Swali zuri:Hizo hesabu kila siku zinatumika mbona hakuna makosa kama yako
Waliboresha lini na lini kuligundulika kuwa huo mfumo una makosaSwali zuri:
Wanazuoni wameboresha baada ya kuona makosa kwenye hesabu za Quran. Ndio maana ukifuatilia madhehebu makubwa mawili Sunni na Shia kila mmoja ana namna yake ya kugawa urithi hawako sawa.
me sio muislam ila katka hili jibu lako hakika nimeelewa na nakubaliana naweweQuran imetaja tu mirathi kwa idadi ya sehemu na wanaostahili..hiyo yako hapo juu mgao wa milion ni yenu kwa hizi hesabu zenu za kubumba toka kwa mtu asiyejua lolote kuhusu mirathi ya kiislam..nilipoona umechanganya watoto na wazazi wa aliyeacha mali yaani babu na bibi wa hao watoto nikajua ni famba tu toka wachafuzi wa uislam kwa mambo wasiyoyajua..kwani inafahamika mgao unaanza kwa mke/mume na watoto..iwapo aliyeacha mali hakuwa na mke wala mtoto basi ndio wazazi wake wanaingia nao kama hawapo wanaingia kaka na dada zake yaani mambo yanaenda hivyo ngazi ngazi..acheni na hizo habari zenu za kuokoteza aya moja kwa wahuni wanaokashifu uislam kisha wanazipa tafsiri feki kwa sababu wanazojua wao
Mwenyezi Mungu anakuusieni kuhusu watoto wenu: kwa mwanamume, ni sawa na fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wapo watoto wa kike, wawili au zaidi, basi watapata thuluthi mbili ya mali ya mtu. Na ikiwa yuko mmoja tu basi ni nusu yake. Na wazazi wa mtu mmoja mmoja atapata thuluthi ya mali yake ikiwa ameacha watoto. Lakini ikiwa yeye ni mama yake mzazi, basi hana mtoto wa tatu. Akiwa ana ndugu, basi mama yake ni wa sita, baada ya wasia wowote aliousia, au deni la wazazi wenu au watoto wenu, hamjui ni yupi miongoni mwao aliye karibu zaidi nanyi kwa manufaa ya Mwenyezi Mungu.” (4:11)Yaani sijui wanawaza nini
Jibu swali lini huo mfumo uligundulika kuwa na makosa na lini ulibadilishwa kama unavyosema?Mwenyezi Mungu anakuusieni kuhusu watoto wenu: kwa mwanamume, ni sawa na fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wapo watoto wa kike, wawili au zaidi, basi watapata thuluthi mbili ya mali ya mtu. Na ikiwa yuko mmoja tu basi ni nusu yake. Na wazazi wa mtu mmoja mmoja atapata thuluthi ya mali yake ikiwa ameacha watoto. Lakini ikiwa yeye ni mama yake mzazi, basi hana mtoto wa tatu. Akiwa ana ndugu, basi mama yake ni wa sita, baada ya wasia wowote aliousia, au deni la wazazi wenu au watoto wenu, hamjui ni yupi miongoni mwao aliye karibu zaidi nanyi kwa manufaa ya Mwenyezi Mungu.” (4:11)
Hakuna alichojibu hapo, angalia Quran inavyosema hapa.me sio muislam ila katka hili jibu lako hakika nimeelewa na nakubaliana nawewe
Endelea , maana umeandika Qur an 4:11-12 ,endelea mpaka 12Mwenyezi Mungu anakuusieni kuhusu watoto wenu: kwa mwanamume, ni sawa na fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wapo watoto wa kike, wawili au zaidi, basi watapata thuluthi mbili ya mali ya mtu. Na ikiwa yuko mmoja tu basi ni nusu yake. Na wazazi wa mtu mmoja mmoja atapata thuluthi ya mali yake ikiwa ameacha watoto. Lakini ikiwa yeye ni mama yake mzazi, basi hana mtoto wa tatu. Akiwa ana ndugu, basi mama yake ni wa sita, baada ya wasia wowote aliousia, au deni la wazazi wenu au watoto wenu, hamjui ni yupi miongoni mwao aliye karibu zaidi nanyi kwa manufaa ya Mwenyezi Mungu.” (4:11)
Nikuletee marekebisho ya Sunni na Shia uone?Jibu swali lini huo mfumo uligundulika kuwa na makosa na lini ulibadilishwa kama unavyosema?
Kabla ya kuniletea niambie kwanza makosa yaligundulika lini na lini marekebisho yalifanywaNikuletee marekebisho ya Sunni na Shia uone?
Tofauti na Quran inavyotaka
Quran 4:12Endelea , maana umeandika Qur an 4:11-12 ,endelea mpaka 12
Njoo TARATIBU jibu hoja.Dogo anakuambia surah 4:11-12 , ili kuwadanganya wasiojua .wakati huo hiyo surah imeonesha conditions tofauti ,😀😀..Jamaa mzushi sana, atakimbia huu uzi wake .
Huo ni uelewa wako lakinito be honest kama unasoma hii comment muhimu ukaelewa huyu mleta mada AMEKOSEA(SIJAJUA KWA ELIMU AU KUKUSUDIA)
urithi wa UISLAMU(MIRATHI) haipo kwa mgawanyo huo aliousema
aliyefariki(MUME AU MKE) anarithiwa na watoto NA MWENZA TU(kama hana watoto ndo tunakuja kwa wengine)
KWA MFANO WAKE NAOMBA NIFAFANUE(KWA KADIRI NINAVYOJUA NA MUNGU ANAJUA ZAIDI)
MUME AMEFARIKI AMEACHA MKE NA WATOTO WAWILI WA KIKE(KWA MAELEZO HAKUNA MTOTO WA KIUME)
kwa kua tayari mume(marehemu) ana watoto wawiili NDIO WARITHI WA MALI ZA MUME
(ILA)
Kwa kua ameacha MKE, Kuna (mtoto) anaweza kua ameachwa tumboni kwa hiyo hawatagawana mali mpaka ipite siku 90(wanasema heda,hizi siku kama nimekosea watanisahisha)
TUASSUME heda imepita hakukua na mtoto tena
MGAWANYO
-KWANZA KABLA YA MGAO,MKE ANAPATA JASHO LAKE(HII TUNASEMA MWANAMKE ANAPATA JASHO LAKE ALOCHANGIA MFANO WALITOA WOTE PESA KUFANYA BIASHARA ILIYOLETA HIYO MILIONI 1,BASI MKE ILE YAKE ATAPEWA KAMA ILIVYO ITAKAYOBAKI NDO TUNAKUJA KWENYE MGAO)
-NDANI YA MGAO WAHUSIKA NI MKE, WATOTO WAWILI
KWAHIYO MKE BAADA YA KUPEWA ALIYOCHANGIA, MGAO NDO UTAKUA
-WA KWANZA KUPATA MGAO MKE 1/8 YA PESA ILIYOBAKI(KAMA MKE HAKUCHANGIA CHOCHOTE CHA KWAKE KWENYE HIYO MILIONI 1 BASI ATAPATA 125,000)
-BAADA YA MKE WATOTO WATAFATA KWENYE MGAO NA NDIO WA MWISHO(KWA HESABU KILA MMOJA ATAPATA 437,500)
NB! MGAWANYO HUU UTABADILIKA KAMA ATAKUA AMEACHWA MTOTO WA KIUME, KAMA KUNA MTOTO MWINGINE WA NDOA ATAJULIKANA(KWA USHAHIDI,KAMA WATOTO WALIFARIKI AKABAKI MKE PEKEE
(NA MUNGU ANAJUA ZAIDI)
WASSALAAM
Hoja hamjajibu, kilichobaki ni maneno tu.Hajajiabisha yeye tu bali na wapuuzi wenzake katika extremists Galatians..
Mashambulizi dhidi ya Uislamu kuwa mengi ni husuda tu , maana dini yao globally inazidi kufifia huku Uislamu ukipaa . Baada kuConcentrate na kujenga dini yao wamechangua njia ya kukusanyika dhidi ya Uislamu jambo ambalo wameshindwa wakubwa wao tokea Zamani na sasa na wameondoka na ila bado Uislamu unazidi kuenea na kunawiri.
Niambie huo mfumo uligundulika lini kuwa una makosa na lini ulirekebishwa kama unavyosemaHoja hamjajibu, kilichobaki ni maneno tu.
Wewe ndio hujui Quran ila unajifanya mjuaji.Quran imetaja tu mirathi kwa idadi ya sehemu na wanaostahili..hiyo yako hapo juu mgao wa milion ni yenu kwa hizi hesabu zenu za kubumba toka kwa mtu asiyejua lolote kuhusu mirathi ya kiislam..nilipoona umechanganya watoto na wazazi wa aliyeacha mali yaani babu na bibi wa hao watoto nikajua ni famba tu toka wachafuzi wa uislam kwa mambo wasiyoyajua..kwani inafahamika mgao unaanza kwa mke/mume na watoto..iwapo aliyeacha mali hakuwa na mke wala mtoto basi ndio wazazi wake wanaingia nao kama hawapo wanaingia kaka na dada zake yaani mambo yanaenda hivyo ngazi ngazi..acheni na hizo habari zenu za kuokoteza aya moja kwa wahuni wanaokashifu uislam kisha wanazipa tafsiri feki kwa sababu wanazojua wao
Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
Hii MADA IMEKUWA mjadala mkubwa kwa wanazuoni wakubwa wa Dini kwenye majukwaa makubwa duniani.Mbona umepiga tofauti ,hiyo surah haujui
.Ebu tumia hata AI upate calculation.😅😅😅
We jamaa ni mpumbavu ,huelewi ila haitaki kujifunza...
Sasa si useme makosa yalianza kugundulika liniHii MADA IMEKUWA mjadala mkubwa kwa wanazuoni wakubwa wa Dini kwenye majukwaa makubwa duniani.
Mpaka wanazuoni wakaja na suluhisho baada ya kuona changamoto kwenye Quran.
Sunni wamekuja na namna yao ya mgao
Halikadhalika Shia nao wamekuja na namna yao ya mgao.
Lengo kufanya hesabu isizidi 100%