Kariobangi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2022
- 480
- 435
Wewe una matatizo kichwani, yaani Kitabu kiitwe sahih halafu kiwe na maandishi ya uongo!! Huyo muislam aliyekiri hayo atakuwa na Akili mbovu Kama zako si bureHujawahi kujibu , na hakuna muislamu amewahi kujibu
- Kuhusu biblia nimekwambia leta wakristo wanaosema ni uongo umeshindwa!
- Maandiko ya waislamu ni waislamu wengi tu wanasema kuna maandiko ya uongo ndani ya vitabu vinavyoitwa sahih , mpaka wewe umekiri na wengi humu wanakiri kuna uongo kwenye maandiko ya waislamu
Huyo ni Kisai akili mbovu ni zenu waislam ambao mnadai kitabu Sahih kina uongoWewe una matatizo kichwani, yaani Kitabu kiitwe sahih halafu kiwe na maandishi ya uongo!! Huyo muislam aliyekiri hayo atakuwa na Akili mbovu Kama zako si bure
KisaiHuyo muislam aliyekiri hayo atakuwa na Akili mbovu
Hakuna Hadith yenye darja ya sahih Kisha ikawa ya uongoHuyo ni Kisai akili mbovu ni zenu waislam ambao mnadai kitabu Sahih kina uongo
Acha uzuzu we kuhaniNi fedhea kubwa kwa waislamu mnakiri hadharani vitabu vyenu vina uongo mkubwa ndani yake , kumbuka ni waislamu wenyewe na sio imani nyingine , mpaka humu ndani mpo andiko lenu likiweka mnasema wazi ni la uongo ila lipo kwenye kitabu sahih , nifunge hoja kwa hili karekebisheni uongo wenu
Wapi nimesema kina Hadithi za uongo ?Huyo ni Kisai akili mbovu ni zenu waislam ambao mnadai kitabu Sahih kina uongo
Kisai kafanyaje kijana ?
Kariobangi huyu hapa kisai kadai kitabu cha sahih kina uongo yani dhaif kama 40 hiviKingine usicho kijua ni kuwa hakuna kitabu kingine sahihi zaidi hapa duniani baada ya Qur'aan ni Sahihi Al Bukhari. Sasa jiulize mtu ambaye amenukuu Hadithi zaidi Elfu Hadithi dhaifu hazizidi 40.
Kamshambulie muislamu mwenzako aliesema kitabu kinaitwa sahih na kina hadith za uongoWewe una matatizo kichwani, yaani Kitabu kiitwe sahih halafu kiwe na maandishi ya uongo!! Huyo muislam aliyekiri hayo atakuwa na Akili mbovu Kama zako si bure
Acha kujifyatua akili wewe mbona wapindisha hoja? Kakwambia Hadith sahihi zaidi elewa uambiwacho ukaidi na uzuzu hautokusaidia zaidi ya kukuvua nguo na kukudhalilishaKariobangi huyu hapa kisai kadai kitabu cha sahih kina uongo yani dhaif kama 40 hivi
Tumemaliza , umeona wazi kitabu kinaitwa sahih ila mnasema kuna uongo , usirudie tenaAcha kujifyatua akili wewe mbona wapindisha hoja? Kakwambia Hadith sahihi zaidi elewa uambiwacho ukaidi na uzuzu hautokusaidia zaidi ya kukivua nguo na kukudhalilisha
Katibiwe mirembe wewe mm sio PsychiatristTumemaliza , umeona wazi kitabu kinaitwa sahih ila mnasema kuna uongo , usirudie tena
Acha makasiriko , waislamu mnaita kitabu sahih na kina uongoKatibiwe mirembe wewe mm sio Psychiatrist
Mpaka Sasa umeshindwa kuthibitisha madai yako zaidi ya kujitoa Akili na ufedhuliKamshambulie muislamu mwenzako aliesema kitabu kinaitwa sahih na kina hadith za uongo
Kisai said"Kingine usicho kijua ni kuwa hakuna kitabu kingine sahihi zaidi hapa duniani baada ya Qur'aan ni Sahihi Al Bukhari. Sasa jiulize mtu ambaye amenukuu Hadithi zaidi Elfu Hadithi dhaifu hazizidi 40."Mpaka Sasa umeshindwa kuthibitisha madai yako zaidi ya kujitoa Akili na ufedhuli
ichomwe tuMwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.
https://www.facebook.com/Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
Sasa Hadithi dhaifu ndiyo Hadithi za Uongo ? Kijana nani alikwambia haya ?Kariobangi huyu hapa kisai kadai kitabu cha sahih kina uongo yani dhaif kama 40 hivi
Sasa Hadithi dhaifu ndiyo Hadithi za uongo ? Umeona ulivyokuwa mjuaji mpaka unawazulia watu uongo ?Kisai said"Kingine usicho kijua ni kuwa hakuna kitabu kingine sahihi zaidi hapa duniani baada ya Qur'aan ni Sahihi Al Bukhari. Sasa jiulize mtu ambaye amenukuu Hadithi zaidi Elfu Hadithi dhaifu hazizidi 40."
nani alichomeka hadith dhaifu 40 kwenye kitabu sahih? na kitabu gani cha hadith tunaweza kukiamini kama sahih bhukar ina dhaif
Dhaif , ni uongo yani haijakizi vigezo vya kuwa kweli (sahih)Sasa Hadithi dhaifu ndiyo Hadithi za uongo ? Umeona ulivyokuwa mjuaji mpaka unawazulia watu uongo ?
Hadith dhaif unaweza kutumia kama rejea , au kama sunah?? Nimeandika Hadithi dhaifu wewe unasema Hadithi za uongo. Wapi na wapi ?