R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.
Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.
Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.
Subiri kwanza. Hao wa kusalimia umemtaja hadi Joyce Ndalichako, na yeye asalimiwe au mimi ndiyo sina taarifa?
 
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.
Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.
Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.
R.I.P MWALIMU JORAM NKYA:CouldYouNot:
 
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.
Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.
Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.
Alikufundisha kuandika hivi?! unamtia aibu marehemu.
RIP mwalimu.
 
Mwana jamii

We umemaliza mwaka gani mimi 2009 alikuwa anafundisha kiswahili( ila alikuwa mshikaji sana ila kwa kuchunguza Azaboy alikuwa ni mission fulani
Alikuwaga na mission zake za kuwasaka madogo wa Olevel wenye tabia za kipunga. Akiwadaka anawakabidhi kwa headmaster kipindi hizo mzee Ngozye, ukiingia mikononi mwa huyu mzee, au Mlokozi kazi unayo.
On the other side alikuwa mwana sana kwa A-level, nilikuwa na msala kwa demu wa zanaki, ulifika hadi kwa headmaster jamaa alinipambaniaga sana.
Ila nadhani alikuwa na mission nyingine nje ya kuwa mwalimu
 
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.

Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.

Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.

View attachment 3698168
Nimeshtuka kuhusu Ndalichako! Hebu kanusha chap chap.
 
Daah tangulia Mwl wetu, hukua na ubaya na mtu sisi wengine tulicheka na wewe kipindi tupo O level mpaka Advance,
Ngozye kastaafu juzi tuu hapo, tangulia aisee
 
Back
Top Bottom