R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

Alikuwaga na mission zake za kuwasaka madogo wa Olevel wenye tabia za kipunga. Akiwadaka anawakabidhi kwa headmaster kipindi hizo mzee Ngozye, ukiingia mikononi mwa huyu mzee, au Mlokozi kazi unayo.
On the other side alikuwa mwana sana kwa A-level, nilikuwa na msala kwa demu wa zanaki, ulifika hadi kwa headmaster jamaa alinipambaniaga sana.
Ila nadhani alikuwa na mission nyingine nje ya kuwa mwalimu

Mengi yalikua yanasemwa dhidi yake
 
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.

Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.

Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.

View attachment 3698168

Mwl wangu pia.
Dah 😭😭😭 Gone too soon brother.

Sikuwa najua kama alikuwa JF.

Ni mtu mwema sana Huyu Ndugu.
Hakika. Tunakulilia.

Pumzika kaka. Nimeumia kwa hili 😭😭😭😭😭😭😭
 
Poleni sana shem Castle_Lite

The guy amegusa maisha ya watu wengi. Ni mtu na nusu.

Kwakweli nimesikitika.

Nadhan sisi ni class yake ya pili pale kutufundisha Azania. Dah 😭😭😭😭.

Ni masikitiko kwakweli. This one imejua kuniliza.

RIP brother angu
 
The guy amekusa maisha ya watu wengi. Ni mtu na nusu.

Kwakweli nimesikitika.

Nadhan sisi ni class yake ya pili pale kutufundisha Azania. Dah 😭😭😭😭.

Ni masikitiko kwakweli. This one imejua kuniliza.

RIP brother angu
Pole sana shem jamani😔

Usilie sasa utafanya namimi nianze kulia 😢😢

Hugs 🫂❤️‍🩹
 
Shem castle lite alikuwa hanywi pombe
Ni mwana sana huyu jamaa.

Ni mwl wangu , ni mshkaj. Kuna group tuko nae. Na pia last two weeks niliongea nae kwa simu.

Juzi tu ijumaa tar 23 Oct, nimecomment kwa picha yake ya insta ile aliyopiga na kuna maghorofa nyuma yake na akanijibu.

Eti leo kafariki 😭😭😭😭😭.
Ni masikitiko
 
Pole sana shem jamani😔

Usilie sasa utafanya namimi nianze kulia 😢😢

Hugs 🫂❤️‍🩹

Ahsante for Hugs Love . Ahsante sana.

For sure. Huu ni mfano mzuri na sahihi wa Gone too Soon na Tutakukumbuka.

RIP bro. RIP Nkya.
Tutakukumbuka.
 
Alikuwaga na mission zake za kuwasaka madogo wa Olevel wenye tabia za kipunga. Akiwadaka anawakabidhi kwa headmaster kipindi hizo mzee Ngozye, ukiingia mikononi mwa huyu mzee, au Mlokozi kazi unayo.
On the other side alikuwa mwana sana kwa A-level, nilikuwa na msala kwa demu wa zanaki, ulifika hadi kwa headmaster jamaa alinipambaniaga sana.
Ila nadhani alikuwa na mission nyingine nje ya kuwa mwalimu
Pale Azania kuna Waalimu walikuwa wana mission zao aisee, kuna Mwalimu alikuwa anafundisha Biology nilikuwa simuelewagi aisee mara siku nyingi anatuuzia maandazi 🤣 Class halafu alikuwa ana hali fulani ya masihara , Unoko, Ushikaji fulani hivi.

Kuna mwingine alikuwa anafundisha CIVICS ni mtu wa Musoma yaani alikuwa mtu wa kusafiri sana na stories zake amefikia kwenye Hotel kali ukiingia kwenye jacuzzi kuna sabuni ukiogea uchafu wote unauona SOMENI SHULE MAFALA NYINYI sio mnaleta usela wa Kijinga 😄
 
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.

Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.

Wasalimie Wanaccm wenzako,Magufuli, job ndugu,na Joyce Ndalichako.

View attachment 3698168

Kwan muda huu Uko msiban kaka?.
Tukutane kama hutojali.

Sisi ni ndugu.
 
The guy amegusa maisha ya watu wengi. Ni mtu na nusu.

Kwakweli nimesikitika.

Nadhan sisi ni class yake ya pili pale kutufundisha Azania. Dah 😭😭😭😭.

Ni masikitiko kwakweli. This one imejua kuniliza.

RIP brother angu
Pole sana bro....
Apumzike kwa amani mwalimu.

Inapendeza kuacha alama nzuri kwenye maisha ya watu, heri kwake kwa kuliishi hilo.
 
The guy amegusa maisha ya watu wengi. Ni mtu na nusu.

Kwakweli nimesikitika.

Nadhan sisi ni class yake ya pili pale kutufundisha Azania. Dah 😭😭😭😭.

Ni masikitiko kwakweli. This one imejua kuniliza.

RIP brother angu
Aise so painful sanaaaaa
 
Ni mwana sana huyu jamaa.

Ni mwl wangu , ni mshkaj. Kuna group tuko nae. Na pia last two weeks niliongea nae kwa simu.

Juzi tu ijumaa tar 23 Oct, nimecomment kwa picha yake ya insta ile aliyopiga na kuna maghorofa nyuma yake na akanijibu.

Eti leo kafariki 😭😭😭😭😭.
Yaani masikitiko makubwa
 
Pale Azania kuna Waalimu walikuwa wana mission zao aisee, kuna Mwalimu alikuwa anafundisha Biology nilikuwa simuelewagi aisee mara siku nyingi anatuuzia maandazi 🤣 Class halafu alikuwa ana hali fulani ya masihara , Unoko, Ushikaji fulani hivi.

Kuna mwingine alikuwa anafundisha CIVICS ni mtu wa Musoma yaani alikuwa mtu wa kusafiri sana na stories zake amefikia kwenye Hotel kali ukiingia kwenye jacuzzi kuna sabuni ukiogea uchafu wote unauona SOMENI SHULE MAFALA NYINYI sio mnaleta usela wa Kijinga 😄
Kuna mmoja alikuwa anaitwa teacher Hatia mwalimu wa michezo enzi hizo nadhhia aliisha farikigi yule mpaka mtoa yake alikuwa nyoka
 
Dooh 😪
Vipi Teacher Yengela naye taarifa zake ? Halafu unamkumbuka Mwalimu Kitogo ulikuwa Mshangazi fulani wa Kitanga 🙃
 
Back
Top Bottom