R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

Aisee japo hakutufundisha lakini alikuwa anakuja sana darasani kwetu kupiga story, nadhani kipindi kile alikuwa na Masters akawa anasema ana elimu kubwa isiyo ya kuungaunga kama mkuu wa shule Ngozye.
Nakumbuka aliwahi kutuambiwa kwa wanaume kadri unavyo TOA SHAHAWA ndio unapunguza siku zako za kuishi kipindi hicho hatujielewi.

Rest in peace Mangi.
 
Pale Azania kuna Waalimu walikuwa wana mission zao aisee, kuna Mwalimu alikuwa anafundisha Biology nilikuwa simuelewagi aisee mara siku nyingi anatuuzia maandazi 🤣 Class halafu alikuwa ana hali fulani ya masihara , Unoko, Ushikaji fulani hivi.

Kuna mwingine alikuwa anafundisha CIVICS ni mtu wa Musoma yaani alikuwa mtu wa kusafiri sana na stories zake amefikia kwenye Hotel kali ukiingia kwenye jacuzzi kuna sabuni ukiogea uchafu wote unauona SOMENI SHULE MAFALA NYINYI sio mnaleta usela wa Kijinga 😄
Kuna taasisi moja, waliletwa Madereva wapya, kwa uzoefu nilivyowaangalia tu mara moja nikajua hawa wapo hapa kwa mpango maalum
 
Kuna mmoja alikuwa anaitwa teacher Hatia mwalimu wa michezo enzi hizo nadhhia aliisha farikigi yule mpaka mtoa yake alikuwa nyoka
Kama Nakumbuka vizuri kwa sisi wa kitambo huyu alihamia Azaboy akitokea Tambaza.
 
Rest in peace classmate wangu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nimelia jana, nimelia leo.
na ntajikaza kesho wakat wa kukuaga. Ila bro angu Joram Nkya,
Hii imejua kuniliza. 😭😭😭😭😭.

Why! You gone too soon bro.
Why! Dah
 
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.

Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.

Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.

View attachment 3698168
Una maanisha nini kuwa akamasalimie Joyce Ndalichako?

RIP mwalimu Joram!
 
Back
Top Bottom