Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu wengi Sana hawajawahi kuisoma qur an na hawaijui, wamebaki na knowledge ya kusimuliwa tu na Hadith nyingi wanazoambiwa ni za kuwatia hofu.
Nawasikilizaga wale wa mawaidha ya ijumaa, wengi topic wanazoongelea Ni wanawake, ngono. Wachache Sana wanagusia Qur'an.Hata walioisoma hawaelewi maana yake zaidi ya kukariri verse kama nyimbo za kihindi.
Wanategemea kutafisiriwa na mashehe wasiojua lugha ya kiarabu. Tafsiri nyingi wanadanganywa. Ama wanafichwa ukweli.
Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.
Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
Hakinuki Wala nini. Kwani kachoma ya mtu? Si kachoma yake, Tena baada ya kuisoma na kuielewa. Isitoshe anazo nyingine 2 nyumbani kwake zitamsaidia kwa reference.Kitanuka
Wote hao ni wapumbavu na majuha..Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.
Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
Ameunguza softwareHakinuki Wala nini. Kwani kachoma ya mtu? Si kachoma yake, Tena baada ya kuisoma na kuielewa. Isitoshe anazo nyingine 2 nyumbani kwake zitamsaidia kwa reference.
Hakika huyu hatapewa wale mabikra 70 kule peponi awasugue mbususu, mnyazimungu kamaindiAmechoma kitabu Cha mnyaazi Mungu
Ukichoma bibilia unakutana na hayo aliyoyasema.Allah hawezi kujipigania ?
Why asimgeuze panya huyo mchoma quran
Au ampige makofi kutoka mbinguni
Mungu sio mtu Mungu anasifa ya kipekee huwapa muda mchache sana watu mfano wa alie choma Quran na wewe pia aliye kuwezesha kuandika kwa kutumia neema ya akili ya kujua kusoma na kuandika kwa kutumia neema ya sehemu ya umbile Bora la mwanadamu aliye muumba kwa kutumia undongo kama Mungu angekua na sifa za binadam hata mshenzi kama ww usingepata muda wa kuandika upupu wakoAllah hawezi kujipigania ?
Why asimgeuze panya huyo mchoma quran
Au ampige makofi kutoka mbinguni
Na nyie mbona mmejikita kwenye kutoa mapepo miujiza ya uongo inafikia mpaka ibada inaisha hakuna kifungu chochote Cha biblia kilicho somwaNawasikilizaga wale wa mawaidha ya ijumaa, wengi topic wanazoongelea Ni wanawake, ngono. Wachache Sana wanagusia Qur'an.
Kipozeo Ni mfano halisi. Mawaidha yake Ni wanawake, pombe mwenyewe anaita mizigo.
Na nyie mbona mmejikita kwenye kutoa mapepo miujiza ya uongo inafikia mpaka ibada inaisha hakuna kifungu chochote Cha biblia kilicho somwa
Ukichoma bibilia unakutana na hayo aliyoyasema.
Hamna kitu. Ungekua na akili ungesoma comment za humu nyingi tu ni nyinyi mna lazimisha liwe hivi au vileBiblia tunatambua kuwa haijaandikwa na Mungu ndio maana huwezi kusikia tunaandamana kisa mtu kakojolea biblia ama kaichoma moto biblia.. wakristo biblia hata ukichana na kukojolea tunakupotezea tu.
Shida ni imani inayoamini kitabu chao kimeshushwa na mungu wao. Kina miujiza kibao. Ndio tunashangaa why huyo mungu wao aliekishusha hana nguvu ya kukilinda kitabu chake kisiwake moto
Allah kashindwa kuzuia kitabu chake kisichomwe moto?
Kashindwa kushusha hata karadi ka ghafla tu kamchape huyo jamaa aliyechoma moto palepale alipoanza kuichoma moto Quran tu?
Halafu dunia nzima ishuhudie Allah yupo kashusha radi kumchapa huyu mtu sekunde ile ile alipotaka kuichoma moto Quran, afe huyo mtu bula Quran kuungua, tujue Allah yupo kweli?
Huyu Allah mbona anategemea watu kama vile hayupo?
Yupo kweli huyu au watu wamemtunga tu?
Uchokozi kwani hicho kitabu kanunua kwa pesa yake au kachukua Cha mtu?Huu ni uchokozi wa kijinga.. Mimi siamini Uislamu wala Ukristo ila uchokozi wa makusudi siungi mkono