camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Unajua maana ya neno valuation?Nimekwambia hivi hapo ni jumla ya mali alizoacha marehemu.wapi Quran imetoka mfano marehemu kaacha million 1?
Marehemu ana gari,nyumba ,mashamba vitu na ndani na hela n.k
Hvyo vyote vinajumlishwa baadae ndo vinagawanywa hivyo.sio kuja na mfano wa million 1.ina maana huyo marehemu kaacha tu million 1?tumieni akili kidogo
Marehemu hawezi kuacha Tu million 1.Quran ingekuwa imenyooka wala hatuhitaji kutumia akili!
Sasa huyo mleta mada hyo million 1 kaitoa wapi?Nan amekuambiwa Qur an imetoa mfano wa mil 1. Usijichanganye?
Onesha niliposema, sipendi uzushi !
Hapo mwenyewe unajiona umeutetea yislam balaa!Marehemu hawezi kuacha Tu million 1.
Alafu kwenye mgawanyo huo mlioleta nyie.sio kila marehemu ana watoto na wazazi..mwingine ana watoto wazazi Hana,mwingine ana wazazi watoto Hana.
Sasa aya inachukulia endapo itatokea kaacha watoto,mali itagawanywa hivi na endapo akiacha wazazi mali itagawanywa hivi n.k
Sio unakuja na million 1 unatolea mfano
🤣🤣🤣.Yani nyie muikosoe Quran 🤣🤣🤣🤣.mna utani sana.mngejua kuwa hamjuiHapo mwenyewe unajiona umeutetea yislam balaa!
Mpuuzi huyo achana naye.Sasa huyo mleta mada hyo million 1 kaitoa wapi?
Wala si kosa lako tunajua uko brain washed!🤣🤣🤣.Yani nyie muikosoe Quran 🤣🤣🤣🤣.mna utani sana.mngejua kuwa hamjui
Hilo nalikubali Yesu ni njia kama ilivyokuwa kwa Nabii Ibrahim alikuwa njia kwa zama zake na wengineoYesu ndiye njia na uzima huko umepotea ndugu yangu.
Kwa sababu anasema mtu haji kwa baba bila kupitia kwake
Hili ndio jibu lako mkuu?Hapo imezungumziwa jumla ya mali alizoacha marehemu.
Sio HELA ALIZOACHA MAREHEMU.mtumie akili kidogo basi mbona mnatia aibu
Haya basi tuseme marehemu KAACHA laki 5.Sasa huyo mleta mada hyo million 1 kaitoa wapi?
🤣🤣🤣.hivi hela ni mali kumbe.Hili ndio jibu lako mkuu?
Nini tofauti ya mali na hela?
Naona aibu sana mimi
Waislamu wenye akili na wanazuoni wakubwa wameshagundua kosa Hilo wakaja na maboresho haya🤣🤣🤣.Yani nyie muikosoe Quran 🤣🤣🤣🤣.mna utani sana.mngejua kuwa hamjui
Quran imetoa muongozo.wa kugawanywa mali za marehemu SIO HELA ZA MAREHEMU.mbona hamuelewi?Haya basi tuseme marehemu KAACHA laki 5.
Igawanye laki 5 kwa warithi wa lazima
Mke 1/8
Baba 1/6
Mama 1/6
Watoto wakike wawili 2/3
Hoja sio kiasi alichoacha marehemu hoja ni mgao wa kila mtu ALIYOPEWA na Quran 4:11-12
mtapata shida sana kuelewa hizo aya.huo ni muongozo .zimetajwa Mali za marehemu SIO HELA.Waislamu wenye akili na wanazuoni wakubwa wameshagundua kosa Hilo wakaja na maboresho haya
Hoja sio Nini kinagawiwa hapa.🤣🤣🤣.hivi hela ni mali kumbe.
Sasa wapi kwenye aya imesema marehemu akiacha hela igawanywe hivyo?mali ni mjumuishonwa vitu alivyoacha marehemu,magari,majumba, nguo,vyombo hela n.k
Wapi Quran imetaja hela igawanywe hivyo?Hoja sio Nini kinagawiwa hapa.
Chochote utakachogawa mgawo imetajwa kwenye Quran.
Na Quran imezidisha mgao
Wewe ambacho huelewi ni Nini?
Wakiristo wa jf wengi wao vilaza, hamna kitu kichwaniDogo anakuambia surah 4:11-12 , ili kuwadanganya wasiojua .wakati huo hiyo surah imeonesha conditions tofauti ,😀😀..Jamaa mzushi sana, atakimbia huu uzi wake .
Kwahiyo marehemu akiacha nyumba moja watagawana tofali?Quran imetoa muongozo.wa kugawanywa mali za marehemu SIO HELA ZA MAREHEMU.mbona hamuelewi?
shida unataka kufosi ulivyokariri hayo mahesabu yako.Kwahiyo marehemu akiacha nyumba moja watagawana tofali?
Hahahaa!
Mke 1/8
Baba 1/6
Mama 1/6
Watoto wa kike 2/3