam ni umbile la Mungu (..na tumuumbe mtu kwa mfano wetu)..
 
Maswali mengine unajibu ila nikikuuliza lini iligundulika kuwa huo mfumo una makosa na lini ulifanyiwa marekebisho lazima ukimbie 😃
'Jisomee kidodo kuhusu historia ya "AWL"
Awl
is applied where the shares exceed the heritage, such as where the decedent leaves behind a wife, parents and two daughters (the shares being, the wife's one-eighth, the parents' one-third, the two daughters' two-thirds; here the estate falls short of the sum of one-eighth, one-third and two-thirds [27/24]). Similarly, if a woman dies and leaves behind her husband and two agnate sisters, the share of the husband is one-half, and that of the sisters two-thirds; here the estate falls short of the sum of half and two-thirds (7/6). 'Awl occurs only if the husband or the wife is present.

The schools differ regarding the issue. Will he deficit, in such a case, be diminished proportionately from the shares of all the sharers, or will it be diminished from the shares of only some of them?

The four Sunni schools accept the doctrine of 'awl, the rule that all the shares will be diminished proportionately, exact like the creditors' claims when the assets fall short of meeting them. Hence the heirs are wife, parents and two daughters, according to these schools it will be an instance of 'awl. The obligation is met by dividing the heritage into 27 parts, though it earlier comprised 24 parts. The wife will take 3/27 (i.e. her share becomes 1/9 instead of 1/8), the parents take 8/27 and the daughter 16/27.

The Imamiyyah do not accept the doctrine of 'awl and keep the corpus (in the previous example) fixed at 24 parts by diminishing the share of the two daughters. Hence the wife takes her complete share of 1/8 (which is 3/24), the parents take 1/3 (which is 8/24), and the remainder goes to the two daughters.

The four schools argue in favour of the validity of 'awl and the reduction of all the shares by citing the precedent of a woman who died during the reign of the Second Caliph, 'Umar, leaving behind a husband and two agnate sisters. The Caliph gathered the Companions and said: “The shares determined by God for the husband and the two sisters are a half and two-thirds respectively. Now if I start with the husband's share, the two-thirds will not remain for the two sisters, and if I start with the two sisters, the half will not remain for the husband. So give me advice.”

Some advised him to follow 'awl by diminishing all the shares proportionately, while Ibn 'Abbas vehemently opposed it. But 'Umar did not accept his view and acted according to the opinion of others, telling the heirs: “I do not see any better way regarding this estate but to distribute it amongst you in proportion to your shares.” Hence 'Umar was the first person to apply 'awl to the shares and all the Sunni schools followed him.

The Imamiyyah argue regarding the invalidity of the doctrine of 'awl by observing that it is impossible for Allah, subhanahu, to divide an estate into shares of half and two-thirds, or shares of one-eighth, one-third and two-thirds, because, otherwise, ignorance and frivolity would be attributed to Him, while He is too exalted to deserve such attributes. Hence, it has been narrated from 'Ali ('a) and his pupil 'Abd Allah ibn 'Abbas that they said: “He Who can count the number of sand grains (in the universe) surely knows that the number of shares do not exceed six.”

The Imamiyyah always diminish the share of the daughters or sisters, and the shares of the husband, the wife and the parents remain unaltered; because the daughters and the sisters have been assigned a single share and do not face a reduction from a higher to a lower share. They, therefore, inherit as sharers in the absence of a male heir and as residuaries in his presence, and at times they are entitled along with him to less than what they are entitled to when alone.

However, the share of the husband is reduced from a half to one-fourth, the wife's from one-fourth to one-eighth, the mother's from one-third to one-sixth, and in certain cases the father, inherits one-sixth as a sharer; the share of none of them further diminishes from its determined minimum, and nothing is reduced from it. Hence, when the shares exceed the corpus, a start will be made from this minimum limit and the remainder will go to the daughters or sisters.

Al-Shaykh Abu Zuhrah, in al-Mirath 'inda al-Ja'fariyyah, quotes Ibn Shihab al-Zuhri1 as having said, “If it were not for the preference given to the fatwa of the just leader 'Umar ibn al-Khattab over the fatwa of Ibn 'Abbas, the observation of lbn 'Abbas is worthy of being followed by every scholar and worthy of consensus over it.” The Imamiyyah have adopted the opinion of Ibn 'Abbas --may God be pleased with both of them-- which is a good rule, as pointed out by Ibn Shihab al-Zuhri, who was an ocean of knowledge.
 
Umeandika pumba tupu.Jiwe ni alama,kama kiwanja kinawekwa mawe,kujulisha mipaka.Hata katika mpira wa miguu,iko.alama inachorwa katikati ya kiwanja kuonyesha hspq ni kati.
kati ya kiwanja na ndio mpira unaanzwa kuchezwa hapo.Hii inaonyesha uislamu umeadvance mapema,na dunia nzima wanaiga kuweka alama za mawe,kwenye viwanja vya nyumba,barabara,viwanja vya michezo nk.Na kama waislsmu wangekuwa wanaabudu jiwe ungekuta ndani ya misikiti yote,limeweka hilo jiwe.Hakuna msikitibwenye jiwe ndani ya msikiti.Ile ni alama wazungu wanaita direction sign na pia barabarani imewekwa dunia nzima,kuonyesha mwisho wa barabara,mwisho wa daraja,mwisho wa njia kuu nk na imepakwa rangi nyeusi na weupe au njano ili ionekane hata usiku.Hayo yote wameiga wazungu kwenye uislamu.
UPAGANI WA KALE KATIKA USASA

Ibada ya hija bila kuvaa chupi

Wapagani wa Maka naam makureshi walikuwa wanafanya hija wakiwa watupu (uchi wa mnyama). Na Waislamu leo wanahiji bila kuvaa nguo za ndani. Mtume wa kislamu Muhamad alizaliwa katika jamii ya makureshi na tena babu yake alikuwa kuhani mkubwa wa mungu wa Maka aliyejulikana kama Allah ama Hubal. Muhamad alipozaliwa, babu yake alimpleka mbele ya alkaaba (lililopo jiwe jeusi) na kumweka wakfu kwa Hubal/Allah na kumpa jina Muhamad kwa utukufu wa Hubal. Hubali ndio mungu Baal katika Biblia aliyetolewa kafara za watoto. Muhamad ameishi Maka kwa miaka 40 akishuhudia matendo yote hayo na akishiriki kutatua migogoro ya kikabila ya kugombania kuliweka jiwe jeusi baada ya marejebisho ya alkaaba. Akaliweka yeye. Muhamad alikuwa mkureshi na alishiriki elimu yao na tamaduni zao na mengineyo hadi pale alipoamua kuachana na aina hiyo ya ibada baada ya kuwa mtu mzima. Na baada ya kupokea wayhi katika jabar hila alianzisha dini mpya ambayo ikaleta upinzani mkubwa kwa wahenga. Ila kwenye eneo la hija aliendana na wahenga kasoro kufanya tawaf uchi. Kuna muda waislamu waliingia mkataba wa hija na makureshi na walisali pamoja, waislamu wakiwa wamejifunika mavazi kama sasa bila chupi ndani huku wahenga wakiwa uchi ila wote walifanya sawa sawa katika tawaf (hijja). Wahenga walihiji hivi;

1) Kuzunguka Kaaba mara saba wakiwa uchi wakiamini nguo zinawapa uchafu (unajisi),

2) Kulibusu jiwe au kulipungia mkono na kuomba dua na kumpa utukufu Hubal allah

3) Kufanya Saayi kati ya Swafaa na Marwa mara saba,

4) Kisha kunyoa au kupunguza nywele.

5) Kuchinja wanyama baada ya hija

NB. Nao walikuwa na mwezi wa ramadhani. Rejea Maisha ya Muhamad Uk wa 16 kifungu cha 4 sura ya 4. Na katika Sahihi Bukhari vol 16, hadishi no. 28 ufafanuzi wake inasema majahili (wapagani) nao walikuwa wakifunga ramadhani kabla ya uislamu. Baada ya Muhamad kuiteka Maka na kuisilimisha, ibada ya hija ikabakia pale pale kama mwanzo kasoro kufanya hijja ama umrah uchi. Walifanya;

1) Kuzunguka Kaaba mara saba wakiwa wamevaa migolole miwili (iriham) bega moja likiwa wazi na bila chupi ndani wakiamini chupi zinawapa uchafu (unajisi),

2) Kulibusu jiwe au kulipungia mkono na kumpa Allah utukufu kwa kusema Allah ni mkuu.

3) Kufanya Saayi (kukimbia) kati ya Swafaa na Marwa mara saba,

4) Kisha kunyoa au kupunguza nywele.

5) Kuchinja wanyama baada ya hija

Hivyo Muhamad hakwenda tofauti na wahenga wake zaidi aliboresha ibada tu ya awali. Muhamad aliliheshimu sana jiwe jeusi na kuacha alama kwa wafuasi wake. Tunaposoma vitabu mbalimbali vya kiislamu tunaona namna ambavyo waislamu wanavyo fanya ibada ya kuliheshimu jiwe jeusi lililo katika msikiti mkuu wa makka uitwao Al-ka’ba unaofahamika kuwa ni “bait ullah” yaani nyumba ya Allah. Baadhi ya vitabu hivyo ni hivi…

Kitabu kiitwacho mkweli mwaminifu mtungaji sheikh Said Moosa Muhamed al-kindy kitabu cha 3-4 chapa ya 14 ukurasa wa 75 kuna maneno haya;

"Kasema mtume (s.a.w.).... Basi atakaye ligusa (jiwe jeusi) basi kafungamana na mwenyezi."

Na katika kitabu cha hadithi za Muhammad cha sahih al-bukhari vol. 2 ukurasa wa 397 hadithi na 682. katika hadithi hii tunaambiwa kwamba “kila wakati mtume s.a.w alipokuja kwenye jiwe jeusi alilielekezea kikidole na kusema Takbir maana yake Allah ni mkuu.

Na kuhusu ushahidi wa kuhiji bila chupi tunapata hapa;

Shaykh al-Islam ibn Taymiyah (Mwenyezi Mungu amrehemu) alisema:
"Vivyo hivyo, chupi ni (iliyokatazwa zaidi) kuliko suruali." (Majmu'al-Fatawa, 21/206)

Al-Muzni amesema

Kwa mfano, nabii (amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alikataza Hija kwenye Ihram kuvaa shati, suruali, kifuniko cha kichwa na Khufuf, na hakuizuia kwa vitu hivi tu, badala yake alikataza pia kuvaa nguo ndefu ya kufunika mwili mzima, kofia, Kufis (kilemba cheupe cha pamba), soksi na chupi, nk.” (I’lam al-Muwaqqi’in, 1/205-207)

Maonyo ya Mungu wa Biblia

1) Ni maarufuku kuweka jiwe la kuabudia ama kuliabudu. Hii ni ibada ya sanamu. Imeandikwa;

Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, au mnara, wala jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.Walawi 26:1 NEN

2) Kwenda nyumbani mwa Bwana bila nguo ya ndani. Kutoka 28:42,43.

Hivyo kwa utaratibu huu tukubali kuwa Muhamad sio miongoni mwa wajumbe/manabii wa Mungu bali wa Hubali mungu wa Maka. Maana ananena kinyume cha Mungu wa manabii.

Rafiki ukitaka kuliomba jiwe au kuliabudi basi usiabudu jiwe mfu bali omba au abudu jiwe lililo hai ambalo ni Kristo Mwana wa Mungu. Biblia inasema,

[11] Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni. [12] Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. Mdo 4:11-12 SUV

Mmwendee yeye, jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu, bali kwa Mungu ni teule, lenye heshima. 1 Pet 2:4 SUV
 
Back
Top Bottom