We umemaliza mwaka gani mimi 2009 alikuwa anafundisha kiswahili( ila alikuwa mshikaji sana ila kwa kuchunguza Azaboy alikuwa ni mission fulaniDaaaaah huyu jamaa amefariki!?, alikuwa anafundisha HGK ila sijui somo gani, alikuwa anakuja class kwetu kupiga story #Azaboy
Ndalichako tena?na Joyce Ndalichako.
Wahenga hamkai mbaliHuyu si alikua scout wa vijana wa TISS?
Ndalichako na yeye katangulia?Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.
Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.
Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.
Kumbe wewe ni Limshangazi??Naona mtoto kapost status kumbe ni headmaster wao