Badala ujibu hoja wewe unanishambulia Mimi ,kwahiyo na wenzako wanaousema Ukristo wamebeba chuki ?We jamaa umebeba chuki mbaya sana dhidi ya Uislam badala ya kusoma na kujifunza
VITUKO VYA MUHAMMAD, KUVAA NGUO ZA NDANI ZA AISHA, NA NGUVU ZA UCHAWIWe jamaa umebeba chuki mbaya sana dhidi ya Uislam badala ya kusoma na kujifunza
Wewe siku zote unahamisha mada na kukwepa hoja husika, umekariri hekaya zako na kujifanya unaujua uislam sana na kutukana watu. Kuna viumbe dunia hii vilikuwa na nguvu na miliki kubwa ya dunia wameshindwa kwa hoja na wengine wameufuata uislam kwa kugundua walipo wamekoseaVITUKO VYA MUHAMMAD, KUVAA NGUO ZA NDANI ZA AISHA, NA NGUVU ZA UCHAWI
1️⃣ Muhammad na tabia ya kutumia nguo za Aisha alipokuwa akipokea wahyi
Vyanzo vya Kiislamu vinasema wazi kuwa Muhammad alipokea “ufunuo wa Qur’an” akiwa amevaa au amelalia nguo za Aisha, hata Aisha akiwa katika hedhi.
📖 Sunan Abu Dawood, Hadith 227
“Aisha alisema: Nilikuwa najifunika kwa nguo yangu (kitenge) nilipokuwa kwenye hedhi, kisha Nabii huichukua na kuvaa.”
📖 Sahih Muslim, Kitabu cha Hedhi (Hadith 294)
“Mtume alikuwa analala juu ya shuka langu nikiwa kwenye hedhi, kisha hunisogelea na kulalia juu yake.”
📖 Sunan Ibn Majah, Hadith 639
“Mtume alikuwa akilalia kwenye nguo ya Aisha hata akiwa katika hedhi.”
🔍 Ufafanuzi:
Katika tamaduni nyingi za Kiarabu na mila za kichawi, kuvaa au kutumia nguo za mtu mwingine — hasa zilizo karibu na mwili — huaminika kuhamisha nguvu, roho, au “baraka” za mtu huyo.
Kitendo cha kutumia nguo za Aisha akiwa kwenye hedhi kingeonekana najisi kwa Wayahudi na Wakristo (Law 15:19-24), na pia kinafanana na desturi za kishirikina za kutafuta nguvu kupitia vitu vya binafsi vya mtu.
2️⃣ Muhammad alikiri kufanyiwa uchawi
Vyanzo vyao vinathibitisha kuwa Muhammad aliwahi kulogwa kiasi cha kudhani anafanya jambo ambalo hakulifanya.
📖 Sahih al-Bukhari, Hadith 3268
“Ilipokewa kutoka kwa Aisha kwamba Mtume alilogwa, kiasi cha kudhani amefanya jambo, kumbe hajalifanya...”
📖 Sahih al-Bukhari, Hadith 5765
“...mtu aitwaye Labid bin al-A’sam alimloga Mtume kwa nywele na kamba zilizotumika kufunga nywele...”
🔍 Ufafanuzi:
Ulogwaji huu unaonyesha Muhammad alikuwa chini ya athari za nguvu za giza.
Ni jambo la kawaida katika uchawi kutumia vitu vya kibinafsi (nguo, nywele, au damu) ili kumdhibiti mtu kiroho.
Tukio la kutumia nguo za Aisha linaendana na mila hizi.
3️⃣ Muhammad na ndoto za ngono
Hadith nyingine inaonyesha Muhammad akiwa na ndoto za kufanya tendo la ndoa na wake wa watu, akiwa amelala.
📖 Sahih al-Bukhari, Hadith 5763
“Mtume alisema: Niliota niko na wanawake wa peponi, nikamuona mmoja, nikamuuliza ni nani, wakaambiwa ni mke wa fulani...”
🔍 Ufafanuzi:
Tukio hili linaonyesha kwamba ndoto zake hazikuwa za kawaida bali zilihusisha hali ya kimwili yenye msisimko wa kingono.
Tukio hili, likiunganishwa na historia ya kulogwa na tabia ya kuvaa nguo za Aisha, linaonyesha uwepo wa ushawishi wa nguvu zisizo za Mungu.
Muhammad alipokea “wahyi” akiwa amevaa au amelalia nguo za Aisha, hata akiwa katika hali ya hedhi (hali ya najisi kwa mitazamo ya dini za kweli).
Muhammad mwenyewe alikiri kulogwa, jambo linalofanana na kutumia vitu vya binafsi kwa uchawi.
Alikuwa na ndoto za kingono zinazohusiana na wake wa watu, hali inayoweza kuhusiana na uchawi wa ndoto (incubus/succubus).
💥 Hii inathibitisha kwamba dini aliyoanzisha Muhammad haikutoka kwa Mungu wa kweli, bali ilichanganyika na ushawishi wa uchawi, mila za kipagani, na tamaa za kimwili.
📖 “Kwa sababu hii Mungu atawaacha waendelee katika upotovu wao, ili waamini uongo, wapate hukumu wote wasioamini kweli, bali walifurahia udhalimu.” — 2 Wathesalonike 2:11-12
Bora nikatwe kichwa kuliko kuwa muislamuWewe siku zote unahamisha mada na kukwepa hoja husika, umekariri hekaya zako na kujifanya unaujua uislam sana na kutukana watu. Kuna viumbe dunia hii vilikuwa na nguvu na miliki kubwa ya dunia wameshindwa kwa hoja na wengine wameufuata uislam kwa kugundua walipo wamekosea
Wewe sio wa kwanza kusoma hayo maandiko ya kupotosha, umekariri tu usabai na apokrifa
Mnamsingizia mungu kazaliwa katokea kwenye mbususus, eti ana mtoto mnaenda kumtundika msalabani na kuweka picha ya mzungu mnaiabudu halafu unajiona msomi sana huna lolote unalolijua ! Nincompoop!
Hivi unawezaje kufata hii dini ya ufirauni?Wewe siku zote unahamisha mada na kukwepa hoja husika, umekariri hekaya zako na kujifanya unaujua uislam sana na kutukana watu. Kuna viumbe dunia hii vilikuwa na nguvu na miliki kubwa ya dunia wameshindwa kwa hoja na wengine wameufuata uislam kwa kugundua walipo wamekosea
Wewe sio wa kwanza kusoma hayo maandiko ya kupotosha, umekariri tu usabai na apokrifa
Mnamsingizia mungu kazaliwa katokea kwenye mbususus, eti ana mtoto mnaenda kumtundika msalabani na kuweka picha ya mzungu mnaiabudu halafu unajiona msomi sana huna lolote unalolijua ! Nincompoop!
Quran hii ambayo haijui jina la mke wa Adam 😂
MUHAMMAD ALIKUWA ANAJITUNGIA kila kitu anachoona kinamjia kichwani
Hivi unawezaje kufata hii dini ya ufirauni?View attachment 3437592
Hivi unawezaje kufata hii dini ya ufirauni?View attachment 3437592
Bora nikatwe kichwa kuliko kuwa muislamu
Ukifunguliwa huo ubongo, UKAWA huru huwez kuwa muislamu abadani
Je unapaka wanja kama muhamad?
Bora nikatwe kichwa kuliko kuwa muislamu
Ukifunguliwa huo ubongo, UKAWA huru huwez kuwa muislamu abadani
Je unapaka wanja kama muhamad?
Toka gizani YESU anakuita karibu uone Nuru halisi ya kweli inayoangazia Dunia yoteQuran imetaja tu mirathi kwa idadi ya sehemu na wanaostahili..hiyo yako hapo juu mgao wa milion ni yenu kwa hizi hesabu zenu za kubumba toka kwa mtu asiyejua lolote kuhusu mirathi ya kiislam..nilipoona umechanganya watoto na wazazi wa aliyeacha mali yaani babu na bibi wa hao watoto nikajua ni famba tu toka wachafuzi wa uislam kwa mambo wasiyoyajua..kwani inafahamika mgao unaanza kwa mke/mume na watoto..iwapo aliyeacha mali hakuwa na mke wala mtoto basi ndio wazazi wake wanaingia nao kama hawapo wanaingia kaka na dada zake yaani mambo yanaenda hivyo ngazi ngazi..acheni na hizo habari zenu za kuokoteza aya moja kwa wahuni wanaokashifu uislam kisha wanazipa tafsiri feki kwa sababu wanazojua wao
Hoja yangu iko wazi mnazunguka tu.Hesabu ulipata ngapi ?
Tuanzie hapo kabla ya kuja huko kwenye dini
Hesabu ulipata ngapi ?
Tuanzie hapo kabla ya kuja huko kwenye dini
wewe haupo kwenye kutaka kujua, kwahiyo naomba ikifika siku ya kutaka kujua Allah atakuwekea wepesi utaelewa na utakua balozi kwa wengine kuwafikishia hakiUnajua kitu kinaitwa "AWL" ?
Angalia wanazuoni walichofanya hapa baada ya kuona hesabu za Quran haziko sawa
shida ipo kwenye hsabu unazopiga,hapo ndipo ulipokwamaHoja yangu iko wazi mnazunguka tu.
Alama zangu za hesabu zitasaidia Nini hapa. Sema tu hapo kwenye urithi Allah kavurunda. Hata mkinishambulia Mimi haibadilishi ukweli
Hahaaaa
Bora wewe umefafanua wenzako wameporomosha matusi tu! Kimahesabu ukifuata huo mgawanyo inazidi.hapana mgawanyo uliouleta hauendani kikamilifu na mgawanyo wa urithi katika Qur'an 4:11–12
Kosa kuu hapo ni la kihisabati
Katika mfano huo umerusha moja kwa moja fungu la kila mrithi kwa asilimia ya urithi wote bila kuzingatia kwamba baadhi ya warithi hupata sehemu maalum (fixed shares) na kilichobaki hugawanywa (asaba) kwa watoto.
kwa mujibu wa Qur’an
Mfano wa Qur’an 4:11-12
Mtu amefariki na kaacha Mke mmoja,Mabinti wawili,Baba na Mama
Urithi = 1,000,000
1. Mke – Anapata 1/8 kwa kuwa marehemu aliacha watoto
= 1,000,000 × 1/8 = 125,000
2. Wazazi (Baba na Mama)
Kwa kuwa kuna watoto, kila mzazi anapata 1/6 (Qur'an 4:11)
Baba = 1/6 × (1,000,000) = 166,666.67
Mama = 1/6 × (1,000,000) = 166,666.67
Jumla hadi hapa = 125,000 + 166,666.67 + 166,666.67 = 458,333.34
3. Mabinti wawili
Kwa mujibu wa Qur’an (4:11):
“...na ikiwa mabinti ni zaidi ya mmoja, basi watapata theluthi mbili (2/3) ya alichokiacha.”
2/3 × 1,000,000 = 666,666.66
Hii hugawiwa kati yao wawili kila mmoja = 333,333.33
Jumla = 458,333.34 (wazazi + mke) + 666,666.66 (watoto) = 1,125,000
Tatizo ni nini?
Kiasi kinazidi 1,000,000. Qur’an haijakosea. Suluhisho ni kutumia kanuni ya “Awl” (التعصيب بالعول) – wanazuoni wa fiqhi waliweka utaratibu wa "kupunguza fungu la kila mrithi kwa uwiano ili lisizidi urithi halisi".
Mfano: badala ya kugawa kwa 1/8, 1/6, na 2/3 moja kwa moja, mafungu yote yanagawanywa kwa pamoja kwa kuzingatia jumla iliyopo.
Mwisho Qur’an haijakosea hisabati tatizo ni tafsiri isiyo sahihi ya mgao bila kutumia kanuni za mirathi za Fiqhi kama (Awl) Wanazuoni wa Fiqhi madhehebu zote nne wameweka utaratibu thabiti wa kusuluhisha hali kama hii.
kwanin usianze na kuonyesha attachment ya hiyo Aya ndo ukaja na hizo attachment nyingine!?Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
Hii hapa mkuukwanin usianze na kuonyesha attachment ya hiyo Aya ndo ukaja na hizo attachment nyingine!?