Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Hizo hesabu kila siku zinatumika mbona hakuna makosa kama yako
Swali zuri:
Wanazuoni wameboresha baada ya kuona makosa kwenye hesabu za Quran. Ndio maana ukifuatilia madhehebu makubwa mawili Sunni na Shia kila mmoja ana namna yake ya kugawa urithi hawako sawa.
 
Swali zuri:
Wanazuoni wameboresha baada ya kuona makosa kwenye hesabu za Quran. Ndio maana ukifuatilia madhehebu makubwa mawili Sunni na Shia kila mmoja ana namna yake ya kugawa urithi hawako sawa.
Waliboresha lini na lini kuligundulika kuwa huo mfumo una makosa
 
Quran imetaja tu mirathi kwa idadi ya sehemu na wanaostahili..hiyo yako hapo juu mgao wa milion ni yenu kwa hizi hesabu zenu za kubumba toka kwa mtu asiyejua lolote kuhusu mirathi ya kiislam..nilipoona umechanganya watoto na wazazi wa aliyeacha mali yaani babu na bibi wa hao watoto nikajua ni famba tu toka wachafuzi wa uislam kwa mambo wasiyoyajua..kwani inafahamika mgao unaanza kwa mke/mume na watoto..iwapo aliyeacha mali hakuwa na mke wala mtoto basi ndio wazazi wake wanaingia nao kama hawapo wanaingia kaka na dada zake yaani mambo yanaenda hivyo ngazi ngazi..acheni na hizo habari zenu za kuokoteza aya moja kwa wahuni wanaokashifu uislam kisha wanazipa tafsiri feki kwa sababu wanazojua wao
me sio muislam ila katka hili jibu lako hakika nimeelewa na nakubaliana nawewe
 
Yaani sijui wanawaza nini
Mwenyezi Mungu anakuusieni kuhusu watoto wenu: kwa mwanamume, ni sawa na fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wapo watoto wa kike, wawili au zaidi, basi watapata thuluthi mbili ya mali ya mtu. Na ikiwa yuko mmoja tu basi ni nusu yake. Na wazazi wa mtu mmoja mmoja atapata thuluthi ya mali yake ikiwa ameacha watoto. Lakini ikiwa yeye ni mama yake mzazi, basi hana mtoto wa tatu. Akiwa ana ndugu, basi mama yake ni wa sita, baada ya wasia wowote aliousia, au deni la wazazi wenu au watoto wenu, hamjui ni yupi miongoni mwao aliye karibu zaidi nanyi kwa manufaa ya Mwenyezi Mungu.” (4:11)
 
Jibu swali lini huo mfumo uligundulika kuwa na makosa na lini ulibadilishwa kama unavyosema?
 
me sio muislam ila katka hili jibu lako hakika nimeelewa na nakubaliana nawewe
Hakuna alichojibu hapo, angalia Quran inavyosema hapa.

Quran 4:11
Mwenyezi Mungu anakuusieni kuhusu watoto wenu: kwa mwanamume, ni sawa na fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wapo watoto wa kike, wawili au zaidi, basi watapata thuluthi mbili ya mali ya mtu. Na ikiwa yuko mmoja tu basi ni nusu yake. Na wazazi wa mtu mmoja mmoja atapata thuluthi ya mali yake ikiwa ameacha watoto. Lakini ikiwa yeye ni mama yake mzazi, basi hana mtoto wa tatu. Akiwa ana ndugu, basi mama yake ni wa sita, baada ya wasia wowote aliousia, au deni la wazazi wenu au watoto wenu, hamjui ni yupi miongoni mwao aliye karibu zaidi nanyi kwa manufaa ya Mwenyezi Mungu.”
 
Mwenyezi Mungu anakuusieni kuhusu watoto wenu: kwa mwanamume, ni sawa na fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wapo watoto wa kike, wawili au zaidi, basi watapata thuluthi mbili ya mali ya mtu. Na ikiwa yuko mmoja tu basi ni nusu yake. Na wazazi wa mtu mmoja mmoja atapata thuluthi ya mali yake ikiwa ameacha watoto. Lakini ikiwa yeye ni mama yake mzazi, basi hana mtoto wa tatu. Akiwa ana ndugu, basi mama yake ni wa sita, baada ya wasia wowote aliousia, au deni la wazazi wenu au watoto wenu, hamjui ni yupi miongoni mwao aliye karibu zaidi nanyi kwa manufaa ya Mwenyezi Mungu.” (4:11)
Endelea , maana umeandika Qur an 4:11-12 ,endelea mpaka 12
 
Aya ya Qur'an 4:11 inasema hivi

Allah commands you regarding your children: the share of the male will be twice that of the female.1 If you leave only two ˹or more˺ females, their share is two-thirds of the estate. But if there is only one female, her share will be one-half. Each parent is entitled to one-sixth if you leave offspring.2 But if you are childless and your parents are the only heirs, then your mother will receive one-third.3 But if you leave siblings, then your mother will receive one-sixth4—after the fulfilment of bequests and debts.5 ˹Be fair to˺ your parents and children, as you do not ˹fully˺ know who is more beneficial to you.6 ˹This is˺ an obligation from Allah. Surely Allah is All-Knowing, All-Wise.

Naomba kuuliza kwako mleta mada je hiyo unayosema kuwa mke anapata 1/8 umeipata wapi?
 
Endelea , maana umeandika Qur an 4:11-12 ,endelea mpaka 12
Quran 4:12
Mtarithi nusu ya waliyoacha wake zenu ikiwa hawana watoto. Lakini ikiwa wana watoto, basi fungu lako ni robo ya mali baada ya kutimiza wasia na deni. Na wake zenu watarithi robo ya mliyo yaacha ikiwa nyinyi hamzai. Lakini ikiwa nyinyi mna watoto, basi wake zenu watapata thuluthi ya mali yenu baada ya kutimiza wasia na deni. Na ikiwa mwanamume au mwanamke ameacha wazazi wala watoto, ila kaka au dada kutoka kwa mama yao, basi kila mmoja atarithi thuluthi moja, lakini ikiwa ni zaidi ya mmoja, basi wote watagawana thuluthi ya mali baada ya kutimiza wasia na deni bila ya madhara yoyote kwa warithi, hii ni amri ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mpole.
 
Dogo anakuambia surah 4:11-12 , ili kuwadanganya wasiojua .wakati huo hiyo surah imeonesha conditions tofauti ,😀😀..Jamaa mzushi sana, atakimbia huu uzi wake .
Njoo TARATIBU jibu hoja.
Naona mnazunguka tu.
 
to be honest kama unasoma hii comment muhimu ukaelewa huyu mleta mada AMEKOSEA(SIJAJUA KWA ELIMU AU KUKUSUDIA)
urithi wa UISLAMU(MIRATHI) haipo kwa mgawanyo huo aliousema
aliyefariki(MUME AU MKE) anarithiwa na watoto NA MWENZA TU(kama hana watoto ndo tunakuja kwa wengine)
KWA MFANO WAKE NAOMBA NIFAFANUE(KWA KADIRI NINAVYOJUA NA MUNGU ANAJUA ZAIDI)
MUME AMEFARIKI AMEACHA MKE NA WATOTO WAWILI WA KIKE(KWA MAELEZO HAKUNA MTOTO WA KIUME)
kwa kua tayari mume(marehemu) ana watoto wawiili NDIO WARITHI WA MALI ZA MUME
(ILA)
Kwa kua ameacha MKE, Kuna (mtoto) anaweza kua ameachwa tumboni kwa hiyo hawatagawana mali mpaka ipite siku 90(wanasema heda,hizi siku kama nimekosea watanisahisha)
TUASSUME heda imepita hakukua na mtoto tena
MGAWANYO
-KWANZA KABLA YA MGAO,MKE ANAPATA JASHO LAKE(HII TUNASEMA MWANAMKE ANAPATA JASHO LAKE ALOCHANGIA MFANO WALITOA WOTE PESA KUFANYA BIASHARA ILIYOLETA HIYO MILIONI 1,BASI MKE ILE YAKE ATAPEWA KAMA ILIVYO ITAKAYOBAKI NDO TUNAKUJA KWENYE MGAO)
-NDANI YA MGAO WAHUSIKA NI MKE, WATOTO WAWILI
KWAHIYO MKE BAADA YA KUPEWA ALIYOCHANGIA, MGAO NDO UTAKUA
-WA KWANZA KUPATA MGAO MKE 1/8 YA PESA ILIYOBAKI(KAMA MKE HAKUCHANGIA CHOCHOTE CHA KWAKE KWENYE HIYO MILIONI 1 BASI ATAPATA 125,000)
-BAADA YA MKE WATOTO WATAFATA KWENYE MGAO NA NDIO WA MWISHO(KWA HESABU KILA MMOJA ATAPATA 437,500)

NB! MGAWANYO HUU UTABADILIKA KAMA ATAKUA AMEACHWA MTOTO WA KIUME, KAMA KUNA MTOTO MWINGINE WA NDOA ATAJULIKANA(KWA USHAHIDI,KAMA WATOTO WALIFARIKI AKABAKI MKE PEKEE

(NA MUNGU ANAJUA ZAIDI)
WASSALAAM
Huo ni uelewa wako lakini
Quran 4:11-12
Inasema
Mke 1/8
Baba 1/6
Mama 1/6
Watoto wa kike wawili 2/3
 
Hajajiabisha yeye tu bali na wapuuzi wenzake katika extremists Galatians..

Mashambulizi dhidi ya Uislamu kuwa mengi ni husuda tu , maana dini yao globally inazidi kufifia huku Uislamu ukipaa . Baada kuConcentrate na kujenga dini yao wamechangua njia ya kukusanyika dhidi ya Uislamu jambo ambalo wameshindwa wakubwa wao tokea Zamani na sasa na wameondoka na ila bado Uislamu unazidi kuenea na kunawiri.
Hoja hamjajibu, kilichobaki ni maneno tu.
 
Quran imetaja tu mirathi kwa idadi ya sehemu na wanaostahili..hiyo yako hapo juu mgao wa milion ni yenu kwa hizi hesabu zenu za kubumba toka kwa mtu asiyejua lolote kuhusu mirathi ya kiislam..nilipoona umechanganya watoto na wazazi wa aliyeacha mali yaani babu na bibi wa hao watoto nikajua ni famba tu toka wachafuzi wa uislam kwa mambo wasiyoyajua..kwani inafahamika mgao unaanza kwa mke/mume na watoto..iwapo aliyeacha mali hakuwa na mke wala mtoto basi ndio wazazi wake wanaingia nao kama hawapo wanaingia kaka na dada zake yaani mambo yanaenda hivyo ngazi ngazi..acheni na hizo habari zenu za kuokoteza aya moja kwa wahuni wanaokashifu uislam kisha wanazipa tafsiri feki kwa sababu wanazojua wao
Wewe ndio hujui Quran ila unajifanya mjuaji.
Soma Quran Quran 4:11-12
 
Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12

Tatizo kuu ni kwamba imegawanywa kwa kutumia vipimo vya moja kwa moja kutoka milioni moja kwa kila mrithi, badala ya kuhesabu vipimo hivyo baada ya kutoa sehemu ya kila mrithi ipasavyo na kugawanya mabaki kulingana na sheria.
Kosa la kwanza
Hawakuanza kwa taratibu sahihi:
1. Mke anapewa 1/8 ya mali yote kwa kuwa kuna watoto.
1/8 × 1,000,000 = 125,000
2. Kisha kilichobaki (1,000,000 − 125,000 = 875,000) kinagawanywa kwa wazazi na watoto kulingana na sehemu zao.
Kosa la pili
Kwa mujibu wa Qur'an 4:11-12:
Baba anapata 1/6 ya mali yote.
1/6 × 1,000,000 = 166,666.67
Mama pia anapata 1/6 ya mali yote.
1/6 × 1,000,000 = 166,666.67
Mabaki (1,000,000 − 125,000 − 166,666.67 − 166,666.67 = 541,666.66) yanapewa watoto kwa uwiano wa mwana kwa kike mmoja.
Lakini hapa kuna wasichana wawili tu, hivyo hupata kwa usawa:
Kila mmoja = 541,666.66 ÷ 2 = 270,833.33

Mgawanyo sahihi:
1. Mke: 125,000
2. Baba: 166,666.67
3. Mama: 166,666.67
4. Mtoto wa kike wa kwanza: 270,833.33
5. Mtoto wa kike wa pili: 270,833.33
Jumla = 1,000,000 (inatosha, hakuna kuzidi).
Kwa hiyo tatizo si Qur’an, bali ni hesabu na namna ya kutumia vipimo.
Mfano kwenye picha umeongeza vipimo ambavyo havikupaswa kujumlishwa hivyo hivyo, ndiyo maana jumla yao ikazidi mali iliyopo.
 
Mbona umepiga tofauti ,hiyo surah haujui
.Ebu tumia hata AI upate calculation.😅😅😅

We jamaa ni mpumbavu ,huelewi ila haitaki kujifunza...
Hii MADA IMEKUWA mjadala mkubwa kwa wanazuoni wakubwa wa Dini kwenye majukwaa makubwa duniani.
Mpaka wanazuoni wakaja na suluhisho baada ya kuona changamoto kwenye Quran.
Sunni wamekuja na namna yao ya mgao
Halikadhalika Shia nao wamekuja na namna yao ya mgao.
Lengo kufanya hesabu isizidi 100%
 
Sasa si useme makosa yalianza kugundulika lini
 
Back
Top Bottom