Quran yachomwa moto Sweden

Quran yachomwa moto Sweden

Waislamu wengi Sana hawajawahi kuisoma qur an na hawaijui, wamebaki na knowledge ya kusimuliwa tu na Hadith nyingi wanazoambiwa ni za kuwatia hofu.

Hata walioisoma hawaelewi maana yake zaidi ya kukariri verse kama nyimbo za kihindi.

Wanategemea kutafisiriwa na mashehe wasiojua lugha ya kiarabu. Tafsiri nyingi wanadanganywa. Ama wanafichwa ukweli.
 
Hata walioisoma hawaelewi maana yake zaidi ya kukariri verse kama nyimbo za kihindi.

Wanategemea kutafisiriwa na mashehe wasiojua lugha ya kiarabu. Tafsiri nyingi wanadanganywa. Ama wanafichwa ukweli.
Nawasikilizaga wale wa mawaidha ya ijumaa, wengi topic wanazoongelea Ni wanawake, ngono. Wachache Sana wanagusia Qur'an.
Kipozeo Ni mfano halisi. Mawaidha yake Ni wanawake, pombe mwenyewe anaita mizigo.
 
Hakinuki Wala nini. Kwani kachoma ya mtu? Si kachoma yake, Tena baada ya kuisoma na kuielewa. Isitoshe anazo nyingine 2 nyumbani kwake zitamsaidia kwa reference.
Ameunguza software
 
Allah hawezi kujipigania ?

Why asimgeuze panya huyo mchoma quran

Au ampige makofi kutoka mbinguni
Mungu sio mtu Mungu anasifa ya kipekee huwapa muda mchache sana watu mfano wa alie choma Quran na wewe pia aliye kuwezesha kuandika kwa kutumia neema ya akili ya kujua kusoma na kuandika kwa kutumia neema ya sehemu ya umbile Bora la mwanadamu aliye muumba kwa kutumia undongo kama Mungu angekua na sifa za binadam hata mshenzi kama ww usingepata muda wa kuandika upupu wako
 
"Wakaambiana, ni nani aliyetenda jambo hili? hata walipotafuta habari na kuuliza, wakasema Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili. Ndipo watu wa mji wakamwambia Yoashi MLETE MWANAO AFE kwa sababu ameibomoa madhabahu ya Baali... Yoashi akawaambia watu wote... Je, MTAMTETEA BAALI?.. KAMA YEYE (Baali) ni Mungu, na AJITETE NAFSI YAKE, KWA SABABU MTU MMOJA AMEIBOMOA MADHABAHU YAKE. Waamuzi 6:29-32. Mungu wa kweli hatetewi na wanadamu kwa marungu au mapanga au bunduki. Bali Yeye ndiye huwatetea wanadamu. Na mtu akimtukana Mungu, Mungu atamalizana naye mwenyewe.
 
Nawasikilizaga wale wa mawaidha ya ijumaa, wengi topic wanazoongelea Ni wanawake, ngono. Wachache Sana wanagusia Qur'an.
Kipozeo Ni mfano halisi. Mawaidha yake Ni wanawake, pombe mwenyewe anaita mizigo.
Na nyie mbona mmejikita kwenye kutoa mapepo miujiza ya uongo inafikia mpaka ibada inaisha hakuna kifungu chochote Cha biblia kilicho somwa
 
Ukichoma bibilia unakutana na hayo aliyoyasema.

Biblia tunatambua kuwa haijaandikwa na Mungu ndio maana huwezi kusikia tunaandamana kisa mtu kakojolea biblia ama kaichoma moto biblia.. wakristo biblia hata ukichana na kukojolea tunakupotezea tu.

Shida ni imani inayoamini kitabu chao kimeshushwa na mungu wao. Kina miujiza kibao. Ndio tunashangaa why huyo mungu wao aliekishusha hana nguvu ya kukilinda kitabu chake kisiwake moto
 
Hamna kitu. Ungekua na akili ungesoma comment za humu nyingi tu ni nyinyi mna lazimisha liwe hivi au vile

Yani hapo mlipo roho zinauma kuona waislamu wame poa

quran inazalishwa kila siku viwandani na software pia zipo.

Ili muwe na uelewa msikimbilie maneno ya vijiweni kuyafanya ndio reference yenu huo utakuwa ni upuuzi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yaani mpaka afanye vile unavyotaka wewe ndio awe Allah? Akili ya wapi hii!!!
Allah kashindwa kuzuia kitabu chake kisichomwe moto?

Kashindwa kushusha hata karadi ka ghafla tu kamchape huyo jamaa aliyechoma moto palepale alipoanza kuichoma moto Quran tu?

Halafu dunia nzima ishuhudie Allah yupo kashusha radi kumchapa huyu mtu sekunde ile ile alipotaka kuichoma moto Quran, afe huyo mtu bula Quran kuungua, tujue Allah yupo kweli?

Huyu Allah mbona anategemea watu kama vile hayupo?

Yupo kweli huyu au watu wamemtunga tu?
 
Malipo ni hapa hapa duniani usifikiri Mbinguni utalipizwa .

Waislamu wanatusemaga sana sijui makafikiri Sasa huoni quaran imechomwa
 
Back
Top Bottom