Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Tatizo kuu ni kwamba imegawanywa kwa kutumia vipimo vya moja kwa moja kutoka milioni moja kwa kila mrithi, badala ya kuhesabu vipimo hivyo baada ya kutoa sehemu ya kila mrithi ipasavyo na kugawanya mabaki kulingana na sheria.
Kosa la kwanza
Hawakuanza kwa taratibu sahihi:
1. Mke anapewa 1/8 ya mali yote kwa kuwa kuna watoto.
1/8 × 1,000,000 = 125,000
2. Kisha kilichobaki (1,000,000 − 125,000 = 875,000) kinagawanywa kwa wazazi na watoto kulingana na sehemu zao.
Kosa la pili
Kwa mujibu wa Qur'an 4:11-12:
Baba anapata 1/6 ya mali yote.
1/6 × 1,000,000 = 166,666.67
Mama pia anapata 1/6 ya mali yote.
1/6 × 1,000,000 = 166,666.67
Mabaki (1,000,000 − 125,000 − 166,666.67 − 166,666.67 = 541,666.66) yanapewa watoto kwa uwiano wa mwana kwa kike mmoja.
Lakini hapa kuna wasichana wawili tu, hivyo hupata kwa usawa:
Kila mmoja = 541,666.66 ÷ 2 = 270,833.33

Mgawanyo sahihi:
1. Mke: 125,000
2. Baba: 166,666.67
3. Mama: 166,666.67
4. Mtoto wa kike wa kwanza: 270,833.33
5. Mtoto wa kike wa pili: 270,833.33
Jumla = 1,000,000 (inatosha, hakuna kuzidi).
Kwa hiyo tatizo si Qur’an, bali ni hesabu na namna ya kutumia vipimo.
Mfano kwenye picha umeongeza vipimo ambavyo havikupaswa kujumlishwa hivyo hivyo, ndiyo maana jumla yao ikazidi mali iliyopo.
Hapo ndipo shida ilipo. Ili kuficha upungufu wa Quran
Nani kasema watoto wa kike wagawane sawa mabaki?
Quran unataka wapate kila mtu 1/3 ya mali ya marehemu.
 
Quran 4:12
Mtarithi nusu ya waliyoacha wake zenu ikiwa hawana watoto. Lakini ikiwa wana watoto, basi fungu lako ni robo ya mali baada ya kutimiza wasia na deni. Na wake zenu watarithi robo ya mliyo yaacha ikiwa nyinyi hamzai. Lakini ikiwa nyinyi mna watoto, basi wake zenu watapata thuluthi ya mali yenu baada ya kutimiza wasia na deni. Na ikiwa mwanamume au mwanamke ameacha wazazi wala watoto, ila kaka au dada kutoka kwa mama yao, basi kila mmoja atarithi thuluthi moja, lakini ikiwa ni zaidi ya mmoja, basi wote watagawana thuluthi ya mali baada ya kutimiza wasia na deni bila ya madhara yoyote kwa warithi, hii ni amri ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mpole.
Mzee soma sana ,kama haujui basi ombe ufundishwe kuelewa ..Hiyo ni mada ya form 2 au 3 .Ni simple sana ..Soma Qur an uelewa hapo ukileta tafsiri tofauti utajichanganya.
 
Mzee soma sana ,kama haujui basi ombe ufundishwe kuelewa ..Hiyo ni mada ya form 2 au 3 .Ni simple sana ..Soma Qur an uelewa hapo ukileta tafsiri tofauti utajichanganya.
Nisome Nini Tena?
Jibu hoja iko mezani
Soma sana sio jibu
 
Hivi ni wapi walifanya mgawo wa urithi halafu wakakuta makosa kama uliyoyakuta wewe 😃
Swali zuri:
Wanazuoni bàada ya kuona hiyo changamoto wakaja na namna ya kuisawazisha.
Hivyo zikaibuka njia tofauti za kutatua Hilo.
Sunni wakaja na njia yao na Shia wakaja na njia yao
 
Swali zuri:
Wanazuoni bàada ya kuona hiyo changamoto wakaja na namna ya kuisawazisha.
Hivyo zikaibuka njia tofauti za kutatua Hilo.
Sunni wakaja na njia yao na Shia wakaja na njia yao
Swali ni lini makosa yalibainika
 
Swali zuri:
Wanazuoni bàada ya kuona hiyo changamoto wakaja na namna ya kuisawazisha.
Hivyo zikaibuka njia tofauti za kutatua Hilo.
Sunni wakaja na njia yao na Shia wakaja na njia yao
Uislamu una vituko sana 😂😂

Kuna wanazuoni wengine wanaruhusu kuwaingilia nyuma wake zao wengine wanakataa
 
Na biblia hiyohiyo inayojua kuwa kiongozi wa Misri kipindi cha Yusuf alikuwa ni farao 😃
Mkuu Farao ni cheo, ni kama huku Tanzania tunavyosema Rais. Sasa huyu Rais anakua na jina, Rais Samia, Rais Jakaya nk

Kwa ulichozungumza wewe ni sawa na kusema, kiongozi wa Tanzania kipindi cha Tundu Lissu alikuwa ni Rais😄
 
Mkuu Farao ni cheo, ni kama huku Tanzania unavyosema Rais.

Kwa ulichozungumza ni sawa na kusema, kiongozi wa Tanzania kipindi cha Tundu Lissu alikuwa ni Rais😄
kwa mujibu wa mwenzio hamis77 anasema kuwa wakati wa Yusufu hakukuwa na cheo cha ufarao kwa kiongozi wa Misri hivyo anashangaa kuona kitabu fulani cha dini kinamtaja kiongozi huyo kama farao wakati kiuhalisia sio kweli
 
Mkuu Farao ni cheo, ni kama huku Tanzania tunavyosema Rais. Sasa huyu Rais anakua na jina, Rais Samia, Rais Jakaya nk

Kwa ulichozungumza wewe ni sawa na kusema, kiongozi wa Tanzania kipindi cha Tundu Lissu alikuwa ni Rais😄
Mzee waislamu elimu hawana hata kidogo hasa hii ya Secular ,

Manuscript ya biblia imetofautisha vzr

Kiswahili ndio kimeita kwa Cheo kama Farao ,

Kwahiyo huyu ni anatafuta kichaka maana hawezi kujibu maswali ya msingi
 
Back
Top Bottom